Eleza maana ya muwala

      

Eleza maana ya muwala

  

Answers


Francis
Huku ni kule kutiririka kwa mawazo au ujumbe na hata fani kutoka hatua moja hadi nyingine katika shairi. Ujumbe hufululiza vyema kwa njia ya kueleweka kutoka ubeti mmoja hadi mwingine.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:46


Next: Eleza maana ya arudhi
Previous: Mwimbaji wa masahiri huitwa?

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions