Jadili aina mbalimbali za kinaya.

      

Jadili aina mbalimbali za kinaya.

  

Answers


Francis
Kinaya – ni mbinu ya sanaa ambapo mambo hutokea kinyume na matarajio. Kuna aina tatu za kinaya:
? Kinaya cha kiusemi (verbal irony) - ni hali ambapo maana inayokusudiwa huwa kinyume na kile kinachosemwa.
? Kinaya hali (situational irony) – hapa matokeo huwa kinyume na matarajio.
? Kinaya drama (dramatic irony) - katika kinaya drama, wasomaji tayari huwa wanajua kinachoendelea ilhali wahusika wenyewe hawafahamu.
francis1897 answered the question on February 6, 2023 at 12:27


Next: Jadili sifa za mishata
Previous: Hakiki umuhimu na idhini mbalimbali za utunzi wa mashairi.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions