Nini maana ya bahari za mashairi?

      

Nini maana ya bahari za mashairi?

  

Answers


Francis
Bahari za mashairi ni neno ambalo hutumiwa kurejelea zile mikondo mbalimbali za mashairi kwa kutegemea sura ya shairi lenyewe. Bahari ni aina mojawapo ya tungo za mashairi ambazo huainishwa kwa mujibu wa sifa zake. Uainisho wa bahari za mashairi hutegemea pakubwa vigezo mbalimbali.
francis1897 answered the question on February 1, 2023 at 06:17


Next: Taja visawe vya mashairi huru
Previous: Uainisho wa bahari za mashairi hutegemea pakubwa vigezo mbalimbali. Taja vigezo hivyo.

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions