Eleza maana za istilahi zifuatazo za ushairi; i. Bahari ii. Diwani

      

Eleza maana za istilahi zifuatazo za ushairi;
i. Bahari
ii. Diwani

  

Answers


Francis
i. Bahari- ni mikondo tofauti tofauti ya mashairi kutegemea jinsi shairi lenyewe lilivyoundwa. Bahari za mashairi zimejadiliwa kwa kina katika sura tofauti.

ii. Diwani- hurejelea mashairi mengi yaliyokusanywa katika kitabu kimoja.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:51


Next: Malenga ni nani?
Previous: Fafanua migao/kategoria mbili kuu za mashairi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions