Tunga sentensi mojamoja kubainisha: ...

      

Tunga sentensi mojamoja kubainisha: i) kihusishi cha wakati

  

Answers


john
Watumie kihusishi cha wakati kama vile, kisha, tangu, halafu, kabla ya, hadi, mpaka, kwa, hata, kufikia, kuanzia. Mfano: Amekuwa hapa tangu asubuhi. Aliwasili halafu akaondoka.
john3 answered the question on October 4, 2017 at 13:37


Next: Give any three ways of peaceful conflict resolution in a country such as Kenya.
Previous: Explain five ways through which parliament ensures public finance is not misused

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions