Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

61904 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • Andika kwa umoja. Machaka ya waridi hayazai maua meusi Walituandikia nyaraka ndefu.(Solved)

    Andika kwa umoja. Machaka ya waridi hayazai maua meusi Walituandikia nyaraka ndefu.

    Date posted: November 22, 2022.  

  • A Non-governmental Organization is seeking to recruit form four graduates to serve as clerks. You have been invited for an interview. Explain briefly what you...(Solved)

    A Non-governmental Organization is seeking to recruit form four graduates to serve as clerks. You have been invited for an interview. Explain briefly what you will do before and during the interview.

    Date posted: November 22, 2022.  

  • The underlining indicates the stressed word in the sentences below. Briefly explain what each sentence means. i) Amanda rode the bus to school ii) Amanda...(Solved)

    The underlining indicates the stressed word in the sentences below. Briefly explain what each sentence means. i) Amanda rode the bus to school ii) Amanda rode the bus to school iii) Amanda rode the bus to school

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Ainisha silabi katika maneno yafuatayo Lugha Muhtasari(Solved)

    Ainisha silabi katika maneno yafuatayo Lugha Muhtasari

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Onyesha matumizi matatu ya kiimbo katika sentensi ifuatayo: Mtoto analia.(Solved)

    Onyesha matumizi matatu ya kiimbo katika sentensi ifuatayo: Mtoto analia

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Weka shadda katika maneno haya. Maharagwe Tupa(Solved)

    Weka shadda katika maneno haya. Maharagwe Tupa

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Taja konsonanti ambazo ni viyeyusho.(Solved)

    Taja konsonanti ambazo ni viyeyusho.

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Identify the odd one out in each of the following sets of words i) Respect, resist, religion, referee ii) Resign, resolve, advise, waste iii) Usual,...(Solved)

    Identify the odd one out in each of the following sets of words i) Respect, resist, religion, referee ii) Resign, resolve, advise, waste iii) Usual, visual, pleasure, passion iv) Chef, chin, chic, chauffer

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Eleza sifa za sauti zifuatazo: /o/ /Sh/(Solved)

    Eleza sifa za sauti zifuatazo: /o/ /Sh/

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata: Hapo zamaniza kale palikuwa na mfalme aliyesifika sana. Sifa zake zilienea karibu na mbali. Zilienea kama moto nyikani msimu wa...(Solved)

    Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata: Hapo zamaniza kale palikuwa na mfalme aliyesifika sana. Sifa zake zilienea karibu na mbali. Zilienea kama moto nyikani msimu wa kiangazi. Mstahiki Salamwana Salamwene, maana hili ndilo lilikuwa jina lake, alikuwa mtu wa ajabu sana. Asili yake yenyewe ilikuwa kitendawili. Inasemekana mamake alibeba mimba iliyopita miezi tisa. Na kila aliposhangaa alisikia sauti tumboni ikisema. “Mama kuwa na subira, bado ninalainisha lugha yangu” Baada ya muda mama alipolalamika alisikia, “Mama ninakaribia, ninamalizia kunoa ubongo wangu.” Halafu siku moja ikanyesha mvua kubwa iliyoandamana na radi. Waliokuwepo wanasema waliona mmweso mkali ulioangaza hata kwenye milima mikubwa. Salamwene akazaliwa. Moja ya sifa zake kubwa ilikuwa hekima na maarifa ya ajabu. Hakuna tatizo la watu wake ambalo alishindwa kulitatua. Watu wakawa wanafunga safari za siku nyingi kutoka mbali kuja kwenye ikulu yake. Wengi walienda kwa shida za dhati lakini wengine walikuja kumjaribu. Siku moja akaja mfanyabiashara tapeli na maua ya aina akamwambia, “Mstahiki mfalme, mtu wako anataka kuniuzia maua haya kwa vipande vingi vya almasi name nina shaka kuwa moja ni la bandia waweza kuniamulia?” Mfalme hakujibu. Naye inasemekana alipenda zaraa na hivyo alikuwa na miti na mimea iliyozaa maua na kutoa harufu anuwai. Basi akaja nyulu na kutua kwenye ua moja. Mfalme Salamwana akamtambulisha ua halisi. Muda ukayoyoma huku wahitaji wakiingia ikulu na kutoka. Siku moja akaja Binti mfalme mmoja kutoka nchi ya mbali na msafara mkubwa. Alipokewa kwa taadhima. Alikaa mwezi mmoja. Kila siku alikaa kwenye baraza akishuhudia mfalme akiyatatua matatizo ya watu. Jioni walikaa na mfalme pamoja wapambe wao akijifunza kutoka kwenye hazina kubwa ya busara ya Mstahiki Salamwana. Usiku uliotangulia kuondoka kwa mgeni, Salamwana alitoa amri za ajabu. Kwanza, aliamuru magudulia yote ya maji kwenye chumba cha kulala mgeni yabadilishwe. Pili, alimwamuru mpishi kupika chakula kilichokolea viungo kutoka Bara Hindi. Tatu, aliwaamuru wapambe kuwa mgeni akiomba chochote wasimpe ila wamfahamishe. Usiku huo, mgeni alihisi kiu kikali lakini aliponyanyua gudulia kumimima maji kwenye bilauri ya dhahabu, halikuwa na maji. Akajaribu la pili, magudulia yote ya shaba yaliyokuwa chumbani hayakuwa na maji. Alijitahidi kuvumilia lakini wapi! Ilibidi atafute msaada kwa wapambe nao wakamweleza walivyoambiwa. Mwanzoni aliona ni kukosa fadhila kumsumbua mwenyeji mwenye staha kama mfalme. Kiu ilipozidi kumkeketa koo alisalimu amri. Mfalme alifahamishwa. Na kama aliyejua alichoitiwa akaja na kigudulia kidogo chenye nakshi ya dhahabu na kifuko cha hariri. Alikuwa radhi kumpa mgeni sharubati ya kukata kiu ila kwa masharti. Anapokunywa maji ameze na zawadi atakayompa ambayo angeitapika afikapo nyumbani. Keshowe mgeni aliagwa kwa mbwewe na taadhima. Akaanza safari iliyochukua takriban mwezi mmoja. Baada ya miezi kumi, Mstahiki Salamwana Salamwene alipata risala kuwa Binti wa Mfalme alikuwa ameitapika zawadi aliyopewa kama alivyokuwa amekula yamini. Hicho kikawa kitendawili kwa watu wengi. Wakabaki wakiulizana jibu la fumbo hilo. Maswali 1. Ipe hadithi hii anwani mwafaka. 2. Kwa nini ilisemekana asili ya Mfalme Salamwana ilikuwa kitendawili? 3. Eleza sifa sita za mfalme zinazojitokeza kwenye kifungu. 4. Ni watu gani walikuja kwa mfalme. 5. Mfalme alitumia hekima gani kutambua ua la bandia. 6. Ni zawadi gani aliyopewa Binti mfalme aliyoitapika alipofika nyumbani? 7. Ni ujumbe upi unaopatikana kutoka na hadithi hii. 8. Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumiwa katika kifungu. i. Maguduli ii. Sharubati iii. Dhati iv. yamini

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Identify the silent letters in the following wordsi) Honourii) Couldiii) Badgeiv) Receipt(Solved)

    Identify the silent letters in the following words i) Honour ii) Could iii) Badge iv) Receipt

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Read the poem below and answer the questions that follow.....................(Solved)

    Read the poem below and answer the questions that follow Breakthrough When I reached the threshold The gate was quickly locked Though loud and long knocked They left me in the cold I stood outside for long Wondering what was wrong Honour wouldn’t let me A peeping to be When night tiptoed behind Me a stranded pilgrim Ah, I made up my mind To fight on for my dream I crashed open the gate Uncaring it was wrong Wow, I was hugged with a song – A welcome initiate (Anonymous) 1. How has rhythm been achieved in the poem? 2. How would you say the last two lines of the poem and why? 3. Which words would you stress in the first stanza line 4 of this poem?

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Read the passage below and fill the blanks provided with a suitable word.... .....(Solved)

    Read the passage below and fill the blanks provided with a suitable word. Conducting a job search 1________the Internet has definitely2______how job seekers contact hiring 3______. The availability of copying and pasting a text version CV into a format 4_______ a company’s Website has laid the foundation for an easier and 5______ convenient process. 6_____ the Internet’s convenience, a breeding ground for scam artists continues to 7______each year as well. Identity thefts have increased to an overwhelming 10 million 8_______ per year and many of them are the result of phishing-not surprisingly, the employment industry is 9________ attack as well. Knowing what to look for and how to stop fraud can be the best deterrent to ensuring you have a safe experience while conducting your 10______ search.

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Imagine you are the school captain. One of the students in your school has been invited for a two weeks Young Leadership Program to be...(Solved)

    Imagine you are the school captain. One of the students in your school has been invited for a two weeks Young Leadership Program to be held during the holiday. The organizing committee requires further information about the student and has asked you to write a recommendation letter. Write the Recommendation letter addressed to; The Secretary, Young Leadership Program P.O Box 16950, 00100 Nairobi

    Date posted: November 22, 2022.  

  • Andika visawe vya viwakifishi hivi. (i)Nukta- (ii)Koma – (iii)Mkwaju- (iv)Mtajo-(Solved)

    Andika visawe vya viwakifishi hivi. (i)Nukta- (ii)Koma – (iii)Mkwaju- (iv)Mtajo-

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Ainisha mofimu na viambishi katika neno Aliyesomewa.(Solved)

    Ainisha mofimu na viambishi katika neno Aliyesomewa.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Bainisha aina za maneno katika sentensi hizi. (i) Mwalimu anaandika . (ii) Mwalimu anaandika ubaoni.(Solved)

    Bainisha aina za maneno katika sentensi hizi. (i) Mwalimu anaandika . (ii) Mwalimu anaandika ubaoni.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Kamilisha methali. Mgagaa na upwa(Solved)

    Kamilisha methali. Mgagaa na upwa

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Eleza sifa tatu za Kamusi ya lugha ya Kiswahili.(Solved)

    Eleza sifa tatu za Kamusi ya lugha ya Kiswahili.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Tofautisha sauti /r/ na /l/(Solved)

    Tofautisha sauti /r/ na /l/

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Sahihisha sentensi hizi (i)Mtoto amerara usingizi mnono. (ii)Papu yangu ni mzee kiazi.(Solved)

    Sahihisha sentensi hizi (i)Mtoto amerara usingizi mnono. (ii)Papu yangu ni mzee kiazi.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Tenga silabi na uainishe katika neno Muhtasari (Solved)

    Tenga silabi na uainishe katika neno Muhtasari

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Supply the correct question tag.i) Let us go.ii) You had some coffee before assemblyiii) We have a lot to do.(Solved)

    Supply the correct question tag. i) Let us go. ii) You had some coffee before assembly iii) We have a lot to do.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Explain the ambiguity in the following sentences. i) The tourist saw the monkey with a telescope. ii) He narrated to him his success story. iii) Valentine spent all...(Solved)

    Explain the ambiguity in the following sentences. i) The tourist saw the monkey with a telescope. ii) He narrated to him his success story. iii) Valentine spent all the money he had set aside for emergency.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Punctuate the following sentences correctly.i) I need a copy of memories we lost and other stories.ii) Why does he James like chicken?iii) Everyone knows hard...(Solved)

    Punctuate the following sentences correctly. i) I need a copy of memories we lost and other stories. ii) Why does he James like chicken? iii) Everyone knows hard work pays.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Weka shadda neno barabara kuonyesha maana ya shwari na baraste.(Solved)

    Weka shadda neno barabara kuonyesha maana ya shwari na baraste.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Choose the right word to from the options given to fill the blanks.i) We went home before it.............(begun/began) to rain.ii) Doctor Rank always...........(visit/visits) Torvald and...(Solved)

    Choose the right word to from the options given to fill the blanks. i) We went home before it.............(begun/began) to rain. ii) Doctor Rank always...........(visit/visits) Torvald and family. iii) Always do the right thing to avoid.........(embarrasing/embarrassing/embarassing)

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Onyesha matamshi ya vokali ukitumia mchoro huu wa pembe tatu.(Solved)

    Onyesha matamshi ya vokali ukitumia mchoro huu wa pembe tatu. fig7.png

    Date posted: November 21, 2022.  

  • UFAHAMU Ajira ya watoto Kingi alizaliwa vuruni kijiji kilichosifika kwa ukarimu wa wanakijiji wake.Ingawa walikuwa karimu,Wavuruni wengi walikosa elimu.(Solved)

