Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Questions and answers: Kiswahili

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

2287 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • Bainisha shamirisho kipozi na shamisisho kitondo katika sentensi ifuatayo: Onyango alimnunulia simu mpenzi wake.(Solved)

    Bainisha shamirisho kipozi na shamisisho kitondo katika sentensi ifuatayo: Onyango alimnunulia simu mpenzi wake.

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Andika sentensi zifuatazo kulingana na maagizo uliyopewa. Ngome ya wanajeshi ilifanyiwa ukarabati. (Andika katika hali ya mazoea).(Solved)

    Andika sentensi zifuatazo kulingana na maagizo uliyopewa. Ngome ya wanajeshi ilifanyiwa ukarabati. (Andika katika hali ya mazoea).

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa “Nitaleta mzazi kesho na nitamwimbia wimbo huu hapa.” Bushonga alisema.(Solved)

    Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa “Nitaleta mzazi kesho na nitamwimbia wimbo huu hapa.” Bushonga alisema.

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Kiimbo ni nini? Huku ukibainisha matumizi ya kiimbo tunga sentensi mbili.(Solved)

    Kiimbo ni nini? Huku ukibainisha matumizi ya kiimbo tunga sentensi mbili.

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Andika ngeli za maneno haya: (i) Kawa (ii) Baridi(Solved)

    Andika ngeli za maneno haya: (i) Kawa (ii) Baridi

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Akifisha sentensi ifuatayo: lo daudi ameshindwa(Solved)

    Akifisha sentensi ifuatayo: lo daudi ameshindwa

    Date posted: August 5, 2019.  

  • changanua sentensi ifuatayo kwa mfumo wa mstari. Ng’ombe waliovamia shamba letu wamesababisha uharibifu mkubwa.(Solved)

    changanua sentensi ifuatayo kwa mfumo wa mstari. Ng’ombe waliovamia shamba letu wamesababisha uharibifu mkubwa.

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Majina mengi katika ngeli ya U-ZI huchukua kiambishi U katika umoja lakini viambishi tofauti katika wingi. Andika majina mawili ukionyesha viambishi hivyo tofauti katika umoja...(Solved)

    Majina mengi katika ngeli ya U-ZI huchukua kiambishi U katika umoja lakini viambishi tofauti katika wingi. Andika majina mawili ukionyesha viambishi hivyo tofauti katika umoja na wingi.

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Eleza sifa za konsonanti zifuatazo: (i) /h/ (ii) /r/(Solved)

    Eleza sifa za konsonanti zifuatazo: (i) /h/ (ii) /r/

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Mwandishi amependekeza hatua gani kuchukuliwa ili mwanafunzi afaulu katika maswali ya mashairi?(Solved)

    Katika kila kiwango, wanafunzi huonekana kama wana shida kubwa sana katika kuyachambua mashairi. Hali hii ni matokeo ya mambo mengi. Yaweza kuwa mashairi waliyokutana nayo mara ya kwanza yalikuwa magumu, au yalikuwa yamechanganya Kiswahili sanifu na lahaja zingine ambazo wasomi hawangezielewa moja kwa moja. Jambo hili huwakatisha wanagenzi tamaa hasa wanapokosa kulipata katika kamusi msamiati uliotumika. Wanapotamauka, wao huwa hawataki kujishughulisha na mashairi. Huu ndio mwanzo wa kuanguka kwao katika mtihani kwa vile wengi wao hulazimika kukutana na mashairi kwa mara ya kwanza katika chumba cha mtihani. Hiki ni kinyume cha jinsi mambo yanavyostahili kuwa. Ukweli ni kuwa mashairi yanastahili kuwaburudisha wasomi pindi wakutanapo nayo. Madai kuwa mashairi ya Kiswahili ni magumu kufahamika isipokuwa kwa watu maalum wenye vipawa maalum hayafai. Mwanafunzi ambaye anataka kufanya vizuri katika swali la mashairi ni lazima aanze kuyapenda mapema iwezekanavyo. Ni muhimu aazimie kuyapenda hasa ajuapo kuwa atatahiniwa katika sehemu hii. Kwa vile hana njia ya kuyaepuka,azingatie msemoi wa wazungu usemao kuwa kama hupati upendacho, anza kupenda kile ukipatacho. Ili kuchochea upendo ndani yake, asijishughulishe nayale mashairi ambayo anayaona kama ni magumu. Ajaribu kuyaelewa yale ambayo anayaelewa na kuudondoa ule ujumbe ambao yameubeba na vile vile ajaribu kuufurahia utamu wa maneno yaliyotumika. Atalipata hili kwa kuyasoma kwa sauti. Kila mara, akumbuke kwamba kadiri atakavyokutana na mashairi mengi ndivyo atakavyofurahia na kuyaelewa. Pili, akikutana na shairi, asishtushwe na msamiati au lahaja iliyotumika. Hata kama haelewi msamiati uliotumika, ajaribu kuelewa ujumbe uliomo katika shairi. Hata hivyo, lazima ajihami na msamiati mwingi iwezakanavyo. Isitoshe, ni muhimu katika mazoezi yake kujaribu kuandika mashairi yake mwenyewe ili aelewe ni kwa nini waandishi huyaandika mashairi jinsi wanavyoandika;Atagundua kwa nini waandishi huyarefusha, huyafupisha au huyabadilisha maana ya maneno mbalimbali. Mwandishi amependekeza hatua gani kuchukuliwa ili mwanafunzi afaulu katika maswali ya mashairi?

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Ni mambo gani yanayochangia kuanguka kwa mwanafunzi katika swali la ushairi?(Solved)

    Katika kila kiwango, wanafunzi huonekana kama wana shida kubwa sana katika kuyachambua mashairi. Hali hii ni matokeo ya mambo mengi. Yaweza kuwa mashairi waliyokutana nayo mara ya kwanza yalikuwa magumu, au yalikuwa yamechanganya Kiswahili sanifu na lahaja zingine ambazo wasomi hawangezielewa moja kwa moja. Jambo hili huwakatisha wanagenzi tamaa hasa wanapokosa kulipata katika kamusi msamiati uliotumika. Wanapotamauka, wao huwa hawataki kujishughulisha na mashairi. Huu ndio mwanzo wa kuanguka kwao katika mtihani kwa vile wengi wao hulazimika kukutana na mashairi kwa mara ya kwanza katika chumba cha mtihani. Hiki ni kinyume cha jinsi mambo yanavyostahili kuwa. Ukweli ni kuwa mashairi yanastahili kuwaburudisha wasomi pindi wakutanapo nayo. Madai kuwa mashairi ya Kiswahili ni magumu kufahamika isipokuwa kwa watu maalum wenye vipawa maalum hayafai. Mwanafunzi ambaye anataka kufanya vizuri katika swali la mashairi ni lazima aanze kuyapenda mapema iwezekanavyo. Ni muhimu aazimie kuyapenda hasa ajuapo kuwa atatahiniwa katika sehemu hii. Kwa vile hana njia ya kuyaepuka,azingatie msemoi wa wazungu usemao kuwa kama hupati upendacho, anza kupenda kile ukipatacho. Ili kuchochea upendo ndani yake, asijishughulishe nayale mashairi ambayo anayaona kama ni magumu. Ajaribu kuyaelewa yale ambayo anayaelewa na kuudondoa ule ujumbe ambao yameubeba na vile vile ajaribu kuufurahia utamu wa maneno yaliyotumika. Atalipata hili kwa kuyasoma kwa sauti. Kila mara, akumbuke kwamba kadiri atakavyokutana na mashairi mengi ndivyo atakavyofurahia na kuyaelewa. Pili, akikutana na shairi, asishtushwe na msamiati au lahaja iliyotumika. Hata kama haelewi msamiati uliotumika, ajaribu kuelewa ujumbe uliomo katika shairi. Hata hivyo, lazima ajihami na msamiati mwingi iwezakanavyo. Isitoshe, ni muhimu katika mazoezi yake kujaribu kuandika mashairi yake mwenyewe ili aelewe ni kwa nini waandishi huyaandika mashairi jinsi wanavyoandika;Atagundua kwa nini waandishi huyarefusha, huyafupisha au huyabadilisha maana ya maneno mbalimbali. Ni mambo gani yanayochangia kuanguka kwa mwanafunzi katika swali la ushairi?

