Taja na ueleze aina za mashairi kulingana na mizani

      

Taja na ueleze aina za mashairi kulingana na mizani

  

Answers


Francis
a) Msuko
Ni bahari ya shairi ambalo huwa na kituo au kibwagizo kifupi kikilinganishwa na mishororo iliyotangulia. Idadi ya mizani ya mshororo huo huwa ni chache mno ikilinganishwa na mishororo mingine.

b) Kikai
Mashairi katika bahari hii huwa na mikondo mingi. Huwa na mizani sita kwa nane, nne kwa nane au nane kwa tano.
francis1897 answered the question on February 1, 2023 at 06:49


Next: Eleza aina ya mashairi kulingana na mpangilio wa maneno
Previous: Eleza aina za bahari za ushairi zifuatazo: a) Sakarani b) Ngonjera c) Malumbano d) Masivina e) Taabili f) Mandhuma g) Kisarambe h) Mavue i) Sabilia j) Togoo k) Kumbukizi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions