Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Questions and Answers - Kenyaplex.com

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

61904 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • Define Case Study(Solved)

    Define Case Study

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Andika sifa mbili za irabu / u /(Solved)

    Andika sifa mbili za irabu / u /

    Date posted: October 3, 2019.  

  • List the characteristics of Print Media.(Solved)

    List the characteristics of Print Media.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Define the term print media.(Solved)

    Define the term print media.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • (Solved)

    Andika sauti yenye sifa zifuatazo; -Kikwamizo -Kaakaa gumu -Sighuna

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Discuss the traditional teaching aids.(Solved)

    Discuss the traditional teaching aids.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Give the advantages of Observational Research(Solved)

    Give the advantages of Observational Research

    Date posted: October 3, 2019.  

  • The diagram below represents a stage during cell division. a) Identify the stage of cell division. b) Give two reasons for your answer c) Name the structure...(Solved)

    The diagram below represents a stage during cell division. fig2431020191105.png a) Identify the stage of cell division. b) Give two reasons for your answer c) Name the structure labelled P

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Outline the steps to be taken when using media.(Solved)

    Outline the steps to be taken when using media.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • List the principles of Print and Non-Print Media.(Solved)

    List the principles of Print and Non-Print Media.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Explain the effect of discharging hot water in an aquatic ecosystem.(Solved)

    Explain the effect of discharging hot water in an aquatic ecosystem.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Aibu kubwa ya taifa kushindwa kukabiliana na tatizo sugu la ajali za barabarani bado inaendelea kuwafedhehesha wahusika katika sekta ya uchukuzi na mawasiliano licha ya...(Solved)

    Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Aibu kubwa ya taifa kushindwa kukabiliana na tatizo sugu la ajali za barabarani bado inaendelea kuwafedhehesha wahusika katika sekta ya uchukuzi na mawasiliano licha ya matumizi ya vidhibiti mwendo na kanda za usalama. Ajali za barabarani zinaangamiza idadi kubwa ya watu kila mwaka wakiwemo viongozi na watu mashuhuri. Miongoni mwa sababu ambazo zinaleta maafa barabarani pamoja na uendeshaji kasi kupita inavyotakikana, yaani kukiuka masharti yaliyowekwa na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano. Madereva wengi hung‘oa vidhibiti mwendo vilivyowekwa, hawarekebishi mikanda ya usalama, wala hawayapeleki magari yao kukaguliwa mara kwa mara kama inavyopaswa. Yale yanayopelekwa kwa ukaguzi, mengi hushindwa kutekeleza kanuni zilizoweka kwa hivyo hutegemea hongo kuwa barabarani. Fauka ya hayo, madereva wa malori na matrela mara nyingi huendesha magari hayo wakiwa walevi. Dawa za kulevya kama miraa na bangi hutumiwa sana na hawa na matokeo yake huwa ajali mbaya. Hata hivyo, lawama haiwezi kuelekezewa madereva pekee. Ukiangazia barabara nchini Kenya utapata kuwa barabara haziko katika hali nzuri. Zile za lami zimekuwa na mashimo makubwa ambapo mvua ikinyesha hufanya vidimbwi mithili ya michimbo ya madini yaliyojaa maji baada ya kuachwa wazi. Na zile barabara zisizokuwa na lami zimeharibika kiasi kwamba ni vigumu kuzitofautisha na njia za ng‘ombe kwenye maeneo kame. Kinachohitajika ni kuzirudisha katika kiwango ambacho zinaweza kufaa tena. Wananchi pia inafaa waelimishwe ili wasikubali kupanda magari ambayo tayari yamejaa. Hili litawasaidia wananchi wenyewe kudumisha usalama wao barabarani. Pia inawafaa watambue ya kwamba wana jukumu la kuwaarifu walinda usalama endapo dereva anaendesha kwa kasi kuliko ile ya kilomita themanini kwa saa iliyokubaliwa. Inafahamika kuwa maafia wa usalama ndio wafisadi zaidi, hivyo basi huchangia katika kuongeza idadi ya vifo barabarani. Katika vita vya ufisadi na ajali za barabarani ni mwanachi mwenyewe ambaye atawezesha kukomesha hali hii. Kwa mfano, afisa wa usalama akipatikana akichukua hongo, yeye pamoja na yule aliyetoa hongo wakamatwe na kupelekwa kwenye vituo vya kukabiliana na ufisadi na kuchukuliwa hatua kali, matatizo haya yataisha. Lakini kabla kufikia hapo, ni muhimu kumhamasisha mwananchi kuhusu haki zake na namna ya kukabiliana na suala hili la ufisadi. Hali hii inatuonyesha kwamba mipango maalum inapaswa kufanywa na serikali ili kuwaelimisha wananchi kama hatua ya kwanza kukabiliana na ufisadi, hatimaye izilainishe sekta zote wala si ya uchukuzi na mawasiliano pekee. (a) Kwa kurejelea aya ya pili na ya tatu, eleza mambo yanayochangia ajali za barabarani. (Maneno 45-50) (b) Fupisha ujumbe wa aya ya mwisho. (maneno 50-55) (c) Mbali na ajali za barabarani, taja, tatizo lingine sugu ambalo linakumba nchi ya Kenya (d) Mwandishi anapendekeza hatua zipi zichukuliwe na serikali ili suluhisho la kudumu lipatikane? (e) Taja hatua ambazo serikali imechukua ili kuimarisha uchukuzi (f) Ni kitu gani ambacho kinaonyesha kuwa serikali imeshindwa kukabiliana na ajali barabarani? (g) Eleza maana ya maneno haya:- (i) Tatizo sugu. (ii) Vithibiti mwendo. (iii) Machimbo. (iv) Ukarabati. (v) Hongo. (vi) Kuhamasisha..

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Give the differences between print and non-print media.(Solved)

    Give the differences between print and non-print media.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Name two processes that occur in the nephrone of the mammalian kidney.(Solved)

    Name two processes that occur in the nephrone of the mammalian kidney.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • List the steps involved in historical research(Solved)

    List the steps involved in historical research

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Zaraa ndio uti wa mgongo wa taifa la Kenya. Viwanda vingi nchini hutegemea kilimo kama malighafi yake na kuwalisha wafanyakazi(Solved)

    Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Zaraa ndio uti wa mgongo wa taifa la Kenya. Viwanda vingi nchini hutegemea kilimo kama malighafi yake na kuwalisha wafanyakazi. Licha ya umuhimu wa sekta hii, mkulima ambaye ndiye nguzo za zaraa anaendelea kukabiliwa na matatizo mbalimbali yanavokwamiza juhudi zake. Mojawapo ya matatizo yanayomkabili mkulima ni ukosefu wa ushauri wa zaraa. Wataalamu wanaotarajiwa kumshauri mkulima kuhusu njia bora za kuzalisha na kuongeza pato lake ni haba ikilinganishwa na idadi ya wakulima wanaohitaji ushauri. Wachache walioko nao wanakwamizwa na mambo tofauti. Mathalani, utawapata hawaendi nyanjani ili kukutana na wakulima kwa kuwa hawana usafiri. Iwapo usafiri upo, huenda petroli ikawa ni kizungumkuti. Halikadhalika, usisahau kuwa baadhi ya wataalamu hawa ni walazadamu au mafisadi. Kuna wale wanaofika ofisini na kushinda siku nzima wakisoma gazeti huku wakijaza miraba, wakicheza bao au karata. Kuna wale nao ambao hufika ofisini wakaangika koti au sweta kitini ili waonekane kuwa bado wapo na kisha kutokomea kwenda kushughulikia mambo yao ya kibinafsi yasiyohusu ndewe wala sikio kazi waliyoajiriwa kuifanya. Ukosefu wa sera mwafaka kuhusu ardhi nalo ni tatizo jingine linalotatiza kilimo nchini. Serikali haijaweka sera mahususi kuhusu matumizi ya ardhi. Wananchi wengi huongozwa na taratibu za utamaduni wa nasaba zao. Taratibu hizi hupendekeza ugawaji wa ardhi kwa minajili ya urithi kulingana na warithi waliopo. Si ajabu kuwa kote nchini, ardhi inayofaa kwa kilimo imekatwakatwa vipande vidogo vidogo ambavyo haviwezi kuwa na faida kwa zaraa. Kushindwa kwa mkulima kuongeza virutubishi ardhini ni changamoto nyingine inayokabili kilimo nchini. Ulimaji wa kile kipande cha ardhi mwaka nenda mwaka rudi, bila kukipa nafasi ya kukipumzisha, huufanya mchanga kupoteza virutubishi muhimu vinavyohitajiwa na mimea. Hili nalo huchangia kupunguza uzalishaji wa mazao. Ili kutatua tatizo hili, wakulima wengi hukimbilia mbolea za kisasa ambazo badala ya kumsaidia, humwongezea madhila. Mbolea hizi zinatambulikana kuchangia uchafuzi wa mchanga na ardhi. Mabadiliko ya hali ya anga nayo huongeza msururu wa madhila ya mkulima. Mabadiliko haya yamemfanya mkulima kushindwa kupanga wakati anaotakiwa kutayarisha shamba, kupanda, kupalilia, kunyunyizia dawa na kadhalika. Mvua imekuwa adimu. Badala yake panakuwa na vipindi virefu vya kiangazi ambavyo huathiri bidii za mkulima. Maji nayo yanaendelea kupungua na wakulima wengi hawawezi kukimu mahitaji ya unyunyizaji maji mashambani. (a) Andika anwani inayofaa kifungu hiki. (b) Huku ukirejelea kifungu, fafanua umuhimu wa kilimo hapa nchini. (c) Eleza changamoto tatu zinazowakabili wataalamu wa kilimo (d) Mbali na matatizo yanayowakumba wataalamu onyesha matatizo mengine matatu yanayokumba sekta ya zaraa. (alama 6) (e) Eleza maana za msamiati ufuatao kulingana na taarifa. (i) yanayokwamiza (ii) sera (iii) adimu

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Outline the different types and forms of instructional media.(Solved)

    Outline the different types and forms of instructional media.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Explain how high humidity affects the rate of transpiration.(Solved)

    Explain how high humidity affects the rate of transpiration.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • What is media?(Solved)

    What is media?

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Briefly discuss negative non-Verbal reinforcement.(Solved)

    Briefly discuss negative non-Verbal reinforcement.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Outline the positive non- verbal reinforcement.(Solved)

    Outline the positive non- verbal reinforcement.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Why is pepsin secreted in its inactive form?(Solved)

    Why is pepsin secreted in its inactive form?

    Date posted: October 3, 2019.  

  • List the positive verbal reinforcements.(Solved)

    List the positive verbal reinforcements.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Vijana wana kumbwa na changamoto kadhaa katika jamii.Jadili baadhi ya changamoto hizi kwa kurejelea hadithi zozote tano kutoka diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine.(Solved)

    Vijana wana kumbwa na changamoto kadhaa katika jamii.Jadili baadhi ya changamoto hizi kwa kurejelea hadithi zozote tano kutoka diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • The equation below represents a process that takes place in plants. (i) Name the process. (ii) State two factors not shown in the equation that are necessary...(Solved)

    The equation below represents a process that takes place in plants. fig2331020191047.png (i) Name the process. (ii) State two factors not shown in the equation that are necessary for the process to take place.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Discuss the barriers to effective classroom communication.(Solved)

    Discuss the barriers to effective classroom communication.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Highlight the sources of Historical Research.(Solved)

    Highlight the sources of Historical Research.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • "Mungu akikupa kilema, hukupa na mwendowe" Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea hadithi Mzizi na Matawi.(Solved)

    "Mungu akikupa kilema, hukupa na mwendowe" Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea hadithi Mzizi na Matawi.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Outline the guidelines for Effective Written Communication.(Solved)

    Outline the guidelines for Effective Written Communication.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Name the causative agent of the following disease in humans:Tuberculosis(Solved)

    Name the causative agent of the following disease in humans:Tuberculosis

    Date posted: October 3, 2019.