    UFAHAMU Ajira ya watoto Kingi alizaliwa vuruni kijiji kilichosifika kwa ukarimu wa wanakijiji wake.Ingawa walikuwa karimu,Wavuruni wengi walikosa elimu.Fauka ya hayo,walininginia katika umaskini uliokithiri.Hivyo,wengi waliselea katika kazi za kijungu jiko.Watot wa umri wa kwenda shule walikosa elimu na kuzurura mitaani.Udhaifu huu ulimpa faida Mwakisu,tajiri mmoja aliyemiliki shamba kubwa.Aliwaajiri watoto hao. Mwakisu alikuwa mkwasi alietononoka si haba.Kama ni senti ,alikuwa nazo.Kilichotia doa jina lake ni kiburi.Mbali na kiburi hicho,yeye hakujaliwa moyo wa huruma na utu. Hakubarikiwa kuwa mwema .Maadili hutuongoza kila mara kuwa ‘wema hauozi’. Kwa Mwakisu,wema ulioza na kuvunda .Utu uling’oka katika bawaba za moyo wake na ukawa msamiati aliouchukia.Aliwatumikisha watoto wa wenzake huku wake wakisoma shule.Tabia yake hiyo ndiyo iliyowafanya Wavuruni kumtoa katika orodhayao ya watu wema. Mwakisu alistaajabisha!Hakutaka kununua mashine zozote za kufanya kazi shambani ingawa alikuwa nao uwezo.Alistahabu kuajiri watoto wadogo na kuwadhulumu.Mkwasi huyu alifurahia kuona vitoto vikimenyana na kazi shambani kwake tangu mawio hadi machweo na hatimaye kuwapa ujira mdogo. Siku moja Kingi alimtaka radhi, “Bosi naomba uniongezee chochote ,kwani tuna shida nyumbani.” Mwasiku alimkodolea macho huku mdomo ukimcheza.Hapo alimchomolea mwajiriwa wake tusi kubwa kutoka kwenye hazina yake isiyopungua.Tusi ambalo lilimtaabisha Kingi kulisahau.Lilikaririwa akilini mwake kwa sonono.Tangu siku hiyo Kingi akaona kuwa kuajiriwa na Mwakisu ni kufadhiliwa u chini. Kiburi cha mwakisu kilidhihirika kila mara .Kila alipomwona motto akilia kwa uchovu au maumivu ,ungemsikia akimfokea ,”Chapa kazi!Unalilia nani hapa?Kama humudu kazi rudi kwa mamako ukanyonye.” Kazi nyingi zilikuwa ngumu na hazikuwastahili watoto wenye umri mdogo.Si kipupwe, si kaskazi,si vuli,si kiangazi ,si kusi:kazi ziliongezeka na kuwaumiza watoto.Kingi,kwa mfano,alitakikana akame ng’ombe kumi na abebe maziwa hadi kwenye tangi kubwa .Kisha angewakatia mg’ombe nyasi na kuwasafisha .Hatimaye angehitajika kuzoa samadi. Msimu wa kipupwe uliwadia.Baridi ikawatafuna watoto hao waliokosa mavazi bora.Kingin aliugua.Watoto wengi wakapatwa na maradhi.Wawili wakaaga dunia.Wazazi walipoona maisha ya watoto wao yamo hatarini,wakaandamana hadi kwa Mwakisu.tajiri huyo aliwajia kwa meno ya juu,’msiniitie kibuhuti.Mimi niliwaajiri watoto,sio watoto na wazazi wao”.Wazazi wakatanabahi kuwa , ‘Pa shoka hapaingii kisu’.Waliandamana hadi kwa chifu.Chifu alipoyaona yamempita kimo,akafululiza hadi kituo cha polisi. Mwakisu akakamatwa ,akashtakiwa na kuhukumiwa .Alipatikana na makosa ya kuwaajiri watoto wenye unri mdogo na kusababisha vifo vya wawili hao. Serikali ikatoa amri kwa wazazi kupeleka watoto wao shuleni.Ikatoa pia misaada ya kuendeleza elimu;elimu ya bure kwa shule za msingi.Kingi akasoma hadi kuhitimu chuo kikuu.Akawa daktari. Alfajiri moja mahabusu waliletwa hospitali kuu ya mkoa kwa matibabu.Kingi akampa huduma mzee aliyejawa mvi na kukoboka meno.Alipomtazama kwa makini akamkumbuka. Mwakisu akabahatisha,”sura yako….ni kama Kingi…”Kingi akamjibu,”Mimi ndiye Kingi.”Wakakondoleana macho, huku machozi yakimtiririka Mwakisu. Maswali 1.Toa kichwa kingine kwa habari hii. 2.Taja matatizo mawili yaliyowakabili wanakijiji cha Vuruni. 3.Ni mambo gani yaliyowafanya wanakijiji kumtoa Mwasiku katika orodha yao? 4.Taja kazi alizofanya Kingi. 5. Mwasiku alishtakiwa kwa makosa gani? 6.Eleza maana ya semi hizi. (a)Kazi ya kijungu jiko. (b)Tononoka si haba. (c)Kodolea macho. 7.Toa maana ya methali hizi: (a)Wema hauozi. (b)Pa shoka hapaingii kisu. 8.Toa maana ya msamiati huu kama ulivyoptumiwa katika makala: (a)Fauka ya (b)Alistahabu

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Fill in the blank with the correct forms of the words in brackets.i) The tragedy was beyond everyone’s ……… (comprehend)ii) The driver of the lorry...(Solved)

    Fill in the blank with the correct forms of the words in brackets. i) The tragedy was beyond everyone’s …………………………………………….. (comprehend) ii) The driver of the lorry declined to accept……………………………………….. (liable) iii) She filed a……………………………………………(sue) against her employer.

    Date posted: November 21, 2022.