Jadili sifa za mishata

      

Jadili sifa za mishata

  

Answers


Francis
? Huweza kuishia kwa alama za mdokezo.
? Huwa fupi.
? Huwa na mizani michache ikilinganishwa na mishororo mingine.
? Haikamiliki kimaana yaani haitoi ujumbe kamili.
? Humhitaji msomaji kuwaza jinsi ya kuukamilisha.
? Humlazimu msomaji kusoma mshororo mwingine ili kupata ujumbe.
francis1897 answered the question on February 6, 2023 at 12:02


Next: Nini umuhimu wa ushairi katika jamii?
Previous: Jadili aina mbalimbali za kinaya.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions