Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

“Hii ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mungu amenifidia yule mwanangu aliyekufa.” (Chozi la Heri) (a) Liweke dondoo hili katika muktadha wake faafu. (b) Taja ‘baraka’ zilizomwandama...

      

“Hii ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mungu amenifidia yule mwanangu aliyekufa.” (Chozi la Heri)
(a) Liweke dondoo hili katika muktadha wake faafu.
(b) Taja ‘baraka’ zilizomwandama msemaji maishani.

  

Answers


Francis
(a) Liweke dondoo hili katika muktadha wake faafu.
- Maneno ya Mwangeka
- Anamwambia mkewe Apondi
- Ni baada ya Apondi kumweleza kuhusu suala la kumchukua Umu kama mtoto wao wa kupanga baada ya kuzungumza na Mwalimu Dhahabu.

(b) Taja ‘baraka’ zilizomwandama msemaji maishani.
- Anajaliwa mtoto mwingine na mkewe Apondi baada ya kifo cha bintiye Becky. Mtoto anaitwa Ridhaa.
- Anampata mke mwingine, Apondi, baada ya mke wake wa kwanza, Lily, kuangamia katika mkasa wa moto.
- Anapata binti wa kupanga (Umu) anayechukua nafasi ya Becky.
- Anajaliwa kurejea nyumbani akiwa salama baada ya ziara ya kudumisha amani katika nchi jirani.
francis1897 answered the question on February 6, 2023 at 05:56


Next: “Suala la polisi na wanajeshi kutatua mizozo midogomidogo kwa makeke na bunduki ni jambo ambalo limeanza kupitwa na wakati; ni sawa na kumuua chawa kwa...
Previous: “Kupashwa tohara si mila iliyopitwa na wakati. Bila tohara mwanamke hubakia kuwa mtoto. Nisingepashwa tohara nisingeolewa. Msiba uliowapata wenzangu ni bahati mbaya tu.” (Chozi la...

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions