Eleza maana ya sauti mwambatano

      

Eleza maana ya sauti mwambatano

  

Answers


john
Sauti mwambatano ni sauti mbili au zaidi zinazotamkwa kama sauti moja (k.v. konsonanti na kiyeyusho. Kwa mfano /tw/
Au Sauti moja ambayo ni muungano wa sauti mbili au zaidi. Kwa mfano konsonanti mbili au tatu. Kwa mfano,/nd/ mb/ ngw/
john3 answered the question on October 4, 2017 at 13:32


Next: State any five factors that contributed to the development of the international trade in the 19th century.
Previous: Explain the factors that led to the decline of the coastal towns after 1500 AD

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions