Uainisho wa bahari za mashairi hutegemea pakubwa vigezo mbalimbali. Taja vigezo hivyo.

      

Uainisho wa bahari za mashairi hutegemea pakubwa vigezo mbalimbali. Taja vigezo hivyo.

  

Answers


Francis
- Kulingana na idadi ya mishororo katika ubeti
- Kulingana na idadi ya vipande katika mshororo
- Kulingana na vina
- Kulingana na mpangilio wa maneno
- Kulingana na mizani
francis1897 answered the question on February 1, 2023 at 06:18


Next: Nini maana ya bahari za mashairi?
Previous: Taja aina ya mashairi kulingana na idadi ya mishororo katika ubeti

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions