Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Questions and Answers - Kenyaplex.com

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

61904 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • Define ventilation.(Solved)

    Define ventilation.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Identify two precautions to take when cleaning glass utensils. (Solved)

    Identify two precautions to take when cleaning glass utensils.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State three precautionary measures to take to ensure that cotton articles remain in good condition.(Solved)

    State three precautionary measures to take to ensure that cotton articles remain in good condition.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Kiswahili lugha yenye asili yake katika ukanda wa Afrika Mashariki imeenea duniani ambako inafundishwa katika uyuo vikuu saba vya umma na vyuo vikuu viwili visivyo vya...(Solved)

    Soma habari ifuatayo kisha ujibu maswali. Kiswahili lugha yenye asili yake katika ukanda wa Afrika Mashariki imeenea duniani ambako inafundishwa katika uyuo vikuu saba vya umma na vyuo vikuu viwili visivyo vya umma. Hivi ni Baratoni na Chuo kikuu ch aKikatoliki. Katika kiwango hiki, watu wanafunzwa isimu na fasihi mafunzo haya yanatolewa kuanzia shahada ya kwanza, shahada ya uzamili na shahada ya uzamifu.Elimu ya juu ya Kiswahili inatiliwa mkazo katika vyuo vikuu nchini Tanzania na hasa Dar-es-Salaam. Chuo hiki ndicho mlezi wa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI). Kwa muda mrefu, TUKI imechapisha mararida, kuzua istilahi na kuandaa kamusi. Vyuo vikuu nchini Uganda vikiongozwa na Makerere vimeanzisha mikakati kabambe ya kufunza Kiswahili. Kwingineko barani Afrika, Kiswahili kinafunzwa nchini Msumbiji, Sudan, Misri, Lesotho, Ghana, Nigeria n.k lugha hii imepewa msisimko mkubwa katika mitaala kuambatana na sera ya Afrika Kusini kutukuza lugha za Kiafrika. Ikumbukwe kuwa lugha hii ilichangia pakubwa ukombozi wa Afrika Kusini.Ukitembelea baadhi ya vyuo vikuu katika nchi za mashariki ya mbali kama Japani, Kora Kusini na Uchina, utapata Kiswahili kwenye orodha ya masomo. Maandishi mengi yanatafsiriwa kwa Kiswahili katika vyuo hivi. Takribani nchi zote ulaya zina vyuo vikuu vinavyofunza Kiswahili. Lakini Uingereza, Ujeremani na nchi za Skandinevia zimetia fora, pamoja na kufunza lugha hii, vyuo vinafadhili utafiti na uchapishaji wa mambo kuhusu Kiswahili. aidha nchi hizo huwadhamini wengi kusomea huko. Muhimu zaidi ni kuwa vyuo vikuu katika nchi hizo zimehifadh maandishi mengi ya Kiswahili. Hivi sasa masomo mengi wanayatumia kufanya utafiti hasa hukusu ushairi. Moja ya asasi hizi ni School of Oriental and African studies. Jijini London. Wataalamu waliosomea vyuo hivi wamerudi nyumbani na sasa wanajihusisha na uchapishaji wa vitabu vya nadharia, isimu, surufi, fasihi andishi na fasihi simulizi. Hata hivyo, ni Marekani ambapo matumizi na mafunzo ya Kiswahili katika vyuo vikuu yamepanuka sana. Lugha hii inafunzwa katika majimbo kama Washington, New York, Chicago, Texas, California, New Jersey n.k. vyuo maarufu sana vile Cornel, Yale na Havard vinafunza Kiswahili. Hali hii imesaidia kuingizwa kwa lugha hii katika mtandao.Lugha hii inafunzwa kama ishara ya hisia za Uafrika. Wamerekani weusi wanaona fahari kuzungumza Kiswahili. Hii huwakumbusha kuwa wao wana asili ya barani Afrika. Kupitia mafunzo haya, Wamerekani wengi wanaiga utamaduni wa Kiafrika. Wengi wao wamejipa majina ya Kiswahili kama vile Baruti Katembo Maulana, Simba n.k. kwa hakika Kiswahili kinapata hadhi. Maswali. (a) Bila kupoteza maana illiyokusudiwa na mwandishi, fupisha aya ya kwanza na ya pili. (maneno 50 - 60) (b) Kwa kuzingatia aya zilizobaki, eleza mambo muhimu anayoeleza mwandishi kuhusu ufundishaji wa Kiswahili katika vyuo vikuu. (maneno 60 - 70)

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Give the importance of calcium in expectant women.(Solved)

    Give the importance of calcium in expectant women.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Study the diagram below and answer the questions that follow.(Solved)

    Study the diagram below and answer the questions that follow. lichen10421042019.png (a) Label the parts A and B (b) State one observable difference between the structure above and the liverwort

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State two qualities of travel wear.(Solved)

    State two qualities of travel wear.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Kitabu kinaeleza Mungu kamuumba mwanamke kutokana na ubavu tu wa mwanamume. Na hapa bila shaka ndipo linapojisalimishia shina lisilokuwa na mzizi thabiti...(Solved)

    Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali:- Kitabu kinaeleza Mungu kamuumba mwanamke kutokana na ubavu tu wa mwanamume. Na hapa bila shaka ndipo linapojisalimishia shina lisilokuwa na mzizi thabiti la ubinafsi wa kiume – mwanamume akijijadilia kimoyomoyo. Ikiwa huyu mwanamke alitokana na ubavu wangu, yeye awe nani kwangu? Hakuna shaka ni wangu, mali yangu. Kwa sababu hii, miaka nenda miaka rudi mwanamke amekuwa akiugua na kuguna chini ya uonevu wa mwanamume. Swala la kitabu kumleta duniani mwanamke kupitia ubavu wa mwanamume laweza kueleweka katika muktadha wa kile ambacho kimekuja kujulikana kama taasubi ya kiume. Na ili tuelewane barabara kuhusu maoni haya, tujisitishe kidogo katika kunusa tumbako huku tukijiuliza: ni nani au ni kina nani walihusika katika kubuni au kuandika hadithi ya asili ya mwanamke kitabuni? Ni kawaida ya binadamu kutazama na kueleza jambo kibinafsi. Asili ya mwanamke ilivyoelezwa kitabuni katika mkururo wa fikra hii yaweza kutambulikana kama uzushi tu. Kiutamaduni, hasa wa Kiafrika, huku akiwa yuakua, mtoto wa kike husombezewa kasumba ya mawazo akilini, na kwa bahati mbaya sana, aghalabu na mamake au nyanyake, kuhusu namna anavyotarajiwa kutabasamu, kujinyenyekeza, na jumla kujidunisha mbele ya mvulana. Ni mwiko kwake kudhihirisha tabia za kimabavu, sitaji kujitetea, ili asije akatiwa mdomoni mitaani! Msichana atacharazwa na wazazi wake kwa ujasiri licha ya kuthubutu kupigana na mvulana. Na hapo ndipo ilipojificha siri ya kuwa anapoolewa na akosane na mumewe, daima yeye hutolewa makosa na kupatikana na hatia mbele ya wazee. Wavulana kwa upande wao ni wanaume na lazima afanye mambo kiume. Si ajabu kuwa kinyume cha yale yanayowafika wasichana, wavulana wengi huonyeshwa mbovu na baba zao kwa sababu wamepigwa na wenzao. Ni vibaya baba kusikia mtoto (mvulana) wake amepigwa. Nyumbani msichana hutarajiwa kujilindia heshima kimwili hasa kwa kuhifadhi ubikira mpaka aolewe. Anapotembea na wanaume huitwa Malaya. Ni ajabu kuwa hakuna bikira wala Malaya mwanaume. Mvulana ambaye hajajuana kimwili na mwanamke kabla ya ndoa huchukuliwa kuwa zuzu; ilhali anayetembea ovyo na wanawake ndiye dume. Fauka ya hayo, inasikitisha kabisa kuwa mwanamke hana mahali pa kutua kikamilifu duniani. Kabla hajaolewa nyumbani, huchukuliwa kuwa mpita njia tu. Na anapoolewa ni poa kaolewa. Isitoshe mwanamke huolewa, haoi wala yeye na mume hawaoani. Mwanamke mahali pake ni jikoni pia anaonekana tu; ni hatia kwake kujaribu kusikika. Mkutano kuhusu mwongo wa wanawake uliofanyika miaka miwili iliyopita jijini Nairobi ilinuiwa kupalilia vizuri mwamko juu ya ukweli kuwa binadamu ni binadamu na hakuna haja ya wao kubaguana. Tofauti za kimaumbile haziwezi kuwa hoja. Tusiupigie makelele ubaguzi wa rangi huko Afrika kusini ilhali kwetu tuna ubaguzi wa kimaumbile. Tusipozingatia ushauri huu daima tutakuwa kwenye kile kinaya cha kuchekwa katika muktadha wa methali kuwa nyani haoni ngokoye. Ni kweli kosa lilifanyika tangu awali ambapo kufumba na kufumbua, mwanamke akapigwa jeki na kuachwa akilewalewa katika hali ambayo hangeweza kujitetea hivyo basi akachukuliwa kuwa kiumbe duni. Lakini haidhuru, yaliyopita si ndwele, tugange yajayo. Kinachohitajika ni wanawake kuwa na nia na msimamo imara. Ni lazima wajifunge kibwebwe na kujitoa mhanga na kupambana dhidi ya taasubi ya kiume. (a) Andika kichwa kinachofaa kutokana na taarifa uliyoisoma (b) Taasubi ya kiume ilianzaje? (c) Katika utamaduni wa mwafrika ni kasumba gani anayosombezewa mtoto wa kike anapokua? (d) “Wavulana walidekezwa na utamaduni”. Eleza (e) Taja kwa ufupi mambo muhimu yaliyoshughulikiwa katika mkutano wa mwongo wa wanawake mjini Nairobi (f) Eleza maana ya semi zifuatazo kama zilivyotumiwa katika taarifa uliyosoma:- (i) Nyani haoni ngokoye . (ii) Akatiwa midomoni (iii) Huonyeshwa mbovu (iv) Wajifunge kibwebwe (v) Yaliyopita si ndwele ganga yajayo

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State two disadvantages of traditional house designs. (Solved)

    State two disadvantages of traditional house designs.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State the practices that are essential in the management of a child with measles(Solved)

    State the practices that are essential in the management of a child with measles

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Explain why small mammals such as moles feed more frequently than larger ones such as elephants.(Solved)

    Explain why small mammals such as moles feed more frequently than larger ones such as elephants.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Give points to consider when selecting a laundry bar soap(Solved)

    Give points to consider when selecting a laundry bar soap

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State the reasons for using trimmings in garment construction(Solved)

    State the reasons for using trimmings in garment construction

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Wanawake, wanaoishi katika maeneo ya mashambani katika nchi ambazo zinazoendelea ni baadhi ya watu waliotopea na kubobea katika uchochole mkubwa.(Solved)

    Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yafuatayo. Wanawake, wanaoishi katika maeneo ya mashambani katika nchi ambazo zinazoendelea ni baadhi ya watu waliotopea na kubobea katika uchochole mkubwa. Jumla ya idadi kubwa ya wanawake hawa wanaoishi chini ya kiwango cha chini, cha umaskini inakadiriwa kuwa zaidi ya milioni 600. Hii ni idadi kubwa hasa ikikumbukwa kuwa ni asilimia kubwa ya wanawake inayoishi kwa maeneo haya. Ulimwengu umeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya watu pamoja na kuwako kwa matatizo ya kiuchumi duniani.Kadhalika matatizo mengine ni mitarafuku na vita vya kikabila, majanga ya kiasili mathalani mafuriko , ukame na milipuko ya volkano. Usisahau kuwa pia kina uharibifu wa kimazingira, mabadiliko ya desturi na kusambaratika kwa familia na misingi yake. Tatizo lingine ni kuwa kuna kuongezeka kwa hali ya wanawake kuwa wazazi pekee na hivyo kuongeza familia zinazosimamiwa na wanawake ( ambao tumewataja kuwa wanakumbwa na umaskini mkubwa).Wanawake wanaoishi mashambani wanakumbwa na makubwa. Kwanza, kama maskini wanaishi katika mazingiramagumu. Vile vile kama wanawake wanakabiliana na mapendeleo ya kisera na kitamaduni yanayowadharau na kuwapuuza wanawake na mchango wao katika maendeleo. Tatu, kama viongozi wa familia hasa wanaolea na kutunza jamaa na mzazi mmoja, wanapambana na uogonzi wa familia pamoja na uzalishaji. Aghalabu hawapati usaidizi wowote katika majukumu kama haya bali wanalazimika kupambana nayo peke yao. Kutokana na hayo yote wanawake hawapati nafasi nzuri kushiriki katika maamuzi ya maswala yanayowahusu. Maswala mengi yanaamuliwa na wanaume pasipokuwahusisha wanawake. Licha ya dhiki yao kubwa, wanawake hawa wanachangia katika maendeleo ya jammi na kiuchumi kwa njia mbalimbali. Mchango huu unaonekana katika kiwango cha jamii,taifa na familia. Katika kiwango cha kijamii na kitaifa wanawake ndio chazo cha nguvukazi kwani ni wao na watoto wao wanatekeleza kazi nyingi hasa za nyumbani na mashambani. Mara nyingi huwa na uwezo bora wa kutunza chochote walichonacho kuliko wenzao wanaume. Kifamilia wanawake wa shambani wanashughulika mchana kutwa katika hali ngumu ya hewa aidha jua kali au mvua huku wameeleka wanao migongoni wakilima mashamba ili kupata chakula kwa familia zao. Jukumu la kuandaa chakula nyumbani bado linaachiwa wale wale wanawake wanaokizalisha mashambani. Jambo lisilopingika ni kwamba wanawake wanatekeleza majuku makubwa na muhimu katika kizazi cha binadamu na ndio hasa miimili ya jamii yoyote staarabu. Kwa hivyo, ni kinaya kitupu kudhalilisha wanawake. Mataifa mengi yaliyoendelea ni yale yaliyoondoa vikwazo vyote mbele ya wanawake na kuwaacha watekeleze wajibu wao. Kadhalika wanaume wa huko wanawaona wanawake kama wenzao katika kujenga jamii wala sio watumwa au watumishi wao wanaoumia na kutumikishwa kama vifaa na bidhaa. Inafaa jamii zinazodinisha wanawake zitambue kuwa ubaya wa tendo hili sio tu kudumaza maendeleo yake bali pia kutoa mfano mbaya kwa vijana ambao wataendeleza Ukandamizaji huu kwa vizazi vijavyo. Kwa hivyo, jamii inawajibika kutenda lililo sawa kwa kuwapa hadhi wanawake wote. Maswali a) Ipe taarifa hii anwani mwafaka b) Nakili maafa matatu ya kimaumbile yaliyotajwa katika kifungu hiki. c) Eleza sababu tatu zinazowazuia wanawake kushiriki katika maamuzi ya masuala yanayowahusu kulingana na makala haya. d) Wanawake hutekeleza majukumu gani katika jamii na taifa kutokana na makala haya? e) Kuna tofauti gani baina ya wanawake wa mataifa yaliyoendelea nay ale ambayo hayajastawi. f) Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumiwa kwenye taarifa: i) uchochole ii) kudhalilisha iii) mitafuruku

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Study the dental formula given below.(Solved)

    Study the dental formula given below. dental10341042019.png (a) Identify with reasons the mode of feeding of the animals whose dental formula is given above (b) Calculate the total number of teeth in the mouth of the above animal

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Describe the qualities of a toy suitable for a six month old baby(Solved)

    Describe the qualities of a toy suitable for a six month old baby

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State three ways by which the rate of enzyme controlled reactions can be increased.(Solved)

    State three ways by which the rate of enzyme controlled reactions can be increased.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Uundaji wa istilahi – hasa za lugha ya Kiswahili ni shughuli nyeti na nzito hivi kwamba, haipaswi kupapiwa na mtu yeyote. Hii...(Solved)

    Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali:- Uundaji wa istilahi – hasa za lugha ya Kiswahili ni shughuli nyeti na nzito hivi kwamba, haipaswi kupapiwa na mtu yeyote. Hii ni shughuli inayohitaji umakinifu zaidi kwa wanaoshiriki katika mchakato wa uundaji istilahi za kutufaa katika mawasiliano na kukuza Kiswahili kwa jumla. Ufanisi wa watu binafsi, vyombo vya habari kama vile Shirika la Habari la Kenya (KBC), Taifa Leo na mashirika mengineyo katika ukuzaji wa lugha hutegemea mno sera na utayarishaji wa serikali katika kugharamia shughuli hii. Aidha, shughuli za kukuza lugha hukwama kwa sababu ya ukosefu wa fedha pamoja na sera maalum ya serikali kuhusu lugha. Hata hivyo, katika kuyakwepa matatizo haya, pamekuwepo na hatua za kimataifa za kujaribu kusawazisha shughuli ya uundaji wa maneno. Hatua hii ilichochea kubuniwa kwa shirikisho la kimataifa la vyama vya usanifishaji istilahi mnamo 1936. Lengo la kitengo hiki lilikuwa ni kufafanua msingi madhubuti ya uundaji wa istilahi duniani. Kwa hakika, shirikisho hilo limesaidia mno katika kuweka misingi ya shughuli za ukuzaji wa istilahi. Misingi hiyo ni ya jumla na haihusu taaluma yoyote mahususi. Katika makala hii, tunapiga darubini baadhi ya misingi hiyo pamoja na mapendekezo yake. Mosi, uundaji istilahi unafaa uanzie kwenye dhana na wala sio neno. Hii ina maana kwamba, kwanza pawepo na dhana au hali ambayo inahitaji itafutiwe neno au istilahi ya kuielezea. Inasikitisha sana kwamba pana wataalamu ambao wanaukaidi au kuukiuka msingi huu. Wanataaluma hawa hufanya mambo kinyume kwa kujibunia maneno yao na kuyahifadhi kwenye mikoba yao – halafu wakasubiri dhana izuke ndiposa waipachike istilahi yao. Pili, dhana zinabuniwa au kutolea istilahi au maneo ni muhimu zielezwe kwa ukamilifu na uwazi. Istilahi zinazoundwa zinafaa ziwe fupi iwezekanavyo na ziwe na uwezo wa kuelezea dhana kwa njia inayoeleweka bila utata. Tatu, maneno yanayoundwa sharti yawe na uhusiano wa aina fulani na dhana zinazowakilishwa na maneno hayo. Uhusiano huo unaweza kuwa ama ni wa kimaumbile au wa kiutendaji. kwa mfano, Mzee Sheikh Nanhany wa Mombasa alipobuni istilahi ‘uka’ kwa maana ya ‘ray’. Neno hili latokana na kupambauka au (kupambazuka kwa lafudhi ya kiamu. Neno ‘image’ ni jazanda kwa Kiswahili. ‘Mirage’ kwa Kiswahili ni ‘mangati’ (kutoka kwa mang’aanti) – yaani kung’aa kwa nchi. Mtaalamu mwingine aliyewazia uendajikazi wa kifaa na kubuni istilahi inayokubalika mpaka sasa ni Prof. Rocha Chimerah ambaye alibuni istilahi ‘tarakilishi’. Pengine Prof. Chimerah alifikiria kazi ni kifaa husika na kuunda neno la Kiswahili linaloakisi kazi hiyo. Tunajua kwamba kompyuta hufanya kazi inayohusu tarakimu kwa haraka kama umeme. Labda Chimerah ameegemea sifa hii kuibuka na istilahi hii. Maneno mengine ambayo yamebuniwa kufuatana na msingi huu ni ya Mzee Nabhany-mathalan ‘barua pepe’ (e-mail), na wavuti (website). Tukiegemea maumbile, neno ‘kifaru’ lina maana ya vita ilihali tuna zana ya vita iliyopewa jina hilo kwa sababu ya labda kuwa na maumbile sawa na kifarumnyama. Nne, istilahi zinaweza kukopwa kutoka lugha nyingine. Yamkini hakuna lugha hata moja ulimwenguni-zikiwemo lugha duniani kama vile kiingereza zinazoweza kujitosheleza. Takriban asilimia 80 ya maneno katika kiingereza ni ya kukopwa. Kwa hivyo, lugha ya Kiswahili inapokopa, hali hiyo haipaswi kuchukuliwa kuwa ni lugha dhaifu. Hata hivyo, istilahi zinazokopwa zi-nafaa zichukuliwe zilivyo katika umbo lao asili. Umbo hili linaweza kufanyiwa marekebisho machache tu, kulingana na sarufi na matumizi ya lugha kopaji. Mifano ya istilahi kama hizi ni ‘televisheni’ (television), kopmpyuta (computer), kioski (kutokana na jina ‘kiosk’ la Kijerumani) na redio (radio), Tano, pale istilahi haiwezi kukopwa, lugha husika ijaribu kubuni msamiati ufaao, kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba, lugha inastawi. Lakini tahadhari inapaswa kuchukuliwa hivi kwamba, Kiswahili kisikope maneno kiasi cha kupoteza upekee wake. Mwisho, uundaji wa istilahi uzingatie mofolojia ya kawaida ya lugha. Istilahi zinazoundwa kwa kuzingatia mofolojia huwa rahisi kuiua maneno yenye uhusiano wa istilahi asili kwa njia ya mnyambuliko. (i) Taja mambo ambayo huchangia ukuaji na ufanisi wa jumla wa lugha ya Kiswahili (ii) “Lugha ya Kiswahili ni dhaifu na isiyotosheleza” Je, mwandishi wa makala haya ana msimamo upi kuhusu kauli hii? (iii) Tahadhari zipi zinazofaa kuchukuliwa kabla ya kukopa istilahi kutoka lugha zingine? (iv) Yape makala haya anwani mwafaka (v) Eleza maana ya maneno yafuatayo: (a) Dhana- (b) Takribani – (c) Istilahi – . (d) Mofolojia –...

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The concentration of carbon IV oxide in a tropical forest was measured during the course of 24 hour period from mid-night. The graph below shows...(Solved)

    The concentration of carbon IV oxide in a tropical forest was measured during the course of 24 hour period from mid-night. The graph below shows the results obtained.c4o10281042019.png Account for the results obtained at: (i) Midnight. (ii) At 12.00 noon

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Suggest ways of reducing expenditure on food(Solved)

    Suggest ways of reducing expenditure on food

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State and explain five macro environments and the positive effect of each on the performance of a business.(Solved)

    State and explain five macro environments and the positive effect of each on the performance of a business.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Apart from inadequate breast milk supply, give five other problems a mother may experience in breastfeeding. State the cause of the problem.(Solved)

    Apart from inadequate breast milk supply, give five other problems a mother may experience in breastfeeding. State the cause of the problem.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Gatundu wholesalers have been buying sugar directly from Mumias Sugar Company. Explain five services offered by Gatundu wholesalers to Mumias Sugar Company.(Solved)

    Gatundu wholesalers have been buying sugar directly from Mumias Sugar Company. Explain five services offered by Gatundu wholesalers to Mumias Sugar Company.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • a)Name the specific part of the chloroplast where the following processes occur.(Solved)

    a)Name the specific part of the chloroplast where the following processes occur. (i) Carbon IV oxide fixation (ii) Photolysis (b) State one way in which the dark reactions of photosynthesis depends on light reaction.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Describe how to clean a neglected wedding ring made of silver(Solved)

    Describe how to clean a neglected wedding ring made of silver

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Peterson started a handware business on 1st Janaury 2010. The following is a summary of his transaction during the month Invoices issued 2010 Jan 2: Mwiti Traders kshs...(Solved)

    Peterson started a handware business on 1st Janaury 2010. The following is a summary of his transaction during the month Invoices issued 2010 Jan 2: Mwiti Traders kshs 50,000 Jan 5: Mutahi Traders ksh 150,000 Invoices received 2010 Jan 3: Solomon Traders kshs 80,000 4: Kanake Enterprises kshs 160,000 Required: Record the above details in the appropriate subsidiary books.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The table below shows three enzymes A, B and C and their respective optimum pH.(Solved)

    The table below shows three enzymes A, B and C and their respective optimum pH. enzyme10201042019.png (i) Name the most likely region of the alimentary canal of a mammal where enzyme B would be found. (ii) Give a reason for your answer in (a) (i) above

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Kuna fikra inayotawala siku hizi kuwa jela si mahali pa adhabu bali matibabu.(Solved)

    Kuna fikra inayotawala siku hizi kuwa jela si mahali pa adhabu bali matibabu. Yaani lengo la kumfunga mhalifu si kumuadhibu bali kumtibu kwa njia ya kurekebisha tabia ili aweze kuchangia katika maendeleo ya jamii yake anapoachiliwa.Wataalamu wa masuala ya urekebishaji tabia wanasema kuwa mhalifu akiadhibiwa sana na kufanyishwa kazi ngumu anapokuwa kifungoni, huisha kuwa sugu zaidi kuliko alipofungwa. Kwa hivyo, wataalamu wanasisitiza umuhimu wa kutilia mkazo lengo la kumtia mtu jela kuwa ni kumjenga kitabia. Mijizi, minyang‘anyi na wauaji wanapotoka gerezani kama hawakubadilishwa hurejelea tabia zao za kuhatarisha zaidi maisha ya watu wengi.Ajabu na kinaya ni kwamba baadhi ya wahalifu nchini na kwingineko wametokea kupata faida kuu kutokana na vifungo vyao. Kuna wagungwa ambao wamewahi kuandika hadithi za kusisimua kuhusu maisha yao na kutokea kuwa mabilionea.Magazeti na vyombo vya habari pia huvutiwa na habari kuhusu maisha yao. Mara kwa mara, magazeti hujaa habari kuhusu mambo kama haya. Pia kuna sinema nyingi ambazo zimetungwa kufuata maisha ya wahalifu Fulani.Watetezi wa haki za kibinadamu wanadai kuwa yale wafungwa walikuwa wakitendewa, nab ado wanatendewa katika nchi nyingine ni kinyume nah akin za kimsingi za binadamu. Hali hii imepelekea magereza mengi kukarabatiwa ili kuweza kukidhi mahitaji ya "uibinadamu." Nchini kenya, wafungwa sasa wameanza kushughulikiwa kwa kila hali. Sikwambii wanapata chakula kizuri chenye viini lishe bora, malazi bora, maji safi na mazingira nadhifu kwa jumla. Kumeanzishwa pia mpango wa elimu ambao ni maalum kwa wafungwa magerezani. Sasa wafungwa wanapata elimu na kuhudhuria madarasa na hata kuufanya mtihani wa kitaifa.Vile vile magereza nchini wameanzisha pia mpango wa kuwa na mashindano ya kila aina, ya kati ya magereza mbalimbali.Kuna mashindano ya michezo mathalan kandanda, voliboli, na michezo mingine na juu ya yote majuzi magereza yalianzisha mashindano ya urembo baina ya wafungwa wa kike. Kilele cha kuboresha kwa hali ya magereza nchini Kenya ni kuanzishwa kwa huduma za kuwastarehesha wafungwa hao. Sasa wafungwa wa humu nchini wanaweza kusoma magazeti na hata kutazama runinga ili kupata habari kuhusu yanayotendeka nchini wanapoendelea kutumikia vifungo vyao. Hata ingawa serikali imeanzisha mipango hii ya kuboresha hali katika magereza ya kenya, kuna matatizo mbalimbali ambayo yanaendelea kukumba taasisi hii. Kwanza, ni msongamano wa wafungwa uliopo. Magereza mengi yana wafungwa maradufu ikilinganishwa na idadi yanayofaa kuwa nayo. Hali hii imepelekea kuzuka kwa magonjwa na madhara mengine. Hii imewafanya watetezi wa haki za kibinadamu kuitaka serikali ianzishe mpango wa kutoa vifungo vya nje kwa wahalifu wenye makosa madogo madogo kuondoka msongamano huo. Maswali a) Eleza ujumbe muhimu unaojitokeza katika aya nne za kwanza. (maneno 50-60) b) Eleza mabadiliko ambayo yamefanywa katika idara ya magereza nchini Kenya

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Outline the procedure of laundering a loose coloured cotton nightdress(Solved)

    Outline the procedure of laundering a loose coloured cotton nightdress

    Date posted: October 4, 2019.  

  • (a) Name the disease caused by schistosoma parasites in man. (b) How is schistosome adapted to its parasitic mode of life?(Solved)

    (a) Name the disease caused by schistosoma parasites in man. (b) How is schistosome adapted to its parasitic mode of life?

    Date posted: October 4, 2019.