Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza aina ya mashairi kulingana na mpangilio wa maneno

      

Eleza aina ya mashairi kulingana na mpangilio wa maneno

  

Answers


Francis
a) Kikwamba
Katika shairi la bahari hii, neno moja huchukuwa nafasi maalum katika ubeti. Neno lenyewe hujirudiarudia. Linawezakuwa mwanzoni mwa mshororo, katikati au hata mwisho ilimradi neno hilo limechukuwa nafasi fulani katika mshororo. Pia linaweza kuwa neno la kwanza katika mishororo yote ya ubeti ama utungo wote mzima.

b) Pindu/nyoka/mkufu
Katika bahari hii ya shairi, kina cha kibwagizo, ama kipande kizima, ama mshororo mzima wa mwisho wa ubeti mmoja unachukuliwa ili kuwa mwanzo wa ubeti unaofuata.
francis1897 answered the question on February 1, 2023 at 06:47


Next: Eleza aina za mashairi kulingana na vina
Previous: Taja na ueleze aina za mashairi kulingana na mizani

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions