Taja sifa za mashairi huru

      

Taja sifa za mashairi huru

  

Answers


Francis
• Huwa hayazingatii idadi sawa ya mishororo katika beti.
• Aghalabu huwa hayana urari wa vina.
• Hayana idadi maalum ya vipande katika mishororo.
• Huwa hayana idadi sawa ya mizani katika mishororo.
• Nyingi yazo huwa na kipande kimoja tu.
• Hutumia mistari mishata.
• Hayana kibwagizo bali huwa na kituo.
• Hutumia takriri kwa wingi.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:58


Next: Nimeyaandika maneno haya kwa niaba ya, Mamilioni wasio malazi Wazungukao barabarani bila mavazi Wabebao vifurushi vilivyo wazi, … milki yao ya maisha. Kwa niaba ya: Maelfu wanaovuma bila haki Wiki baada ya wiki Leo...
Previous: Naja sasa ni ndiyani, naja kwetu Mzalendo Naja nirudi nyumbani, nilowekwa nako kando Kwetu’ mi nakutamani, kulo na mwingi uhondo Nijaye ni yule nyundo, misumari hadharini Naja kwingine kuwapi,...

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions