Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

61904 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • Taja mambo/dhana nne zinazozingatiwa katika matumizi ya lugha. (Solved)

    Taja mambo/dhana nne zinazozingatiwa katika matumizi ya lugha.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Onyesha silabi inayowekewa shadda kwenye maneno yafuatayo. Karatasi – Shairi – Barabara(njia kuu) Mto –(Solved)

    Onyesha silabi inayowekewa shadda kwenye maneno yafuatayo. Karatasi – Shairi – Barabara(njia kuu) Mto –

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Toa neno kwa kila moja ya sauti ambatano zifuatazo. Nyw – Nd – Ngw –(Solved)

    Toa neno kwa kila moja ya sauti ambatano zifuatazo. Nyw – Nd – Ngw –

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Onyesha Nomino (N), kitenzi , kielezi (E) Kiunganishi (U), na kivumishi (v) katika sentensi hizi. (i) Mtoto anacheza vizuri. (ii) Utacheza au utasoma? (iii) Wanafunzi wawili wanalala.(Solved)

    Onyesha Nomino (N), kitenzi , kielezi (E) Kiunganishi (U), na kivumishi (v) katika sentensi hizi. (i) Mtoto anacheza vizuri. (ii) Utacheza au utasoma? (iii) Wanafunzi wawili wanalala.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Kanusha sentensi zifuatazo. (i) Mkulima analima shamba. (ii) Mwanafunzi anasoma kitabu.(Solved)

    Kanusha sentensi zifuatazo. (i) Mkulima analima shamba. (ii) Mwanafunzi anasoma kitabu.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Andika vinyume vya sentensi zifuatazo:- (i) Mama anaanika nguo (ii) Baba anaenda sokoni. (Solved)

    Andika vinyume vya sentensi zifuatazo:- (i) Mama anaanika nguo (ii) Baba anaenda sokoni.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Bainisha maneno haya yanapatikana katika ngeli ipi? Ngoma – Ukuta – MachoUgonjwa – Mmea – Maiti –(Solved)

    Bainisha maneno haya yanapatikana katika ngeli ipi? Ngoma – Ukuta – MachoUgonjwa – Mmea – Maiti –

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Andika maneno yenya miundo ya silabi ifuatayo. KI (Konsonanti irabu) – KKI (Konsonanti, konsonanti, irabu) – II (irabu) –(Solved)

    Andika maneno yenya miundo ya silabi ifuatayo. KI (Konsonanti irabu) – KKI (Konsonanti, konsonanti, irabu) – II (irabu) –

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Andika majukumu tatu ya lugha.(Solved)

    Andika majukumu tatu ya lugha.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Taja vigezo vitatu vinavyotumika kuainisha konsonati.(Solved)

    Taja vigezo vitatu vinavyotumika kuainisha konsonati.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Jibu maswali yote kwenye nafasi zilizoachwa wazi. Mawasiliano ni neno ambalo asili yake ni wasili. Wasili lina maana ya kufika kwa mtu, kitu, au jambo fulani baada...(Solved)

    Jibu maswali yote kwenye nafasi zilizoachwa wazi. Mawasiliano ni neno ambalo asili yake ni wasili. Wasili lina maana ya kufika kwa mtu, kitu, au jambo fulani baada ya mwendo au safari. Kwa hivyo kuwasiliana kuna maana watu, kitu au mambo kufikiana kutoka mahali. Katika siku za jadi mawasiliano yalikuwepo lakini ya shida. Hata hivyo, watu waliwasiliana kwa kutumia moshi, ngomezi au kupiga mbiu. Mbinu hizi za jadi zilitumiwa baina ya vijiji ili kujulisha wanakijiji jambo la dharura au kuwajulisha jambo lingine lolote. Mbiu ilitumika kwa jambo la dharura. Njia za kusafirisha mizigo zilikuwa haba. Baadhi ya watu walitumia wanyama, kama fahali au farasi kukokotea mizigo yuao. Siku hizi mawasiliano yamepanuka sana. Mawasiliano ya kisasa yanahusisha simu, mtandao, televisheni na wavuti. Mawasiliano ya kisasa yamefanya ulimwengu wa kisasa kuwa kijiji kimoja kikubwa. Kwa kuzingatia maudhui haya, vyombo au njia kama redio, simu, waraka, ndege, meli, motokaa na wavuti vimepewa jina la vyombo vya mawasiliano. Hivyo basi yafaa tutathmini ni vipi vyombo au njia hizi hufanya kazi ya kuwasiliana na huwasilisha nini. Vyombo hivi vinaweza kuelezwa chini ya vichwa vitatu; usafiri, mazungumzo na picha. Vyombo mathalan baiskeli, ndege, meli na magari hufanya kazi ya kuwasafirisha watu kutoka janibu moja hadi nyingine. Watu wanaposafiri huwa wanasafirisha mali yao. Bidhaa kama kahawa, vyuma na mizigo mingine husafirishwa kwa meli, ndege na magari kupitia majini, hewani au barabarani. Bandari, viwanja vya ndege na barabara zimeimarishwa ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo. Anayesafirisha bidhaa fulani na wakati huo anatakikana kukusanya nyingine, inamlazimisha asiambatane na bidhaa hizo lakini ahakikishe zimewasili alikozikusudia. Hivyo basi njia nyingine ya mawasiliano ilivumbuliwa. Njia hii ambayo ni mazungumzo hutumia vifaa kama barua, simu, barua pepe na kipepesi. Mtumiaji ataandika ujumbe na kuutuma kupitia shirika la posta au mashirika mengine ama mtandao. Yamkini ilihitajika kuweza kujibizana na kuulizana kati ya watu hao wawili ndipo simu ilipovumbuliwa na kumwezesha mtu kuzungumza na mwingine akiwa mbali sana. Watu huzungumza na kufahamiana. Ilipohitaji mtu kukiona kitu anachozungumzia ndipo ilibidi kuunda vifaa vya kuonyesha picha kama vile televisheni. Ilikuwa fahari kubwa sana kwa Wakenya kuwasiliana na nchi ya Ghana wakati wa michuano ya mpira ya kuwania kombe la taifa bingwa Afrika. Wakenya waliweza kuiona michezo hiyo moja kwa moja ingawa kijiografia Kenya na nchi hiyo zina majira tofauti. Mawasiliano tuliyotaja ni vyombo vya ufundi vilivyoundwa lakini kunayo maswasiliano ya ana kwa ana. Mwalimu na mwanafunzi darasani huwasiliana kutumia midomo, mikono, macho, kichwa na ishara nyinginezo. Wanapofanya hivyo huwa wanaelewana. Ndege kama kuku akihisi adui hufanya ishara au mlio fulani wa kutahadharisha viranga wakek katika michezo. Mwamuzi huwasiliana na wachezaji labda kwa kutumia firimbi au kipenga, kengelel au ishara za mkono. Kengele pia hutumiwa shuleni ili kuonyesha kukamilika kwa kipindi au kuhitajika mahali pengine. Kwa muhtasari, mawasiliano hutumia chochote ilimradi ujumbe utokao kwa mtu, kitu au mahali fulani ufike panapotarajiwa. MASWALI: (i) Taja anwani faafu ya kifungo hiki. (ii) Vyombo vya mawasiliano vimeleta manufaa gani katika maisha ya watu? (iii) Mawasiliano yameelezwa katika vipenge vitatu. Vitaje. (iv) Andika visawe vya: (a) Televisheni – (b) Waraka – (v) Nini maana ya: (a) Ana kwa Ana – (b) Ulimwengu umekuwa kijiji kimoja kikubwa –

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Read the excerpt below and answer the questions that follow ...(Solved)

    Read the excerpt below and answer the questions that follow “For heaven’s sake Resian ,” Taiyo said turning round to face her sister. “how I am supposed to know?” “I suppose it’s going to be very different from the kind of life we are used to here, isn’t it ?” “Most likely so, yes.” “It seems so very strange,” Resian pressed on relentlessly, “to be leaving Nakuru town.” “We have always known that it was our father’s plan to end up in Nasila,” Taiyo told her sister, trying hard not to answer her directly. “Thatis why he built that shop that he has always spoken about. Now that he has been retrenched….”she hesitated a moment. It transpired that the more she spoke of the relocation, the harder the reality that she was about to leave Nakuru town for good hit her. The twenty years of her life had been spent there. She loved its crowded streets, the bustle and the excitement of its wholesale and retail markets, and boisterous bus stage. But the most painful to leave behind was her boyfriend Lenjirr, the lanky dark-haired, blunt-faced young man whose big languid eyes had always smiled at her warmly fostering in her the dreams of young womanhood. “Taiyo -e-yeiyo?” Resian called, lifting her head to look up; suspiciously into the face of her tall sister. “Is something amiss?” “No nothing is amiss.” “I’m somehow worried dear sister. Resian’s voice dropped a little with apprehension. “What do you think will happen to us if the shop father intends to open does not become as successful as he hopes?” “Resian-e-yeiyo, I don’t know any better than you! Father thinks the shop will be a success. I overheard him tell one of his friends that he was going to stock agricultural input such as fertilizer, seeds, animal drugs and chemicals. Nasila is an agricultural area and business is bound to do well. Let us have faith in him and hope for the best.” a) Place the excerpt in its immediate context. b) From the excerpt above describe the character trait of both Taiyo and Resian. c) From elsewhere in the novel, describe how the news of Ole Kaelo’s Retrenchment had been received by both mama Milanoi and Ole Kaelo himself. d) Comment on the author’s use of language in the above excerpt. e) Describe any two thematic concerns addressed in the above excerpt. f) “We have always known that it was our father plan to end up in Nasila” Taiyo told her sister, trying hard not to answer her directly. Rewrite the above statement in reported speech. g) Explain the meaning of the following words as used in the excerpt. i. Retrenched ii. Transpired iii. Inputs

    Date posted: November 21, 2022.  

  • COMPREHENSION Read the passage below and answer the questions that follow ...(Solved)

    COMPREHENSION Read the passage below and answer the questions that follow When God made women out of man according to the biblical story of creation, He did not restrict her from doing certain type of jobs, nor did He forbid man from doing any king of chores. The only problem with us today is that we think like those who lived in age where men’s roles and women’s roles were clearly specified. Consequently, it is rare to find a man at home doing chores like washing the dishes , preparing supper for the family or even cleaning the house while women of the house sits to watch the news or a programme she enjoys on television. This mindset has also been passed down to children, where you will find a girl working tirelessly around the house while her brother is comfortably stretched out on the sofa watching a movie. Why can’t we train our children to do what needs to be done irrespective of their gender? Personally, I was brought up in a home where chores are divided equally among those present, and no amount of protesting could exonerate me from my assigned chores, which is why I find this gender sensitive somewhat discriminative. I once broached the issue of sharing chores with a friend of mine and his reaction was unpredictable, “You expect me to cook, wash dishes, clean the house and look after the baby? These are things I can’t do no matter how much I love her! My job is to put the food on the table and secure my children’s future,” he responded passionately. These are biases so deeply ingrained that it seems odd if a man tells he is a nurse. The question that naturally comes to mind will be, “Isn’t that a woman’s job?” because you expect a nurse to be a woman in pretty white or small stripped dress and white cap. However, the truth is that men are just capable of providing nursing care as female counterparts. And turning to politics, how many of our constituencies have female representatives in parliament? Just a handful. And how many countries in the world have women presidents or prime ministers? Another handful. Many women have joined politics hoping to succeed where men have failed but quit after being frustrated by men’s obvious lack of trust in their abilities. But from those who have persevered, we can see that women do better than men since they start from basic level of the home, where they take care of their families and do everything to keep them going. Another very peculiar field is football. Fans flock pub to watch male players juggle the ball and make their fancy moves and sometimes fight erupt after heated arguments about football games like world cup, premier League and other tournaments. But I have never heard people fight over Women’s World Cup or anybody disappointed after a women’s team he supports took a thrashing from an opponent. Careers like engineering have also been affected by this negative trend. It is getting increasingly rare to find a woman in overalls lying under a heavy truck checking for engine trouble or repairing the brakes. This is considered a man’s job and many people believe cannot do it properly. I believe it is time we got rid of those outdated beliefs and started appreciating women for who they are. We should give them a chance to prove themselves and open up more opportunities. Men should also realize that to do perfectly, one requires brain, not brawn, and if this continues, it will do more than good. Besides, what a man can do, a woman can do, sometimes even better. Giving women an opportunity, will create a balance and bring the best in everyone. (Adapted from: Daily Nation24thFebruary2010, Living Magazine page 2 – Gichuru Hesbon) Questions a) According to the passage, what seems to cause conflicts in gender roles today? b) What is the author’s opinion on defined gender roles? c) How has upbringing contributed to this opinion? d) Make notes on duties of men and women as brought out in passage. e) According to the passage, why are some careers considered male dominated in our society today? f) In your opinion, should there be gender defined duties for boys and girls? g) According to the passage, what should be done to get rid of outdated practice of defined gender roles? h) Explain the meaning of the following words as used in the passage. I. Exonerated II. Ingrained III. Peculiar IV. Brawn

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Taja majukumu matano ya fasihi simulizi.(Solved)

    Taja majukumu matano ya fasihi simulizi.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Fasihi simulizi ni nini?(Solved)

    Fasihi simulizi ni nini?

