Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
- Bainisha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi ifuatayo Darasa lililojengwa limefunguliwa rasmi(Solved)
Bainisha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi ifuatayo
Darasa lililojengwa limefunguliwa rasmi
Date posted: October 8, 2019.
- Andika usemi huu kwa usemi wa taarifa
“Kefule! Mtoto huyu ni kaidi kama kirongwe. Hamheshimu babake!” alisema mzee Kamau.(Solved)
Andika usemi huu kwa usemi wa taarifa
“Kefule! Mtoto huyu ni kaidi kama kirongwe. Hamheshimu babake!” alisema mzee Kamau.
Date posted: October 8, 2019.
- Kamilisha na kueleza maana ya methali hii Mfinyanzi -...........(Solved)
Kamilisha na kueleza maana ya methali hii
Mfinyanzi -...........
Date posted: October 8, 2019.
- Irabu a, i, na u hutamkwa wapi kwenye ulimi?(Solved)
Irabu a, i, na u hutamkwa wapi kwenye ulimi?
Date posted: October 8, 2019.
- Kwa kutoa mifano, onyesha namna mbili vile kiambishi –j- hutumiwa(Solved)
Kwa kutoa mifano, onyesha namna mbili vile kiambishi –j- hutumiwa
Date posted: October 8, 2019.
- Eleza maana mbilimbili za sentensi zifuatazo;
(i) Bibi yake amefika
(ii) Alimpigia mpira(Solved)
Eleza maana mbilimbili za sentensi zifuatazo;
(i) Bibi yake amefika
(ii) Alimpigia mpira
Date posted: October 8, 2019.
- Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi Abiria waliojeruhiwa sana walipelekwa hospitali haraka(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi
Abiria waliojeruhiwa sana walipelekwa hospitali haraka
Date posted: October 8, 2019.
- Andika vinyume vya vitenzi vilivyopigwa mistari
(i) Alikashifiwa kwa kazi aliyofanya
(ii) Kuimba kulifurahisha hadhira(Solved)
Andika vinyume vya vitenzi vilivyopigwa mistari
(i) Alikashifiwa kwa kazi aliyofanya
(ii) Kuimba kulifurahisha hadhira
Date posted: October 8, 2019.
- Wafuatao wana ulemavu upi?
(i) Toinyo
(ii) Huntha (Solved)
Wafuatao wana ulemavu upi?
(i) Toinyo
(ii) Huntha
Date posted: October 8, 2019.
- Kati ya nomino za Kiswahili taja ngeli mbili ambazo nomino zake hazibadiliki katika umoja
na katika wingi. Kisha utoe mfano mmoja kwa kila ngeli(Solved)
Kati ya nomino za Kiswahili taja ngeli mbili ambazo nomino zake hazibadiliki katika umoja
na katika wingi. Kisha utoe mfano mmoja kwa kila ngeli
Date posted: October 7, 2019.
- Ni nini maana ya neno kirai ?(Solved)
Ni nini maana ya neno kirai ?
Date posted: October 7, 2019.
- Nyambua vitenzi hivi kulingna na kauli ya kutendua na kutendama(Solved)
Nyambua vitenzi hivi kulingna na kauli ya kutendua na kutendama
Date posted: October 7, 2019.
- Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya mishale.
Hakimu alimwadhibu kinyama.(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya mishale.
Hakimu alimwadhibu kinyama.
Date posted: October 7, 2019.
- Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo na ueleze ni shamirisho ya aina gani?
Wazazi wanalipia watoto karo kwa hundi;(Solved)
Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo na ueleze ni shamirisho ya aina gani?
Wazazi wanalipia watoto karo kwa hundi;
Date posted: October 7, 2019.
- Ngeli ya LI-YA hujumulisha nomino za vitu vya aina mbalimbali. Toa mifano minne
ambayo ni tofauti na uelezee(Solved)
Ngeli ya LI-YA hujumulisha nomino za vitu vya aina mbalimbali. Toa mifano minne
ambayo ni tofauti na uelezee
Date posted: October 7, 2019.
- Tambulisha aina za vitenzi vilivyotumika katika asentensi hizi
(i) Kazi hii ni nzuri.
(ii) Mazingira yamekuwa yakihifadhiwa.(Solved)
Tambulisha aina za vitenzi vilivyotumika katika asentensi hizi
(i) Kazi hii ni nzuri.
(ii) Mazingira yamekuwa yakihifadhiwa.
Date posted: October 7, 2019.
- Tunga sentensi ya neno moja yenye mofimu zifuatazo
(i) Nafsi ya tatu umoja
(ii) Wakati uliopita
(iii) ‘O’ rejeshi
(iv) kitendwa
(v) mzizi
(vi) kiishio(Solved)
Tunga sentensi ya neno moja yenye mofimu zifuatazo
(i) Nafsi ya tatu umoja
(ii) Wakati uliopita
(iii) ‘O’ rejeshi
(iv) kitendwa
(v) mzizi
(vi) kiishio
Date posted: October 7, 2019.
- Sauti zifuatazo hutamkiwa wapi?
(i) /f/
(ii) /v/(Solved)
Sauti zifuatazo hutamkiwa wapi?
(i) /f/
(ii) /v/
Date posted: October 7, 2019.
- Tunga sentensi moja moja kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo:
(i) Pamba
(ii) Bamba(Solved)
Tunga sentensi moja moja kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo:
(i) Pamba
(ii) Bamba
Date posted: October 7, 2019.
- Andika kwa umoja
Uovu waliotuonyesha hautasahaulika(Solved)
Andika kwa umoja
Uovu waliotuonyesha hautasahaulika
Date posted: October 7, 2019.
- Andika sentensi ifuatayo katika udogo:
Mbwa mdogo amekanyagwa na gari.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika udogo:
Mbwa mdogo amekanyagwa na gari.
Date posted: October 7, 2019.
- Sahihisha sentensi ifuatayo:
Ukienda mle pao atakuweko(Solved)
Sahihisha sentensi ifuatayo:
Ukienda mle pao atakuweko
Date posted: October 7, 2019.
- Tambua kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii :-
Chakula ambacho ni muhimu, huweza kujenga au kobomoa mwili wako.(Solved)
Tambua kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii :-
Chakula ambacho ni muhimu, huweza kujenga au kobomoa mwili wako.
Date posted: October 7, 2019.
- Unda nomino kutokana na vitenzi hivi:-
(i) Chapa
(ii) Goma(Solved)
Unda nomino kutokana na vitenzi hivi:-
(i) Chapa
(ii) Goma
Date posted: October 7, 2019.
- Onyesha shamirisho kipozi, kitondo na ala katika sentensi ifuatayo:
Kamau alimlimia mamake shamba kwa trekta(Solved)
Onyesha shamirisho kipozi, kitondo na ala katika sentensi ifuatayo:
Kamau alimlimia mamake shamba kwa trekta
Date posted: October 7, 2019.
- Nyambua kitenzi ‘oa’ katika hali tatu zifuatazo: tendewa, tendwa, tendea(Solved)
Nyambua kitenzi ‘oa’ katika hali tatu zifuatazo: tendewa, tendwa, tendea
Date posted: October 7, 2019.
- Ainisha viambishi katika neno lifuatalo :-
Kilichokikata(Solved)
Ainisha viambishi katika neno lifuatalo :-
Kilichokikata
Date posted: October 7, 2019.
- Bainisha ngeli za nomino hizi :-
(i) Kisu
(ii) Nyavu
(iii) Chai(Solved)
Bainisha ngeli za nomino hizi :-
(i) Kisu
(ii) Nyavu
(iii) Chai
Date posted: October 7, 2019.
- Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vielelezo vya vishale:
Kiarie ni mwanafunzi mtiifu(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vielelezo vya vishale:
Kiarie ni mwanafunzi mtiifu
Date posted: October 7, 2019.
- Ziandike sentensi hizi bila maneno yaliyopigiwa mstari:-
(i) Mwanafunzi ambaye alituzwa ni wa shule yetu
(ii) Sikuziona nyuzi ambazo huzitengeneza ngoma ambayo huiona pale(Solved)
Ziandike sentensi hizi bila maneno yaliyopigiwa mstari:-
(i) Mwanafunzi ambaye alituzwa ni wa shule yetu
(ii) Sikuziona nyuzi ambazo huzitengeneza ngoma ambayo huiona pale
Date posted: October 7, 2019.