Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

‘Kusema kweli lakini hata mimi sikuwa na nadhari katika kumpenda msichana huyu ... Nilimpenda kufa! Lakini! Kwao bure tu!’ (Shibe Inatumaliza) (a) Eleza dondoo. (b) Taja mtindo...

      

‘Kusema kweli lakini hata mimi sikuwa na nadhari katika kumpenda msichana huyu ... Nilimpenda kufa! Lakini! Kwao bure tu!’ (Shibe Inatumaliza)
(a) Eleza dondoo.
(b) Taja mtindo wa lugha uliotumika katika muktadha huu.
(c) Taja sifa mbili za mzungumzaji.
(d) Onyesha maudhui ya umaskini katika hadithi fupi ya Ndoto ya Mashaka.

  

Answers


Francis
(a) Eleza dondoo.
? Haya ni maneno ya msimulizi – Mashaka.
? Anajizungumzia.
? Anakumbuka maisha yake ya awali na Waridi. Mawazo haya yako akilini mwake.

(b) Taja mtindo wa lugha uliotumika katika muktadha huu.
? Kinaya – Mashaka alimpenda Waridi lakini wazazi hawakupenda.
? Chuku - nilimpenda kufa.
? Uzungumzi nafsi - anajizungumzia mwenyewe.

(c) Taja sifa mbili za mzungumzaji.
? Ni mwenye mapenzi ya dhati - alimpenda Waridi.
? Mwenye bidii - alifanya kazi kama mlinzi.

(d) Onyesha maudhui ya umaskini katika hadithi fupi ya Ndoto ya Mashaka.
? Nyumba ya Mashaka ni yenye paa la debe linalovuja mvua inyeshapo.
? Nyumba yake imepakana na choo.
? Alikuwa na watoto saba na wavulana waliishi kwa jirani.
? Alifanya kazi duni ya ulinzi.
? Hakuwa na samani ndani ya nyumba yake.
? Waridi alimuacha kwa sababu ya umaskini.
? Alifanya vibarua ili kusaidia Bi. Kidebe kujikimu.
francis1897 answered the question on February 6, 2023 at 11:20


Next: ‘Leo mwalimu mkuu atajua kwamba mdharau biu hubiuka.’ (Shibe Inatumaliza) (a) Eleza muktadha wa maneno haya. (b) Taja mbinu ya lugha iliyotumika katika muktadha huu. (c) Eleza wasifu...
Previous: Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika diwani ya Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine, jadili maudhui ya nafasi ya wazazi katika malezi. (a) Tulipokutana Tena (b) Mapenzi ya...

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions