Taja mambo ya kuzingatia katika kueleza muundo wa shairi

      

Taja mambo ya kuzingatia katika kueleza muundo wa shairi

  

Answers


Francis
- Je shairi lina beti ngapi?
- Je shairi lina mishororo mingapi katika kila ubeti?
- Je shairi lina vipande vingapi katika kila mshororo?
- Je shairi lina vina vya kati na vya nje, na kuna urari wa vina au la?
- Je idadi ya mizani ni ngapi katika kila kipande au mshororo?
- Shairi lina kibwagizo au kituo? Iwapo lina kibwagizo, basi nakili kibwagizo moja kwa moja
francis1897 answered the question on February 1, 2023 at 07:16


Next: Taja na ueleze mambo muhimu yanayozingatiwa katika uchambuzi wa mashairi
Previous: Taja na ueleze tamathali tofauti za usemi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions