Taja huku ukitoa mfano, aina kadha za taswira katika ushairi

      

Taja huku ukitoa mfano, aina kadha za taswira katika ushairi

  

Answers


Francis
a. Taswira mnuso/harufu- k.m rihi ya maua
b. Taswira mguso- k.m kumpapasa, kumbusu miguu
c. Taswira usikivu- k.m anasikiliza ndege
d. Taswira ya mwendo- k.m yeye kuendelea kwa furaha
francis1897 answered the question on February 1, 2023 at 07:32


Next: Taja na ueleze tamathali tofauti za usemi
Previous: Katika ikisiri yake, Joseph Nyehita anaangazia kuwa matumizi ya methali yanapozingatiwa, ushairi wa Kiswahili unaweza kuainishwa zaidi kwa kuzingatia kutumiwa au kutotumiwa kwa methali. Anasema...

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions