Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Questions and answers: Kiswahili

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

2287 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • “Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.” Taja sajili inayorejelewa na...(Solved)

    “Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.” Taja sajili inayorejelewa na maneno haya.

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Taja matumizi yoyote mawili ya kistari kirefu(Solved)

    Taja matumizi yoyote mawili ya kistari kirefu

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Yakinisha katika hali ya mazoea. Asiyeugua hahitaji daktari(Solved)

    Yakinisha katika hali ya mazoea. Asiyeugua hahitaji daktari

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Tumia neno ‘hadi’ kuonyesha mahali na wakati katika sentensi(Solved)

    Tumia neno ‘hadi’ kuonyesha mahali na wakati katika sentensi

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Andika upya sentensi ifuatayo katika hali timilifu. Mwanafunzi anasoma darasani(Solved)

    Andika upya sentensi ifuatayo katika hali timilifu. Mwanafunzi anasoma darasani

    Date posted: August 2, 2019.  

  • “Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”(Solved)

    “Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.” Fafanua sifa nne za sajili hii.

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo Alisema angeenda kwao(Solved)

    Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo Alisema angeenda kwao

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA(Solved)

    Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Andika katika udogo wingi Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana(Solved)

    Andika katika udogo wingi Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Eleza maana ya sentensi ifuatayo (i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani (ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani(Solved)

    Eleza maana ya sentensi ifuatayo (i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani (ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi(Solved)

    Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Andika kwa usemi wa taarifa Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu. Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu(Solved)

    Andika kwa usemi wa taarifa Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu. Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani(Solved)

    Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi(Solved)

    Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii. Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka(Solved)

    Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii. Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja (Solved)

    Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Ainisha viambishi katika neno lifuatalo Yafutikayo(Solved)

    Ainisha viambishi katika neno lifuatalo Yafutikayo

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Andika neno lililo na muundo wa silabi ufuatao: IKKI(Solved)

    Andika neno lililo na muundo wa silabi ufuatao: IKKI

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Fafanua sifa bainifu za sauti hizi: /y/ /m/(Solved)

    Fafanua sifa bainifu za sauti hizi: /y/ /m/

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Kwa kutolea mifano, tofautisha kati ya ala tuli na ala sogezi.(Solved)

    Kwa kutolea mifano, tofautisha kati ya ala tuli na ala sogezi.

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa mhasiriwa.(Solved)

    Ugonjwa wa utando wa ubongo ambao kwa kiingereza unafahamika kama ‘meningitis’ huzua hofu miongoni mwa watu wengi. Ugonjwa huo pia hujulikana kama homa ya uti wa mgongo. Hofu kama hizo zinaeleweka kwa sababu utando wa ubongo ni ugonjwa unaoathiri ngozi inayofunika ubongo na uti wa mgongo na kwa hivyo ni rahisi mno kusababisha kifo ikiwa mgonjwa hatahudumiwa haraka iwezekanavyo. Utando wa ubongo ni ugonjwa unaosababishwa na virusi na bacteria. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, utando wa ubongo unaosababishwa na virusi sio hatari sana kwa uhai wa mtu ukilinganishwa na bakteria. Japo watu wengi wanaougua utando wa ubongo hutibiwa na kupona, baadhi yao huachwa wakiwa bubu au vipofu na wengine kufariki. Shida kubwa ya ugonjwa huu ni kwamba unatokea bila kutarajiwa. Kwa mfano mtoto au mtu wa umri mkubwa anaweza kuwa mzima kwa muda wa dakika kadha ila baadaye kuwa mgonjwa mahututi baada ya kukumbwa na ugonjwa huo. Shida nyingine ya ugomjwa huu ni kwamba huwa vigumu kutenganisha dalili za ugonjwa huu na dalili za magonjwa mengine ya kawaida kama vile maumivu ya kichwa. Kwa hivyo kuna baadhi ya watu wanaomeza dawa za kupunguza maumivu ya kichwa bila kujua wanaugua utando wa ubongo. Dalili za watoto wanaougua utando wa ubongo ni homa, kutapika, mtoto kukataa kula na kulia kwa uchungu. Mtoto anayeugua ugonjwa huu kadhalika huwa anaonyesha dalili za kufura kichwa, kupumua kwa haraka na kutupatupa miguu huku mwili wake ukiwa umejikunyata. Watu walio wa umri mkubwa nao huonyesha dalili za maumivu makali ya kichwa, na shingo nzito (stiff neck) na mgonjwa kuepukana na mwangaza. Kadhalika mgonjwa hushikwa na homa na pia kutapika kando na kukosa ufahamu. Utafiti umeonyesha kwamba watu walio na umri mkubwa kadhalika huonyesha dalili za kuwa na mikono au miguu baridi, maumivu ya misuli na tumbo hasa kutokana na damu kuwa na sumu. Ni muhimu kufahamu kwamba sio kila mtu anahisi dalili hizi. Ikiwa yeyote atashuhudia baadhi ya dalili hizi itakuwa bora kufika hospitalini haraka kupata usaidizi wa daktari kabla ya ugonjwa huo kuzidi sana. Yeyote anayeshuku kwamba anaugua utando wa ubongo anapaswa kupelekwa hospitalini mara moja. Hii ni kwa sababu ni rahisi kwa daktari kutibu mgonjwa anayepelekwa hospitalini punde tu anapoonyesha dalili ikilinganishwa na yule anayepelekwa huko kama amechelewa. Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa mhasiriwa.

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo(Solved)

    Ugonjwa wa utando wa ubongo ambao kwa kiingereza unafahamika kama ‘meningitis’ huzua hofu miongoni mwa watu wengi. Ugonjwa huo pia hujulikana kama homa ya uti wa mgongo. Hofu kama hizo zinaeleweka kwa sababu utando wa ubongo ni ugonjwa unaoathiri ngozi inayofunika ubongo na uti wa mgongo na kwa hivyo ni rahisi mno kusababisha kifo ikiwa mgonjwa hatahudumiwa haraka iwezekanavyo. Utando wa ubongo ni ugonjwa unaosababishwa na virusi na bacteria. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, utando wa ubongo unaosababishwa na virusi sio hatari sana kwa uhai wa mtu ukilinganishwa na bakteria. Japo watu wengi wanaougua utando wa ubongo hutibiwa na kupona, baadhi yao huachwa wakiwa bubu au vipofu na wengine kufariki. Shida kubwa ya ugonjwa huu ni kwamba unatokea bila kutarajiwa. Kwa mfano mtoto au mtu wa umri mkubwa anaweza kuwa mzima kwa muda wa dakika kadha ila baadaye kuwa mgonjwa mahututi baada ya kukumbwa na ugonjwa huo. Shida nyingine ya ugomjwa huu ni kwamba huwa vigumu kutenganisha dalili za ugonjwa huu na dalili za magonjwa mengine ya kawaida kama vile maumivu ya kichwa. Kwa hivyo kuna baadhi ya watu wanaomeza dawa za kupunguza maumivu ya kichwa bila kujua wanaugua utando wa ubongo. Dalili za watoto wanaougua utando wa ubongo ni homa, kutapika, mtoto kukataa kula na kulia kwa uchungu. Mtoto anayeugua ugonjwa huu kadhalika huwa anaonyesha dalili za kufura kichwa, kupumua kwa haraka na kutupatupa miguu huku mwili wake ukiwa umejikunyata. Watu walio wa umri mkubwa nao huonyesha dalili za maumivu makali ya kichwa, na shingo nzito (stiff neck) na mgonjwa kuepukana na mwangaza. Kadhalika mgonjwa hushikwa na homa na pia kutapika kando na kukosa ufahamu. Utafiti umeonyesha kwamba watu walio na umri mkubwa kadhalika huonyesha dalili za kuwa na mikono au miguu baridi, maumivu ya misuli na tumbo hasa kutokana na damu kuwa na sumu. Ni muhimu kufahamu kwamba sio kila mtu anahisi dalili hizi. Ikiwa yeyote atashuhudia baadhi ya dalili hizi itakuwa bora kufika hospitalini haraka kupata usaidizi wa daktari kabla ya ugonjwa huo kuzidi sana. Yeyote anayeshuku kwamba anaugua utando wa ubongo anapaswa kupelekwa hospitalini mara moja. Hii ni kwa sababu ni rahisi kwa daktari kutibu mgonjwa anayepelekwa hospitalini punde tu anapoonyesha dalili ikilinganishwa na yule anayepelekwa huko kama amechelewa. Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha, zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo. Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo muhimu sana jijini Nairobi. Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya, usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi. Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika mashambulizi kama haya. Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama. Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria? Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?

    Date posted: August 2, 2019.  

  • “Tusahau yaliyopita na tugange yajayo”. Thibitisha ukweli wa usemi huu katika kuwahakikishia wakenya usalama.(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha, zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo. Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo muhimu sana jijini Nairobi. Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya, usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi. Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika mashambulizi kama haya. Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama. Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria? “Tusahau yaliyopita na tugange yajayo”. Thibitisha ukweli wa usemi huu katika kuwahakikishia wakenya usalama.

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Ni mambo yapi yanayowatia hofu Wakenya?(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha, zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo. Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo muhimu sana jijini Nairobi. Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya, usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi. Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika mashambulizi kama haya. Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama. Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria? Ni mambo yapi yanayowatia hofu Wakenya?

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Ni nini mtazamo wa mwandishi kuhusuu maafisa wakuu serikalini?(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha, zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo. Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo muhimu sana jijini Nairobi. Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya, usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi. Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika mashambulizi kama haya. Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama. Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria? Ni nini mtazamo wa mwandishi kuhusuu maafisa wakuu serikalini?

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Eleza kinaya kinachojitokeza kuhusu tukio la Westgate.(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha, zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo. Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo muhimu sana jijini Nairobi. Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya, usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi. Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika mashambulizi kama haya. Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama. Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria? Eleza kinaya kinachojitokeza kuhusu tukio la Westgate.

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Taja maafa yaliyosababishwa na tukio linalorejelewa.(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha, zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo. Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo muhimu sana jijini Nairobi. Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya, usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi. Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika mashambulizi kama haya. Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama. Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria? Taja maafa yaliyosababishwa na tukio linalorejelewa.

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Toa anwani mwafaka kwa taarifa hii.(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha, zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo. Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo muhimu sana jijini Nairobi. Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya, usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi. Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika mashambulizi kama haya. Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama. Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria? Toa anwani mwafaka kwa taarifa hii.

    Date posted: August 2, 2019.  

  • Ni hatua gani ambazo serikali imechukua katika kuimarisha afya ya umma?(Solved)

    Ni hatua gani ambazo serikali imechukua katika kuimarisha afya ya umma?

    Date posted: August 2, 2019.