Katika ikisiri yake, Joseph Nyehita anaangazia kuwa matumizi ya methali yanapozingatiwa, ushairi wa Kiswahili unaweza kuainishwa zaidi kwa kuzingatia kutumiwa au kutotumiwa kwa methali. Anasema...

      

Katika ikisiri yake, Joseph Nyehita anaangazia kuwa matumizi ya methali yanapozingatiwa, ushairi wa Kiswahili unaweza kuainishwa zaidi kwa kuzingatia kutumiwa au kutotumiwa kwa methali. Anasema kuwa kila kikundi cha ushairi kinaweza kupendekezewa jina mahususi kuwa kitambulisho chake. Taja majina yanayopendekezwa

  

Answers


Francis
? Ukimea- Ushairi wa Kiswahili unaotumia methali kama anwani.
? Ukimemo- Ushairi wa Kiswahili unaotumia methali moja.
? Ukimenu- Ushairi wa Kiswahili unaotumia methali nusu.
? Ukimembi- Ushairi wa Kiswahili unaotumia methali mbili (au zaidi)
? Ukimeka- Ushairi wa Kiswahili unaotumia methali kama kauli.
? Ukimeki- Ushairi wa Kiswahili unaotumia methali kama kibwagizo (au kiishio)
? Ukimeso- Ushairi wa Kiswahili uso methali.
francis1897 answered the question on February 1, 2023 at 08:14


Next: Taja huku ukitoa mfano, aina kadha za taswira katika ushairi
Previous: Taja aina mbalimbali za takriri katika ushairi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions