Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Questions and Answers - Kenyaplex.com

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

61904 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • The diagram below represents a cell organelle(Solved)

    The diagram below represents a cell organelle. xy10161042019.png (i) Name the part labeled y (ii) State the function of the part labeled X State the function of the vitamin named in (i) above

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Jadili changamoto za elimu katika hadithi ya Kanda la Usufi.(Solved)

    Jadili changamoto za elimu katika hadithi ya Kanda la Usufi.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Nchini Kenya, pamoja na kuwa mwanamke amepewa hadhi kubwa ikilinganishwa na hapo awali, kumetokea visa vingi vya unyanyasajiwa wanawake. Visa hivi haviwakati...(Solved)

    Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali Nchini Kenya, pamoja na kuwa mwanamke amepewa hadhi kubwa ikilinganishwa na hapo awali, kumetokea visa vingi vya unyanyasajiwa wanawake. Visa hivi haviwakati wengi maini, bali ni vyombo vya kuwazindua viongozi kuona kwamba hali haijafika kiwango cha kuridhisha. Visa vya ubakaji wa watoto wa kike na wazee, na wakati mwingine baba zao, vimetokea katika miaka ya hivi karibuni. Isitoshe, akina mama wengi wamekuwa wahasiriwa wa mivua ya makonde kutoka kwa waume zao, hata kwa makosa madogo madogo. Hivi majuzi mmoja wa wanawake hawa, ambao maisha kwao ni shairi tu, alichomwa vibaya na mumewe, kisa na maanaamejitia kujua kuwa kuna siku ya wapenzi, yaani Valentine day. Mwanamke huyu, baada ya kutoa mashambani kuja kujumuika na mumewe kusherehekea siku ya wapenzi, alipata sherehe za kuchoma moto huku mumewe akilalamika kuingiliwa uhuruwake. Mama huyu bado anauguza majeraha ya mwili na moyo! Mwanamke aliyesoma na kupewa fursa ya kufanya kazi na ajira ofisini naye amekabiliwa na changamoto nyingi. Huyu lazima atekeleze majukumu yake kama mama, mke na mfayikazi. Wengi wa wanawake wanaofanya kazi mjini hulalamika wanafanya kazi maradufu ya wanaume. Mwanamke kama huyu, kama alivyolalamika mmoja wao ambaye ni afisa wa utawala wa mikoa, huanza siku yake alfajiri na mapema kuitayarishia familia staftahi, kisha kuelekea ofisisni ambapo anakabiliwa na migogoro mingi ya kusuluhisha. Arejeapo nyumbani jioni, hali huwa hiyo hiyo, kutayarisha chajio, kushughulikia kazi za shule za watoto na kuichangamsha familia. Maisha yake huwa hivyo, siku nenda siku rudi. Utashangaa mja huyu atayabeba mangapi? Hali huwa mbaya zaidi kwa wanawake ambao wameingia siasa. Hawa mikasa yao haihesabiki. Mara watupiwe mabezo ya kila aina na wanasiasa wenzao, mara washutumiwe na kutiwa midomoni na wanajamii kwa kuonekana wakichapa kazi na kuwa na uhusiano wa karibu na wazalendo wenzao wa kiume. Maisha yake hupigwa darubini hata nyakati ambazo hayahitaji kuangazwa. Mwanamke amekuwa kinyago cha kufanyiwa mzaha. Juzi karibu mbingu zianguke alipojitokeza mwana vitimbi mmoja aliyejitia kufanyia utani yasiyohitaji. Alimwasiri mwanamke kama aliyechangia kukosewa heshima kwake kwa kule kutamani kufanywa hivyo. Ingawa wanawake walimshinikiza mhusika huyu kuomba msamaha, upayukaji wake haupaswi kuchukuliwa kama mzaha. Ni ishara ya hisia ya ndani za watu wengi kuhusu mwanamke; kwamba ingawa wakenya wamejitahidi kupigania haki za wanawake; baadhi yetu bado wana zile fikira za kijadi kuhusu wanawake. Uchumi wa nchi kamwe hauwezi kuendelea bila kumhusisha kila mtu. Nchini humu, baada ya kutambua haya, mwanamke amepewa nyadhifa mbalimbali katika serikali. Ingawa kuna baadhi ya wanawake waliohusika na kashfa mbalimbali za kifisadi, Kuna wale ambao wametumia nyadhifa zao kuhifadhi nchi. Mmoja wa wanawake amejaribu kwa jino na ukucha kuyalinda mazingira dhidi ya mapapa. Nani asiyekumbuka matusi na mabezo aliyopata mwanamke huyu anayejitoa mhanga kuikinga sehemu Fulani ya burudani dhidi ya kunyakuliwa na wanaostahili? Hakuyajutia yaliyompata. Aliowatisha walijaribu kummeza mzimamzima lakini mwishowe walisalimu amri na kuliacha eneo hilo. Hiki kilikuwa kitendo cha ujasiri na uzalendo mkubwa. Matunda yake yamewafaidi wengi, vijana kwa wazee. Kila mwisho wa wiki huwaona watu wakimiminika kwenye eneo hili kujipumbaza. Hii si fahari kwake tu, bali kwa nchi kwa jumla. Wale waliompinga na kumwita punguani wakati huo wamebaki kuinamisha nyuso tu; bila shaka wamefunzwa mengi. Wanawake sasa wana haki ya kumiliki mali mathalani shamba. Kutokana na hili tumeshuhudia ongezeko kubwa la uzalishaji wa chakula mashambani na kwa hivyo kupunguza njaa na umaskini. Biashara ndogondogo zinazoendelezwa sokoni na mitaani, kwa kiasi kikubwa, huhusisha wanawake. Biashara hizi huchangia pakubwa katika kuimarisha uchumi wa nchi kwani hutoa ajira ya kibinafsi kwa maelfu ya watu. Ushuru na leseni zinazokatiwa biashara hizi huongezea serikali pato la ndani. Mgala muuwe na haki umpe. Ni ukweli kwamba tumekuwa na visa vya hapa na pale vya ukiukaji wa haki za wanawake. Hata hivyo, ni dhahiri kwamba nchi hii imejitahidi mno kuendelea kumkwamua mwanamke kwayo. Hata mashirika ambayo hapo awali hayakupenda kuwaajiri wanawake, sasa yanawapa nafasi sawa na wanaume. Vyuo vikuu vya kibinafsi vimeanzishwa kuwasajili wanawake. Jijini humu, mna chuo kikuu cha sayansi cha wanawake. Aidha kumeanzishwa kituo (shule) cha kuwasajili wasichana kutoka familia maskini kujiunga na kidato cha kwanza. Wasichana hawa watapata wadhamini kutoka mashrika na watu mbalimbali ili kujiendeleza kimasomo. Kumheshimu mwanamke ni miongoni mwa haki za kibinadamu ambazo shart zitekelezwe. Hata hivyo, wanawake wakumbuke kwamba hata wanapopuliza siwa kuhusu pupewa haki, lazima wao pia wawajibike. Wao ndio walimu wa kwanza wa wanao; ikiwa basi wataonekana kwenye vyombo vya habari wakining’inia juu ya magari ya wachunga magereza kwa kuzitafutia pesa za mayatima maumizi bora, watakuwa wanapotosha watoto wao. Wawe watu wa vitendo zaidi ya upayukaji. a) Kwa mujibu wa taarifa, ni mambo yapi yanayoonyesha ukiukaji wa haki za wanawake b) Fafanua jinsi mwanamke aliyesoma huteseka maradufu zaidi ya mwanamme c) Ni faida gani ambazo zimepatikana kutokana na wanawake kupigania haki zao? d) Hatimaye wanawake wanahimizwa kufanya nini? e) Eleza maana ya msamiati ufuatao jinsi ulivyotumiwa katika nakala Kinyago… Mabezo f) Andika mfano wa mbalagha na uhuishi uliotumiwa katika makala haya i) Mbalagha ii) Uhuishi

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Below is a process that takes place along the mammalian digestive system.(Solved)

    Below is a process that takes place along the mammalian digestive system. lipids10121042019.png (a) Name the processes represented by A and B (b) Name part of the alimentary canal where the process B takes place

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Sikufahamu ikiwa hisia zenyewe zilikuwa kwa sababu ya "furaha au huzuni." Potelea pote! Liwalo naliwe!! Nilisikia sauti Fulani ikinadi ndani katika nafsi yangu.(Solved)

    Damu Nyeusi na Hadithi nyingine Ndoa ya samani (Omar Babu) Sikufahamu ikiwa hisia zenyewe zilikuwa kwa sababu ya "furaha au huzuni." Potelea pote! Liwalo naliwe!! Nilisikia sauti Fulani ikinadi ndani katika nafsi yangu. a) Eleza muktadha wa dondoo hili. b) Bainisha tamathali mbiliza usemi katika dondoo hili. c) Ni yapi yaliyodhihirisha 'furaha au huzuni' katika hisia za anayeelezwa?

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State two conditions which encourage the breeding of cockroaches(Solved)

    State two conditions which encourage the breeding of cockroaches

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Uongozi mbaya una athari kadhaa. Thibitisha madai haya kwa kurejelea Tamthili ya Mstahiki Meya.(Solved)

    Uongozi mbaya una athari kadhaa. Thibitisha madai haya kwa kurejelea Tamthili ya Mstahiki Meya.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State ways of caring for a suitcase.(Solved)

    State ways of caring for a suitcase.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Give the reasons for keeping potatoes in cold water as soon as they are peeled(Solved)

    Give the reasons for keeping potatoes in cold water as soon as they are peeled

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Ndiyo yale ya "ngome in‘tuumiza naswi tu mumo ngomeni.‘(Solved)

    Mshtahiki Meya: T. Arege Ndiyo yale ya "ngome in‘tuumiza naswi tu mumo ngomeni.‘ a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. b) Tambua tamathali mbili za usemi zilizo tumika latika dondoo hili. c) Kwa kurejelea tamthilia onyesha jinsi ngome inavyowaumiza wanacheneo. d) Wanacheneo wanatumia mikakati gani kukabiliana na hali ya (c) hapo juu.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Explain why vitamin A deficiency is not common in most parts of Kenya(Solved)

    Explain why vitamin A deficiency is not common in most parts of Kenya

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Explain the function of a trap in a kitchen sink(Solved)

    Explain the function of a trap in a kitchen sink

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Mention the points to consider when selecting baking tins(Solved)

    Mention the points to consider when selecting baking tins

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Enter the following transactions in the relevant ledger accounts. 2011 July 1: Opening balances cash ksh 24,000, bank kshs 8000 (cr) 3: Paid...(Solved)

    Enter the following transactions in the relevant ledger accounts. 2011 July 1: Opening balances cash ksh 24,000, bank kshs 8000 (cr) 3: Paid rent kshs 4,000 in cash 4: Bought goods worth ksh 8,000 and paid by cheque 5: Deposited ksh. 5,000 from the business into the bank

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Give factors to consider when choosing where to buy vegetables(Solved)

    Give factors to consider when choosing where to buy vegetables

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Record the following transaction in a two column cash book. 2012 Jan 1: Started business with capital of sh20,000 cash and sh 50,000 at bank. ...(Solved)

    Record the following transaction in a two column cash book. 2012 Jan 1: Started business with capital of sh20,000 cash and sh 50,000 at bank. 2: Bought stock in cash sh 120,000 3: Cash sales sh 5,000 7: Bought stock worth sh 10,000 on credit. 12: Withdrew cash from bank for office use sh.8,000. 15: Paid rent by cheque shs 6000. 20: Received shs 4000 by cheque from a debtor.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State ways of minimizing wastage of detergents when washing(Solved)

    State ways of minimizing wastage of detergents when washing

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Onyesha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyoshughulikia Nafasi ya mwanamke.(Solved)

    Onyesha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyoshughulikia Nafasi ya mwanamke.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The following balance sheet relates to Uzuri traders Required: Calculate (i) Capital owned (ii) Borrowed capital (iii) Working capital (iv) Capital employed (Solved)

    The following balance sheet relates to Uzuri traders fig14102019947.png Required: Calculate (i) Capital owned (ii) Borrowed capital (iii) Working capital (iv) Capital employed

    Date posted: October 4, 2019.  

  • State factors that affect the choice of a hem(Solved)

    State factors that affect the choice of a hem

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Onyesha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyoshughulikia Nafasi ya vijana.(Solved)

    Onyesha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyoshughulikia Nafasi ya vijana.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Identify the terms given to each of the following statements. a.Transport goods from producers to consumers b.Activities carried out with a view of making profit. c.A person...(Solved)

    Identify the terms given to each of the following statements. a.Transport goods from producers to consumers b.Activities carried out with a view of making profit. c.A person who uses a good or service. d.Increasing the usefulness of a good or services

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Define the term disposal of fullness(Solved)

    Define the term disposal of fullness

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Ufisadi ni uhalifu unaohusu kuzitumia njia za ulaghai kujipatia pesa, mali au vitu hasa vya umma. Nchini Kenya ufisadi hujitokeza...(Solved)

    Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali. Ufisadi ni uhalifu unaohusu kuzitumia njia za ulaghai kujipatia pesa, mali au vitu hasa vya umma. Nchini Kenya ufisadi hujitokeza kwa njia mbalimbali na kila mojawapo ina athari zake. Kwa mfano kuna maafisa wa serikali wajipatiao pesa kwa kuuza stakabadhi za serikali kama vile pasi, vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya kumiliki mashamba, vitambulisho n.k. kwa raia, kuna hatari kubwa kwa sababu watu wasio raia wa Kenya wameweza kusajiliwa kama wakenya na kuendeleza uhalifu kama ugaidi, wizi na ulanguzi wa dawa za kulevya. Wengine hujipatia vibali vya kufanya kazi na kuajiriwa kazi ambazo zingefanywa na wakenya. Hii imechangia ongezeko la uhaba wa kazi nchini. Watumizi wengine wa umma huuza mali ya serikali kama vile magari nyumba na ardhi na kufutika pesa za mauzo mifukoni mwao. Wengine wao hujinyakulia na kufanya vitu hivyo kuwa mali yao. Ufisadi wa aina hii umegharibu serikali kiasi kikubwa cha fedha. Serikali imelazimika kununulia maafisa wake magari baada ya muda mfupi, kulipia wafanyi kazi wake kodi za nyumba na kukosa viwanja vya upanuzi na ujenzi wa shule hospitali, vituo vya polisi na taasisi zingine maalumu. Baadhi ya wataalamu kama madaktari huiba dawa kutoka hospitali za umma kupeleka vituo vyao vyaafya. Pia hutumia wakati wao mwingi katika kazi zao za kibinafsi na kuwaacha wagonjwa katika hospitali za umaa wakihangaika. Sio madaktari tu, kuna masoroveya, whandisi, mawakili, walimu na mahesibu ambao hukwepa majukumu yao serikalini na kufanya kazi za kibinafsi.. Wengine wasio wataalam huendesha biashara za aina tofauti, na huku wanaendelea kupokea mishahara. Wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo na shule bora za umma na hawakuhitimu wakati mwinginehulazimika kusalimu amri na kutoa hongo hili wapate nafasi za kusoma. Kiasi cha pesa kinachohitajika huwa kikubwa hivi kwamba ni wachache humudu hizo rushwa. Wale wasiojimudu kifedha hubaki wakilia ngoa. Kuna wazazi ambao hutumia vyeo vyao na ‘undugu’ kupata nafasi zilizotajwa, jambo ambalo huwanyima wanafunzi werevu kutoka jamii maskini nafasi ya kupata elimu. Matokeo huwa ni kuelimisha watu wasiostahili na ambao mwishowe hawaziwezi kazi wanazosomea wakihitimu na kuanza hudumia jamii. Ufisadi umekita mizizi na kushamiri katika sekta za umma za kibinafsi kwa upande wa kuajiri wafanyikazi. Ni vigumu kupata kazi ikiwa hujui mtu mkubwa katika shirika linalohusika au uzunguke mbuyu. Matokeo ni kuajiri wafanyikazi wasiohitimu na wasiohitimu na wasiowajibika kazini. Vyeo na madaraka katika baadhi ya mashirika hutolewa kwa njia ya mapendeleo na ufisadi. Kwa hivyo, wafanyikazi wenye biddi hufa moyo kwa sababu hawasaidiwi ipasavyo. Badala yake wale wasioleta bidii hupandishwa vyeo na kuwaacha palepale. Hata hivyo, mbio za sakafuni huishaia ukingoni. Serikali imetangaza vita dhidi ya ufisadi. Tayari tume kadhaa zimeteuliwa kuchunguza visa vya ufisadi uliotekelezwa hapo mbeleni. Mojawapo ya tume hizo ni Tume ya Kuchunguzavisa vya ufisadi uliotekelezwa hapo mbeleni. Mojawapo ya tume hizo ni Tume ya kuchunguza Kashfa ya “Goldenberg” ambapo pesa za umma (mabilioni ya shilingi) ziliporwa na mashirika na watu binafsi kwa njia siziso halali. Watakaopatikana na hatia ya kushiriki ufisadi huo watahitajika kurudisha pesa hizo. Serikali pia imeunda kamati ya kupikea malalamiko kutoka kwa wananchi waliohasiriwa na mawakili walaghai ambao hupokea ridhaa kwa niaba ya wateja wao na kukosa wakalipa, au wakilipwa kuwatetea mahakamani wanakwepa jukumu hilo ilhali wamekwishalipwa. Ni matumaini yetu kuwa ulaghai huu utaangamizwa kabisa kwani hakuna refu lisilokuwa na ncha. 1. Eleza aina nne za ufisadi zilizotajwa katika kifungu ulichosoma 2. Kulingana na kifungu ulichosoma, ufisadi umeathiri nchi yetu kwa njia gani? 3. Serikali inafanya jitihada gani ili kukomesha ufisadi? 4. Kwa maoni yako, unafikiri ufisadi husababishwa na nini? 5. Toa msamiati mwingine wenye maana sawa na rushwa 6. Eleza mana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumiwa kifunguni; (a) Majukumu (b) Kashfa (c) Shamiri (d) wakilia ngoa (e) Waliohasiriwa (f) Kita mizizi

    Date posted: October 4, 2019.  

  • HADITHI FUPI DAMU NYEUSI NA HADITHI ZINGINEZO (KEN WALIBORA NA SAID A. MOHAMED) Mwana wa Darubini (Kristina Mwende Mbai) “Ulijuaje alikuwa anaangalia kwetu? a.Eleza muktadha wa dondoo hili. b.Hadithi...(Solved)

    HADITHI FUPI DAMU NYEUSI NA HADITHI ZINGINEZO (KEN WALIBORA NA SAID A. MOHAMED) Mwana wa Darubini (Kristina Mwende Mbai) “Ulijuaje alikuwa anaangalia kwetu? a.Eleza muktadha wa dondoo hili. b.Hadithi hii inaonyesha matatizo ya kijamii. Fafanua. c.Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Suggest ways of improving flavour of food when cooking(Solved)

    Suggest ways of improving flavour of food when cooking

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Kimya changu kimezidi, navunja yangu subira,(Solved)

    Soma shairi ifuatayo kisha ujibu maswali yatakayofuata. Kimya changu kimezidi, navunja yangu subira, Marejeya ya miradi, kuhitimisha dhamira, Kukejeli sina budi, niwafunze utu bora, Nani aali zaidi, Wakenya au vinara? Serikali bila hadi, ndo kiini cha madhara, Yanopiga kama radi, isokuwa na ishara, Yamini kuwa gaidi, wakitupora mishahara, Nani aali zaidi, Wakenya au vinara? Wamejifanya hasidi, wasopatana kifikira, Wana yao maksuudi, kijisombea ujira, Wakilenga kufaidi, tumbo zao za kichura, Nani aali zaidi, Wakenya au vinara? Nchi yetu kufisidi, ni jambo linonikera, Tangia siku za jadi, ufukara ndo king‘ora, Kutujazeni ahadi, nyie mkitia for a, Nani aali zaidi, Wakenya au vinara? Maskini watozwa kodi, wapwani na walo bara, Kwa uvumba na uudi, mwawalipa kwa hasara, Hamudhamini miradi, mejihisi masongora, Nani aali zaidi, Wakenya au vinara? Mesema kazi ni chudi, basi sirikali gura, Nafsi zenu mzirudi, mkubali kuchakura, Makondeni mkirudi, muondoe ufukara, Nani aali zaidi, Wakenya au vinara? Ujanjenu umezidi, demokrasia bakora, Debeni takaporudi, michirizi kwenye sura, Kuwachuja a! muradi, kwa za mkizi hasira Nani aali zaidi, Wakenya au vinara? Maswali a) Toa anwani mwafaka kwa shairi hili. b) Ainisha shairi hili kwa jinsi tatu huku ukitoa sababu. c) Onyesha Mbinu mbili za lugha katika shairi hili. d) Bainisha matumizi matatu ya uhuru wa mshairi katika shairi hii. e) Andika ubeti wa nne katika mtindo tutumbi. f) Fafanua maudhui matatu yanayojitokeza katika shairi hili. g) Taja mpango mmoja unaotajwa kama njia ya kutatua matatizo ya nchi. h) Eleza muhudo wa shairi hili.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • USHAIRI Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali: Hakika siku ya leo, ni siku ya majivuno Basi pasiwe na choyo, na usonono Tulekezane yaliyo, unawiri Muungano. Tuzisafisheni nyoyo, pasiwe na...(Solved)

    USHAIRI Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali: Hakika siku ya leo, ni siku ya majivuno Basi pasiwe na choyo, na usonono Tulekezane yaliyo, unawiri Muungano. Tuzisafisheni nyoyo, pasiwe na miguguno Yaongoke tutakayo, kusiwe na mabishano Mbegu hii tupandayo, ilete mema mavuno. Tufungulie upeo, Mola usiye mfano Pa kitasa na komeo, tupite bila kinzano Tupitishe njia hiyo, pasina masongamano Twakuomba uumbao, mkono vyanda vitano Tushikane hii leo, tuwe moja tangamano Tupendane kwa pumbao, hali na maridhiano Aliye ana machukiyo, adui wa Muungano Naazibe masikiyo, asisikie maneno Kisha awe kibogoyo, asiwe na moja jino. Ya Ilahi ujalie, juu wetu Muungano Nuru yake izagae, na nguvu za mapigano Hasidi mpe hakie, mateso yaso mfano Watamati komeleo, kuimba kwangu hukuno Nataka maendeleo, yasiyo na malumbano Daima tuwe ni ngao, palipo msagurano (i) Lipe shairi hili anwani yake. (ii) Liweke shairi hili katika bahari mbili ukitumia: Idadi ya (i)Mishororo (ii)Vina (iii) Onyesha muundo wa shairi hili. (iv) Andika ubeti wa pili kwa lugha ya nathari. (v) Toa mifano ya idhini ya kishairi iliyotumika katika shairi hili. (vi) Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika shairi. (i)Usonono – (ii)Msagurano –

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Tunga sentensi moja kubainisha tofauti kati ya: i) Samani ii) Zamani(Solved)

    Tunga sentensi moja kubainisha tofauti kati ya: i) Samani ii) Zamani

    Date posted: October 4, 2019.  

  • RIWAYA Kidagaa kimemwozea Ken Walibora Angewezaje kumwambia kwamba mifugo wake walikuwa katika ukalifu tangu Amani kutiwa mbaroni?” a)Eleza muktadha wa dondoo hili? b)Mzungumziwa hakuwa na utu. Fafanua. c)Toa mifano...(Solved)

    RIWAYA Kidagaa kimemwozea Ken Walibora Angewezaje kumwambia kwamba mifugo wake walikuwa katika ukalifu tangu Amani kutiwa mbaroni?” a)Eleza muktadha wa dondoo hili? b)Mzungumziwa hakuwa na utu. Fafanua. c)Toa mifano ya maudhui ya ukatili katika Riwaya ya kidagaa kimemwezea inayofaa.

    Date posted: October 4, 2019.