Taja aina mbalimbali za takriri katika ushairi

      

Taja aina mbalimbali za takriri katika ushairi

  

Answers


Francis
a. Takriri sauti- sauti fulani hurudiwarudiwa.
b. Takriri neno- neno/kifungu cha maneno fulani hurudiwarudiwa,
c. Takriri mawazo- mawazo fulani hurudiwarudiwa.
d. Takriri muundo/usambamba ambapo muundo fulani wa kisintaksia hurudiwarudiwa. Malenga hutumia takriri hususan kusisitiza ujumbe.
francis1897 answered the question on February 1, 2023 at 08:16


Next: Katika ikisiri yake, Joseph Nyehita anaangazia kuwa matumizi ya methali yanapozingatiwa, ushairi wa Kiswahili unaweza kuainishwa zaidi kwa kuzingatia kutumiwa au kutotumiwa kwa methali. Anasema...
Previous: Taja baadhi ya masuala muhimu katika uchambuzi wa mashairi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions