Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
(a) Eleza muktadha wa maneno haya.
? Haya ni maneno ya Samueli Matandiko
? Anajizungumzia
? Yuko ofisini mwa mwalimu mkuu
? Amekuja kuchukua matokeo ya mtihani
(b) Taja mbinu ya lugha iliyotumika katika muktadha huu.
? Uzungumzi nafsi - Samueli anajizungumzia
? Kinaya - Samueli ndiye aliyeaibika wala si mwalimu
? Methali - mdharau biu hubiuka
(c) Eleza wasifu wa mzungumzaji wa maneno haya.
? Ni mwongo - alimdanganya Nina kuwa ni mwerevu shuleni.
? Hana matumaini - anataka kujiua.
? Hana bidii - anashindwa na masomo.
(d) Jadili maudhui ya elimu kama yanavyojitokeza katika hadithi hii.
? Babake Samueli anauza mali yake ili asomeshe watoto.
? Babake Samueli anathamini elimu ya Samueli kuliko dada zake Mwajuma na Bilha.
? Samueli anatembea umbali wa kilomita sita ili kutafuta elimu.
? Samueli anaogopa kuzungumza na babake kuhusu matokeo yake.
? Mwalimu mkuu alimdharau Samueli kwa kumrushia matokeo yake.
? Samueli hakutaka kuonyesha matokeo yake kwa wenzake alipoanguka.
? Samueli hakutia bidii masomoni mwake kwani hata majibu yake si sahihi.
? Samueli alipoanguka mtihani wake alikosa matumaini na kutaka kujiua.
francis1897 answered the question on February 6, 2023 at 11:18
- “... mapenzi ni mateso, ni utumwa, ni ukandamizaji, ni ushabiki usio na maana.” Thibitisha ukweli wa kauli hii kama unavyojitokeza kwenye hadithi Masharti ya Kisasa.(Solved)
“... mapenzi ni mateso, ni utumwa, ni ukandamizaji, ni ushabiki usio na maana.” Thibitisha ukweli wa kauli hii kama unavyojitokeza kwenye hadithi Masharti ya Kisasa.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Kwa mujibu wa hadithi Mame Bakari, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbaya kwake. Onyesha kwa mifano mwafaka.(Solved)
Kwa mujibu wa hadithi Mame Bakari, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbaya kwake. Onyesha kwa mifano mwafaka.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Ukirejelea hadithi zifuatazo, eleza jinsi maudhui ya mapenzi na asasi ya ndoa yanavyojitokeza.
(a) Mapenzi ya Kifaurongo
(b) Masharti ya Kisasa
(c) Mtihani wa Maisha
(d) Ndoto ya Mashaka(Solved)
Ukirejelea hadithi zifuatazo, eleza jinsi maudhui ya mapenzi na asasi ya ndoa yanavyojitokeza.
(a) Mapenzi ya Kifaurongo
(b) Masharti ya Kisasa
(c) Mtihani wa Maisha
(d) Ndoto ya Mashaka
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Kwa kurejelea hadithi ya Shibe Inatumaliza, eleza namna maudhui ya ufisadi yanavyojitokeza.(Solved)
Kwa kurejelea hadithi ya Shibe Inatumaliza, eleza namna maudhui ya ufisadi yanavyojitokeza.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Eleza namna maudhui ya ndoa yalivyosawiriwa katika hadithi ya Masharti ya Kisasa.(Solved)
Eleza namna maudhui ya ndoa yalivyosawiriwa katika hadithi ya Masharti ya Kisasa.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- “Ningeondoka ... mapema niende niibe au niue ili niwe mtu wa maana.” (Shibe Inatumaliza)
(a) Eleza muktadha wa maneno haya.
(b) Onyesha vile kinaya kinavyojitokeza katika dondoo.
(c)...(Solved)
“Ningeondoka ... mapema niende niibe au niue ili niwe mtu wa maana.” (Shibe Inatumaliza)
(a) Eleza muktadha wa maneno haya.
(b) Onyesha vile kinaya kinavyojitokeza katika dondoo.
(c) Kinaya kimetumika kwingine kwingi katika hadithi ya Mwalimu Mstaafu. Thibitisha.
(d) Nini umuhimu wa msemaji katika hadithi?
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- “Hebu kwanza kanawe hilo dongo jekundu miguuni.” (Shibe Inatumaliza)
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(b) Fafanua sifa za wandani wa msemaji.
(c) Jadili jinsi hadithi hii inavyoafiki...(Solved)
“Hebu kwanza kanawe hilo dongo jekundu miguuni.” (Shibe Inatumaliza)
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(b) Fafanua sifa za wandani wa msemaji.
(c) Jadili jinsi hadithi hii inavyoafiki mataifa ya kiafrika.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Jadili suala la mikosi maishani ukirejelea hadithi zifuatazo:
i) Nizikeni Papa Hapa
ii) Ndoto ya Mashaka(Solved)
Jadili suala la mikosi maishani ukirejelea hadithi zifuatazo:
i) Nizikeni Papa Hapa
ii) Ndoto ya Mashaka
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- “Kutazamia shule za vijijini kumwibua bingwa katika mtihani wa kitaifa ni kama kutarajia kupata maziwa kutoka kwa kuku.” (Shibe Inatumaliza)
a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
b)...(Solved)
“Kutazamia shule za vijijini kumwibua bingwa katika mtihani wa kitaifa ni kama kutarajia kupata maziwa kutoka kwa kuku.” (Shibe Inatumaliza)
a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Tambua mbinu moja ya lugha kutoka kwenye dondoo hili.
c) Eleza maudhui yafuatayo katika hadithi hii:
i) Mabadiliko
ii) Uozo
iii) Shaka
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Jadili jazanda za anwani katika hadithi zifuatazo.
a) Shibe Inatumaliza
b) Mtihani wa Maisha
c) Mkubwa(Solved)
Jadili jazanda za anwani katika hadithi zifuatazo.
a) Shibe Inatumaliza
b) Mtihani wa Maisha
c) Mkubwa
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Huku ukirejelea hadithi ya Shibe Inatumaliza, fafanua namna ubadhirifu wa mali ya umma unavyoendelezwa.(Solved)
Huku ukirejelea hadithi ya Shibe Inatumaliza, fafanua namna ubadhirifu wa mali ya umma unavyoendelezwa.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Eleza sifa na umuhimu wa Ngurumo katika tamthilia ya Kigogo.(Solved)
Eleza sifa na umuhimu wa Ngurumo katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Eleza sifa na umuhimu wa Asiya katika tamthilia ya Kigogo.(Solved)
Eleza sifa na umuhimu wa Asiya katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Eleza sifa na umuhimu wa Husda katika tamthilia ya Kigogo.(Solved)
Eleza sifa na umuhimu wa Husda katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Eleza jinsi umaskini unavyoathiri wenyeji wa Sagamoyo katika tamthilia ya Kigogo.(Solved)
Eleza jinsi umaskini unavyoathiri wenyeji wa Sagamoyo katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Fafanua jinsi mbinu ya sadfa inavyojitokeza katika tamthilia ya Kigogo.(Solved)
Fafanua jinsi mbinu ya sadfa inavyojitokeza katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Fafanua sifa na umuhimu wa Kenga katika tamthilia ya Kigogo.(Solved)
Fafanua sifa na umuhimu wa Kenga katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Eleza jinsi methali zilivyotumika katika tamthilia ya kigogo.(Solved)
Eleza jinsi methali zilivyotumika katika tamthilia ya kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Fafanua nafasi/mchango wa vyombo vya habari katika jamii ya Sagamoyo ya tamdhilia ya Kigogo.(Solved)
Fafanua nafasi/mchango wa vyombo vya habari katika jamii ya Sagamoyo ya tamdhilia ya Kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)
- Utawala wa Majoka ni wa kidhalimu. Thibitisha ukweli huu katika tamdhilia ya Kigogo.(Solved)
Utawala wa Majoka ni wa kidhalimu. Thibitisha ukweli huu katika tamdhilia ya Kigogo.
Date posted: February 6, 2023. Answers (1)