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Complete the telephone conversation below with appropriate responses. You: ... Teacher: Yes, you may come in. How can I help you, Maria? You: Sorry to bother you, Sir....(Solved)

    Complete the telephone conversation below with appropriate responses. You: ... Teacher: Yes, you may come in. How can I help you, Maria? You: Sorry to bother you, Sir. Could you please show me Mr. Karanja’s desk? Teacher: ... You: He has sent me to pick a Geography textbook from his desk and to ask you to assist us with a pair of binoculars. Teacher: The desk is over there. The book should just be on the table. You: ... Teacher: ... You: Oh, here it is. You were right, Sir, it must have fallen from the desk. Teacher: Now hurry up. The lesson is almost over and the teacher must be waiting for the book. You: ... Teacher: Oh, sorry. Here is the pair of binoculars. Be careful as you handle since its casting is broken. You: ... Teacher: ...

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Kanusha sentensi ifuatayo. Nyumba hiyo itafunguliwa.(Solved)

    Kanusha sentensi ifuatayo. Nyumba hiyo itafunguliwa.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Tambulisha maneno mbalimbali katika sentensi zifuatazo. i) Mwanafunzi mvumilivu alisoma vizuri. ii) Yule ameongea maneno mengi.(Solved)

    Tambulisha maneno mbalimbali katika sentensi zifuatazo. i) Mwanafunzi mvumilivu alisoma vizuri. ii) Yule ameongea maneno mengi.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati / hali gani? a) Otieno hula samaki kila siku b) Yeye anaandika tu kitabu(Solved)

    Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati / hali gani? a) Otieno hula samaki kila siku b) Yeye anaandika tu kitabu

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Mary cannot bear children i) Identify the above genre. ii) Give the two possible meanings of the above. iii) Give one function of the above genre.(Solved)

    Mary cannot bear children i) Identify the above genre. ii) Give the two possible meanings of the above. iii) Give one function of the above genre.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Andika sentensi zifuatazo kwa wingi. i) Ukuta ambao ulianguka ni huu. ii) Mwanagenzi yule amepita mtihani vizuri.(Solved)

    Andika sentensi zifuatazo kwa wingi. i) Ukuta ambao ulianguka ni huu. ii) Mwanagenzi yule amepita mtihani vizuri.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Indicate the appropriate intonation at the end of each sentence. i) Have all the students been registered? ii) Stop wasting time. iii) That was superb! iv) There is hope...(Solved)

    Indicate the appropriate intonation at the end of each sentence. i) Have all the students been registered? ii) Stop wasting time. iii) That was superb! iv) There is hope for Cancer patients.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Tenganisha neno lifuatalo katika viambiu vyake mbalimbali. Aliyempigia(Solved)

    Tenganisha neno lifuatalo katika viambiu vyake mbalimbali. Aliyempigia

    Date posted: November 21, 2022.  

  • For each of the following words, write another that is pronounced the same way but is spelt differently and has a different meaning. i) Know ii) Gate iii)...(Solved)

    For each of the following words, write another that is pronounced the same way but is spelt differently and has a different meaning. i) Know ii) Gate iii) Bare

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Sauti mwambatano ni nini?(Solved)

    Sauti mwambatano ni nini?

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Toa mifano miwili ya sauti za nazali/ving’ong’o.(Solved)

    Toa mifano miwili ya sauti za nazali/ving’ong’o.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Andika konsonanti tatu ambazo ni vipasuo.(Solved)

    Andika konsonanti tatu ambazo ni vipasuo.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Taja aina mbili za konsonanti.(Solved)

    Taja aina mbili za konsonanti.

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Viungo ambavyo hutumika katika utamkaji wa sauti huitwa aje?(Solved)

    Viungo ambavyo hutumika katika utamkaji wa sauti huitwa aje?

    Date posted: November 21, 2022.  

  • Kiungo ambacho hutetemeka na kutoa sauti huitwaje?(Solved)

    Kiungo ambacho hutetemeka na kutoa sauti huitwaje?

    Date posted: November 21, 2022.