Kwa kurejelea wahusika kadhaa, eleza jinsi mauti yameathiri jamii katika riwaya ya Chozi la Heri.

      

Kwa kurejelea wahusika kadhaa, eleza jinsi mauti yameathiri jamii katika riwaya ya Chozi la Heri.

  

Answers


Francis
? Mamake Ridhaa aliiaga dunia na Ridhaa anakumbuka jinsi mamake alivyokuwa akimwambia. “Moyo wa Ridhaa ulipiga kidoko ukataka kumwonya dhidi ya tabia hii ya kike ya kulia pindi mtu akabiliwapo na vizingiti ambavyo ni kawaida ya
maisha, ukamkumbusha maisha maneno ya marehemu mama yake siku za urijali wake.”
? Terry na wana wake wanakumbana na kifo baada ya kuchomwa wakiwa ndani ya nyumba yao hivyo kumwacha Ridhaa na upweke.
? Tunapata pia kuwa Kangata na mkewe Ndarine wanakumbana na mauti. Uk 66; “Miaka mitano imepita. Kangata na mkewe Ndarine wameipa dunia kisogo.”
? Baada ya Lunga kuachwa na mkewe, alikazana kuwalea watoto wake lakini baadaye akaiaga dunia.
francis1897 answered the question on February 6, 2023 at 06:47


Next: Fafanua jinsi ndoa inavyosawiriwa katika riwaya ya Chozi la Heri.
Previous: Fafanua jinsi riwaya ya Chozi la Heri inavyosawiri elimu katika jamii.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions