Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Questions and Answers - Kenyaplex.com

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

61904 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • Differentiate between (i) Primary data and secondary data (ii) Discrete data and continuous data(Solved)

    Differentiate between (i) Primary data and secondary data (ii) Discrete data and continuous data

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Study the data in the table below and answer the questions that follow. Data showing items exported from countries A and B.(Solved)

    Study the data in the table below and answer the questions that follow. Data showing items exported from countries A and B. exp.png (a) (i) Name the main export of each country. (ii) Calculate the percentage of the export item with the least tonnage in each country. (iii) Draw a divided rectangle 15cm long to represent the export items for country A. (iv) State FIVE advantages of using divided rectangles to represent statistical data (b) Differentiate between (i) Primary data and secondary data (ii) Discrete data and continuous data

    Date posted: October 2, 2019.  

  • The energy of a radiation is 3.8 x10-14 J.(Solved)

    The energy of a radiation is 3.8 x10-14 J. Determine the wavelength of the radiation ( h = 6.63x10-34JS,C=3.0 x 108m/s)

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Eleza matumizi ya ku katika jozi zifuatazo za sentensi.(Solved)

    Eleza matumizi ya ku katika jozi zifuatazo za sentensi. (i) Kuchora kwao kulikuwa kwa uangalifu mkubwa (ii) Nilikuita lakini hukuitika

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Andika sentensi ifuatayo katika umoja. Manukato haya yananukia vizuri(Solved)

    Andika sentensi ifuatayo katika umoja. Manukato haya yananukia vizuri

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Bainisha aina ya neno lililopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo.(Solved)

    Bainisha aina ya neno lililopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo. Kuimba kwa Yusufu kunaudhi

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Akifika sentensi ifuatayo kwa kutumia alama ya kibainishi kisha eleza matumizi yake. Ntakwenda Unguja mwezi wa Disemba(Solved)

    Akifika sentensi ifuatayo kwa kutumia alama ya kibainishi kisha eleza matumizi yake. Ntakwenda Unguja mwezi wa Disemba

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Outline the importance of oil exploitation in the Middle East countries.(Solved)

    Outline the importance of oil exploitation in the Middle East countries.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Arrange the following radiations in order of increasing wavelength(Solved)

    Arrange the following radiations in order of increasing wavelength; Ultra-violet, Microwaves, Blue light, Yellow light

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Andika sentensi ifuatayo katika kauli iliyo mabanoni. Paka analamba mchuzi (kutendwa)(Solved)

    Andika sentensi ifuatayo katika kauli iliyo mabanoni. Paka analamba mchuzi (kutendwa)

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Explain how diamonds are processed.(Solved)

    Explain how diamonds are processed.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Identify ways in which man speaks to God today.(Solved)

    Identify ways in which man speaks to God today.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Name three main areas where tropical rain forests are found in the world.(Solved)

    Name three main areas where tropical rain forests are found in the world.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Name a mineral which occurs in each one of the following places in East Africa.i) Kwale in Kenya. ii) Geita in Tanzania iii) Kilembe in...(Solved)

    Name a mineral which occurs in each one of the following places in East Africa. i) Kwale in Kenya. ii) Geita in Tanzania iii) Kilembe in Uganda

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Inaaminika kuwa majeruhi wengi katika mikasa ya ajali huaga au huathirika vibaya zaidi kutokana na hali mbaya ya uokoaji.(Solved)

    Utoaji wa Huduma ya Kwanza. Inaaminika kuwa majeruhi wengi katika mikasa ya ajali huaga au huathirika vibaya zaidi kutokana na hali mbaya ya uokoaji. Watu wengi ambao hujitolea kuokoa majeruhi baada ya ajali kama za barabarani, maporomoko ya ardhi au nyumba huwa hawang‘amui hata chembe jinsi ya kukabiliana na uokoaji. Hatima ya juhudi zao ambazo hulenga kutenda mema ni kuathirika zaidi kwa majeruhi. Hali ya ukoaji inaweza kurekebishwa kwa kutoa elimu ya huduma ya kwanza kwa umma. Elimu hii yahitajika na kila Mkenya kwani mikasa ya ajali za barabarani na nyinginezo inaendelea kutokea kila siku.Ajali zinapotokea, si ajabu kuona makundi ya waokoaji yakibeba majeruhi hobelahobela bila kuzingatia madhara yanayoweza kuwaongezea kutokana na ubebaji wao. Kutojua namna ya kumbeba majeruhi kunaweza kumhatarisha na hata kusababisha kifo. Kuna mambo mbalimbali ambayo makundi ya waokoaji yanatakiwa kuzingatia wakati yanatoa huduma ya kuokoa. Kwanza, ni muhimu kuchunguza kama kuna hatari yoyote inayoweza ikatokea na kuwatia majeruhi na waokoaji hatarini zaidi. Makundi ya waokoaji yameweza kuhatarisha majeruhi kwa kuliingilia eneo la ajali mbumbumbu kama mzungu wa reli. Hatua ya pili ni kutafuta idadi ya majeruhi. Pana uwezekano wa majeruhi kutupwa mbali na eneo la ajali. Vivyo hivyo, kuna majeruhi ambao huweweseka baada ya ajali na kuanza kutembea wasijue wanakoelekea. Wengi wao huanguka karibu na eneo la ajali au wakaenda mbali. Hatua ya tatu ni kuchunguza kama majeruhi amezimia, moyo unapiga na jinsi anavyopumua. Ili kuhakikisha kuwa majeruhi anapumua, mwokoaji atazame kama kifua kinapanda na kushuka. Halikadhalika, mwokoaji anaweza kusikiliza au kuguza kifua na kuona kama kuna ishara za kupumua. Iwapo majeruhi anapumua, mwokoaji amweke katika hali ambayo itaimarisha kupumua kwake. Anaweza akamlaza chali au kumgeuza kwa pamoja na kichwa chake ili kufungua mkondo wa hewa. Pia, mwokoaji ahakikishe hamna chochote kinywani kinachoweza kumsakama. Ikiwa hapumui, mwokoaji anaweza kujaribu kumfanya apumue kwa kupuliza hewa mdomoni mwake. Fauka ya hayo, upulizaji wa hewa utahakikisha kuwa damu inazunguka mwilini vizuri. Maswali : (a) Fupisha aya mbili za kwanza kwa maneno 55 – 65. (b) Eleza kwa kutumia maneno 90-100, hatua zinazotakiwa kufuatwa wakati wa uokoaji.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Identify the commandments king Ahab and jezebel broke.(Solved)

    Identify the commandments king Ahab and jezebel broke.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Explain Traditional African use of beer.(Solved)

    Explain Traditional African use of beer.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Miaka 15 iliyopita, Umoja wa Mataifa uliitangaza August 12 kila mwaka,(Solved)

    Soma makala yafuatao kisha ujibu maswali yanayofuata. Miaka 15 iliyopita, Umoja wa Mataifa uliitangaza August 12 kila mwaka, kuwa Siku ya Vijana Duniani‘ ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Vijana na Afya ya Akili‘. Kwa mujibu wa andiko kutoka Umoja wa Mataifa, asilimia 20 ya vijana duniani kote hupata tatizo linalohusiana na afya ya akili kila mwaka. Hatari zaidi hutokea katika kipindi cha kuhama kutoka utoto kuingia utu uzima. Kutengwa pamoja na aibu mara nyingi huongeza zaidi tatizo kwa kuwa vijana wengine hushindwa kutafuta msaada wanaouhitaji. Hivyo mwaka huu, Umoja wa Mataifa umeazimia kuitumia siku hii kukuza uelewa kuhusu afya ya akili kwa vijana. Wakati tunaadhimisha Siku ya Vijana Duniani 2014, tuwawezeshe vijana wenye matatizo ya afya ya akili kubaini umuhimu wao, na tuoneshe kuwa afya ya akili inatuhusu sote, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Maitafa, Ban Ki Moon kwenye maelezo yake. Miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia tatizo la afya ya akili ni umaskini unaochangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa ajira. Asimilia kubwa ya vijana walio chini ya miaka 25 au wale wanaohitimu masomo yao nchini hawana ajira. Wanachuo wengi wameendelea kuzunguka huku na kule kuomba kazi bila mafanikio. Wengi wamekaa zaidi ya miaka mitatu nyumbani tangu wamalize masomo yao bila kuwa na ajira inayowaingizia kipato. Na pia wachache wanaopata kazi, wamekuwa wakilipwa ujira mdogo na hivyo kuendelea kuishi maisha magumu. Ukosefu wa ajira na kukosa fedha za kujikimu, umewafanya vijana wengi kuwa na msongo wa mawazo, tatizo kubwa linalohusiana na afya ya akili. Tatizo ni kubwa zaidi pale ambapo takwimu zinaonesha kuwa kwa wastani soko la ajira nchini lina uwezo wa kuzalisha ajira zipatazo 300,000 kwa mwaka katika sekta rasmi ukilinganisha na wastani wa wahitimu 600,000 hadi 800,000 wanaoingia katika soko la ajira nchini. Kwa kijana ambaye hana mahali pa kuishi, hajui atakula nini kesho, hana fedha za kununua nguo, kukata tamaa na kuamua kufanya lolote si kitu anachoweza kukifikiria mara mbili. Kwa vijana wa kiume wapo wanaoamua kuwa wezi au matapeli huku wengine wakijikuta wakiwa walevi wa kutupwa au kuvuta unga kama njia ya kupunguza msongo wa mawazo unaotokana na maisha magumu.Utumiaji wa vilevi hivyo, umechangia kwa kiasi kikubwa kuongeza tatizo la afya ya akili kwa vijana wengine. Kwa wasichana, ukosefu wa ajira, huwaingiza wengi katika wimbi la kutumia miili yao kujipatia kipato kutoka kwa wanaume. Wengine hujikuta wakiolewa mapema na hivyo kupoteza ndoto za kujiendeleza kielimu ili kujitegemea. Mbaya zaidi katika maeneo ya vijijini kwakuwa wasichana wadogo huzalishwa katika umri mdogo na wengine kukumbana na unyanyasaji wa nyumbani kutoka kwa waume zao.Katika maeneo ya vijijini ambako shughuli kubwa ya kiuchumi ni kilimo, ufugaji au uvuvi, baadhi ya wasichana waliolewa, hujikuta wakiachiwa familia zao kwa muda mrefu na waume zao wanaoenda kutafuta maisha. Baadhi ya wanaume hao huondoka kimoja na kuwaachia wake mzigo wa ulezi wa familia. Hivyo, tatizo kubwa la ajira kwa vijana lipo kwa wale ambao hawana elimu ya kutosha kustahili kuajiriwa katika ajira rasmi. Kwa mujibu wa survey iliyofanywa na Restless Development, Tanzania ina takriban watu milioni 25 walio chini ya miaka 25 nchini. Hiyo ina maana kuwa karibu nusu ya watu wote nchini ni vijana. Dunia nzima, vijana wamekuwa wakitambulika kwa kuwa na mchango mkubwa kuanzia katika upatikanaji wa uhuru enzi za ukoloni hadi katika kuvumbua teknolojia mpya na kugundua njia mpya za sanaa na muziki. Vijana ndio wanaolisukuma zaidi gurudumu la maendeleo kwa uchapakazi wao kutokana na miili na akili zao kuwa na uchangamfu zaidi. Hata hivyo Tanzania ni nchi iliyo na matabaka yanayotokana na umri na jinsia huku vijana wakioneana kutopewa fursa katika mchakato wa maamuzi katika hatua za kijamii na hata katika serikali. Ili kuwapa nafasi zaidi vijana katika nafasi za juu za maamuzi, vijana wanapaswa kutambua kuwa huu ndio wakati wao na sio kesho. Vijana wanatakiwa kwanza kujiamini wao wenyewe kuwa hakuna nafasi ya baadaye kwakuwa huu ndio wakati unaowaruhusu kuwa wabunifu zaidi kushawishi maendeleo. Mawazo yao mapya na njia zao tofauti za kukabiliana na mambo, yataleta utofauti mkubwa wa sera, maamuzi na muelekeo wa serikali au taasisi mbalimbali. ―Uongozi wa kizazi kipya upo tayari kushika hatamu za uongozi na kuijenga Tanzania mpya, kwa fikra mpya na maarifa mapya. Mabadiliko, kokote yalikotokea, yalidaiwa na kuongozwa na vijana. Vijana wa Tanzania washike usukani wa kuleta mabadiliko wanayoyataka. Ukiona kijana anamwambia kijana mwenzake hana uzoefu, basi kazi ya kuleta mabadiliko ni kubwa zaidi. Kutokuwa na uzoefu ni sifa ya kijana. Tusi kubwa kwa Obama mwaka 2008 lilikuwa ni kukosa uzoefu, kukosa rekodi. Tusi hilo lilikuwa muziki kwa wapiga kura wa Marekani. Tanzania mpya inahitaji viongozi wapya, mazoea mapya, fikra mpya na maarifa mapya. Inahitaji kuthubutu mambo makubwa sio kulinda uzoefu wa nyuma. Tunaweza, aliandika January Makamba kwenye mtandao wa Facebook. Ni kweli muda wa vijana ni sasa na sio kesho tena. Maswali (a) Ipe makala hii anwani mwafaka. (b) Ni wakati gani ambapo vijana huwa hatarini sana kukumbwa na tatizo la afya ya akilini. c) Ni nini lengo la Umoja wa Mataifa mwaka huu kuhusu vijana? d) Taja changamoto zinazowakumba vijana wenye matatizo ya afya ya akili. e) Eleza mambo ambayo huchangia matatizo ya afya ya akili miongoni mwa vijana. f) Taja mambo ambayo huchangia kutamauka kwa vijana. g) Ukosefu wa ajira umechangia uozo upi miongoni mwa vijana?

    Date posted: October 2, 2019.  

  • What are the reasons that made Jewish leaders to rise against Jesus?.(Solved)

    What are the reasons that made Jewish leaders to rise against Jesus?.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • State evidence that shows that Jesus resurrected from death.(Solved)

    State evidence that shows that Jesus resurrected from death.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • Identify the qualities for one to become a leader in the African Traditional society.(Solved)

    Identify the qualities for one to become a leader in the African Traditional society.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • Identify the challenges that face the practice of circumcision in our society today.(Solved)

    Identify the challenges that face the practice of circumcision in our society today.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • Ewe tunu ya mtima, kwa nini wanikimbia?(Solved)

    SABUNI YA ROHO Ewe tunu ya mtima, kwa nini wanikimbia? Ndiwe suluhu za zama, waja wakukimbilia, Waja wanakutazama, madeni wakalipia, Ndiwa sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima. Ndiwe mafuta ya roho, walisema wa zamani, Utanunua majoho, majumba na nyumbani, Umezitakasa roho, umekuwa mhisani, Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvinja mlima. Matajiri wanakujua, wema wako wameonja, Nguo zao umefua, wakupata kwa ujanja, Sura zao ‗mefufua, wanazuru kila njanja, Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima. Ndiwe mvunja mlima, onana na maskini, Watazame mayatima, kwao kumekua duni, Webebe waliokuwa, wainue walio chini, Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima. Ndiwe mvunja mlima, wapi kapata uwezo, Umezua uhasama, waja kupata mizozo, Ndiwe chanzo cha zahama, umewatia vikwazo, Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima. Umevunja usuhuba, familia zazozana, Waliokuwa mahabuba, kila mara wagombana, Roho zao umekaba, majumbani wachinjana, Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima. Nakutafuta kwa hamu, sabuni unirehemu, Sinilipue ja bomu, sije kawa marehemu, Niondoe jahanamu, ya ufukara wa simu, Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima. Naondoka wangu moyo, nikuitapo itika, Fulusi wacha uchoyo, tatua yalonifika, Nichekeshe kibogoyo, nami nipate kuwika, Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • Nitafukuzwa mbinguni Kwa ushairi wangu mbaya Lakini hata motoni nitaimba:(Solved)

    Nitafukuzwa mbinguni Kwa ushairi wangu mbaya Lakini hata motoni nitaimba: Wanasema Wanasiasa ni kama jizi Lililosukuma mtoto pembeni Na kunyonya ziwa la mama Wakati amelala usingizi usiku. Wanasema Mwanasiasa afapo Tumejikomboa na domo Moja pana lizibwalo na mchanga Na kilima cha simenti ngumu Lisikike tena hadharani. Wanasema pia Kusema haki Kwa kawaida Wanasiasa hatuwapendi. Kupiga kura ni hasira za mkizi Ni basi tu. Ni Ah! Ah! Wanamalizia Nchi mmefiilisi waacheni walimu Wakajenga taifa jipya. Top grade predictor publishers Page | 63 Kama hamwezi kuona mbali Bure kuweka mkono usoni, Bure hakuna kichwa Kama hamwezi kufikiri. Ng‘ombe amekamuliwa na wazungu Waarabu, wahindi na wao Sasa anatoa damu Vilivyobaki ni chai ya rangi Na madomo mapana zaidi Yaliyo bado hai. Kuimba nimeimba Maswali (a) Mshairi ana dhamira gani? (b) Shairi hili ni la kukatisha tama, tetea rai hii. (c) Onyesha matumizi mawili ya mishata. (d) Eleza mbinu zozote nne za lugha zilizotumika katika shairi hili. (e) Andika ubeti wa mwisho katika lugha tutumbi. (f) Fafanua umbo la shairi hili. (g) Eleza maana ya mafungu ya maneno ya maneno yafuatayo: (i) kupiga kura ni hasira ya mkizi (ii) kuweka mkono usoni (iii) ng‘ombe amekamuliwa.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • Jadili matumizi ya mbinu ya ishara katika tamthilia hii.(Solved)

    Mstahiki Meya Jadili matumizi ya mbinu ya ishara katika tamthilia hii.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • Hayawezi kulinganishwa na tendo hili ndogo. Walifanya vizuri kuja.(Solved)

    MSTAHIKI MEYA: Timothy Arege Hayawezi kulinganishwa na tendo hili ndogo. Walifanya vizuri kuja. Hayawezi kulinganishwa na tendo hili ndogo. Walifanya vizuri kuja. (a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (b) Fafanua nafasi ya wanaorejelewa kuwa ―"walifanya vizuri kuja" katika tamthilia hii. (c) Migogoro katika tamthilia hii hazikusuluhishwa vyema. Jadili.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • Identify ways in which Christians can assist internally displaced persons in Kenya.(Solved)

    Identify ways in which Christians can assist internally displaced persons in Kenya.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea imesheheni hali zinazotukia bila kutarajiwa. Fafanua.(Solved)

    Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea imesheheni hali zinazotukia bila kutarajiwa. Fafanua.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • "Nyamaza boza wewe. Wadhani sisi kazi tunaanza leo? Tumekutana na wauaji wangapi?(Solved)

    Kidagaa Kimemwozea: "Nyamaza boza wewe. Wadhani sisi kazi tunaanza leo? Tumekutana na wauaji wangapi? a) Eleza muktadha wa dondoo hili. b) Dondoo hili linadokeza maudhui gani? Kwa kutoa mifano saba kwenye riwaya, bainisha jinsi maudhui hayo yanavyojitokeza.

    Date posted: October 1, 2019.  

  • "Hakujua maisha yake yangechukua mkondo upi. Mzo wa majuto ulimwandama. Ulimwengu wake ulivurugika, akawa kama tiara inayopeperushwa na upepo ikaenda arijojo"(Solved)

    Kanda la Usufi "Hakujua maisha yake yangechukua mkondo upi. Mzo wa majuto ulimwandama. Ulimwengu wake ulivurugika, akawa kama tiara inayopeperushwa na upepo ikaenda arijojo" (a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (b) Taja na kueleza tamathali ya usemi kwenye dondoo hili. (c) Kwa kutolea mifano, onyesha jinsi anwani Kanda la Usufi inavyoafiki hadithi husika.

    Date posted: October 1, 2019.