    Date posted: August 5, 2019.  

  • Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumika katika mashairi. (i) Ja (ii) Sharuti (iii) Utukufu (iv) Baidi(Solved)

    SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumika katika mashairi. (i) Ja (ii) Sharuti (iii) Utukufu (iv) Baidi

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Taja na utoe mifano miwili idhini ya mtunzi uliotumika katika mashairi yote mawili.(Solved)

    SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Taja na utoe mifano miwili idhini ya mtunzi uliotumika katika mashairi yote mawili.

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Taja na utoe mifano miwili ya tamathali za usemi zilizotumika katika mashairi yote mawili.(Solved)

    SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Taja na utoe mifano miwili ya tamathali za usemi zilizotumika katika mashairi yote mawili.

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Andika ubeti wa pili wa shairi B kati lugha nathari.(Solved)

    SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Andika ubeti wa pili wa shairi B kati lugha nathari.

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Linganisha bahari za shairi A na B(Solved)

    SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri, Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa. Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru, Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu. Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa, Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma. Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye, Maana hana hakika, ndio aogopa kifo. Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi, Na wale wateteao, ambao ni sawa nao. SHAIRI B: AMANI Uhuru pia Amani Usifikirie ni zawadi Ambayo inapeanwa Pasipo mikwaruzano Kama wataka hakiyo Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako Pamoja na ya mwingine Uhuru ja ini la fani Ambalo kulifikia Sharti uwe jasiri Jasiri aso kifani Linganisha bahari za shairi A na B

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Jadili ufaafu wa anwani: Tumbo lisiloshiba kwenye hadithi hii(Solved)

    Jadili ufaafu wa anwani: Tumbo lisiloshiba kwenye hadithi hii

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela(Solved)

    “Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine” “Akanyangapo chini ardhi inatetemeka………………….. Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani? Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili(Solved)

    “Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine” “Akanyangapo chini ardhi inatetemeka………………….. Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani? Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Eleza muktadha wa dondoo hili(Solved)

    “Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine” “Akanyangapo chini ardhi inatetemeka………………….. Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani? Eleza muktadha wa dondoo hili

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Eleza matumizi ya mbinu zifuatazo katika tamthilia hii:(i) Jazanda(ii) Sadfa(iii) Mbinu rejeshi (iv) Wimbo(Solved)

    TAMTHILIA KIGOGO Eleza matumizi ya mbinu zifuatazo katika tamthilia hii: (i) Jazanda (ii) Sadfa (iii) Mbinu rejeshi (iv) Wimbo

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Eleza mbinu kumi anazotumia Majoka kuendeleza uongozi wake Sagamoyo.(Solved)

    TAMTHILIA KIGOGO Eleza mbinu kumi anazotumia Majoka kuendeleza uongozi wake Sagamoyo.

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri, tetea kauli hii kwa kutolea hoja kumi.(Solved)

    Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri, tetea kauli hii kwa kutolea hoja kumi.

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?(Solved)

    RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei " Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?" Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya(Solved)

    RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei " Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?" Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili(Solved)

    RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei " Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?" Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Eleza muktadha wa dondoo(Solved)

    RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei " Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?" Eleza muktadha wa dondoo

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Eleza umuhimu wa semi katika jamii.(Solved)

    Eleza umuhimu wa semi katika jamii.

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Eleza tofauti nne kati ya methali na vitendawili.(Solved)

    Eleza tofauti nne kati ya methali na vitendawili.

    Date posted: August 3, 2019.  

  • Huku ukitoa mifano mwafaka ,eleza miundo tano ya methali.(Solved)

    Huku ukitoa mifano mwafaka ,eleza miundo tano ya methali.

    Date posted: August 3, 2019.