Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
- mapingiti
- mavue
- masivina
- zuhali
- kimapinduzi.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 14:07
- Taja visawe vya mashairi ya jadi(Solved)
Taja visawe vya mashairi ya jadi
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Naja sasa ni ndiyani, naja kwetu Mzalendo
Naja nirudi nyumbani, nilowekwa nako kando
Kwetu’ mi nakutamani, kulo na mwingi uhondo
Nijaye ni yule nyundo, misumari hadharini
Naja kwingine kuwapi,...(Solved)
Naja sasa ni ndiyani, naja kwetu Mzalendo
Naja nirudi nyumbani, nilowekwa nako kando
Kwetu’ mi nakutamani, kulo na mwingi uhondo
Nijaye ni yule nyundo, misumari hadharini
Naja kwingine kuwapi, kulojaa langu pendo?
Huenda nende kwinginepi, sawa nako kwa muundo?
Kaa kwingine anapi, ela kwenye lakwe gando?
Nijaye ni ile nyundo, misumari hadharini
Naja nije rudi papo, panigedeme mgando
Ningaambwa kwetu hapo, kwamba kwanuka uvundo
Sitakwenda penginepo, tarudi kuko kwa mwando
Nijaye ni ile nyundo, misumari hadharini
(Limenukuliwa)
Tunaainisha shairi hili kama la jadi kwa sababu:
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Taja sifa za mashairi huru(Solved)
Taja sifa za mashairi huru
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Nimeyaandika maneno haya
kwa niaba ya,
Mamilioni wasio malazi
Wazungukao barabarani bila mavazi
Wabebao vifurushi vilivyo wazi,
… milki yao ya maisha.
Kwa niaba ya:
Maelfu wanaovuma bila haki
Wiki baada ya wiki
Leo...(Solved)
Nimeyaandika maneno haya
kwa niaba ya,
Mamilioni wasio malazi
Wazungukao barabarani bila mavazi
Wabebao vifurushi vilivyo wazi,
… milki yao ya maisha.
Kwa niaba ya:
Maelfu wanaovuma bila haki
Wiki baada ya wiki
Leo sumu au spaki
Leo kamba au bunduki
Na kwa wale wanasubiri kunyongwa
Kwa niaba ya
Vijana walio mtaani
Wale mayatima na maskini
Wazungukao mapipani
Kila pembe mjini
Kuokota sumu kutia tumboni
Kujua bila kujua
’ili kupata kuishi.
Kwa niaba ya:
Wakongwe wasiojiweza
Walao chakula kilichooza
Wachukuao choo wakijipakaza
Pole pole wakijiangamiza
Katika vyumba vyao
Baridi na giza
Kwa saba hawan watazama
Wala wauguza
Eleza sababu za kuliita shairi hili huru
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Fafanua migao/kategoria mbili kuu za mashairi(Solved)
Fafanua migao/kategoria mbili kuu za mashairi
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza maana za istilahi zifuatazo za ushairi;
i. Bahari
ii. Diwani(Solved)
Eleza maana za istilahi zifuatazo za ushairi;
i. Bahari
ii. Diwani
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Malenga ni nani?(Solved)
Malenga ni nani?
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Mwimbaji wa masahiri huitwa?(Solved)
Mwimbaji wa masahiri huitwa?
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza maana ya muwala(Solved)
Eleza maana ya muwala
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza maana ya arudhi(Solved)
Eleza maana ya arudhi
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza maana ya utoshelezo katika ushairi(Solved)
Eleza maana ya utoshelezo katika ushairi
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza maana ya ubeti (beti)(Solved)
Eleza maana ya ubeti (beti)
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza maana ya kiishio/kimalizio(Solved)
Eleza maana ya kiishio/kimalizio
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza maana na umuhimu wa kibwagizo.(Solved)
Eleza maana na umuhimu wa kibwagizo.
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza aina tofauti za mishororo katika ubeti(Solved)
Eleza aina tofauti za mishororo katika ubeti
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Ni nini maana ya mshororo mishororo(Solved)
Ni nini maana ya mshororo mishororo
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Taja vipande tofauti katika mshororo wa shairi(Solved)
Taja vipande tofauti katika mshororo wa shairi
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Eleza maana ya kipande (vipande) katika shairi(Solved)
Eleza maana ya kipande (vipande) katika shairi
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Kurukia si kuzuri, maneno musirukie,
Mutakuja zusha shari, makonde muyabugie,
Mukimbie kwa ghururi, kama kuku mukimbie,
Maneno musirukie, wasemapo majabari.
Wasemapo majabari, maneno musirukie,
Hasa walio jeuri, kamwe musikurubie,
Ndondi zitawaaziri,...(Solved)
Kurukia si kuzuri, maneno musirukie,
Mutakuja zusha shari, makonde muyabugie,
Mukimbie kwa ghururi, kama kuku mukimbie,
Maneno musirukie, wasemapo majabari.
Wasemapo majabari, maneno musirukie,
Hasa walio jeuri, kamwe musikurubie,
Ndondi zitawaaziri, na kwa Mola mutubie,
Maneno musirukie, wasemapo majabari.
(Abedi K.A)
Onyesha vina vya ndani na nje kwenye shairi hili.
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)
- Taja umuhimu wa vina katika ushairi(Solved)
Taja umuhimu wa vina katika ushairi
Date posted: January 30, 2023. Answers (1)