Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
- State the categories of plants based on the reaction to chillness(Solved)
State the categories of plants based on the reaction to chillness
Date posted: January 11, 2023.
- Discuss the types of Cold Injury(Solved)
Discuss the types of Cold Injury
Date posted: January 11, 2023.
- Discuss the effect of Temperature on Plant growth/crop production(Solved)
Discuss the effect of Temperature on Plant growth/crop production
Date posted: January 11, 2023.
- When does maximum production of dry matter occur?(Solved)
When does maximum production of dry matter occur?
Date posted: January 11, 2023.
- State the reasons why temperature is of paramount importance for organic life(Solved)
State the reasons why temperature is of paramount importance for organic life
Date posted: January 11, 2023.
- Some investigators have classified the vegetation of the world into four classes based on the prevailing temperature conditions. State the classes(Solved)
Some investigators have classified the vegetation of the world into four classes based on the prevailing temperature conditions. State the classes
Date posted: January 11, 2023.
- Discuss the factors affecting radiation distribution(Solved)
Discuss the factors affecting radiation distribution
Date posted: January 11, 2023.
- State what governs the amount of insolation received on any date at any place on the earth(Solved)
State what governs the amount of insolation received on any date at any place on the earth
Date posted: January 11, 2023.
- Describe the processes of heat energy transfer(Solved)
Describe the processes of heat energy transfer
Date posted: January 11, 2023.
- Discuss light as used in climatology.(Solved)
Discuss light as used in climatology.
Date posted: January 11, 2023.
- Discuss solar radiation (Solved)
Discuss solar radiation
Date posted: January 11, 2023.
- State the classification of climate based on latitude(Solved)
State the classification of climate based on latitude
Date posted: January 11, 2023.
- The crop regions are classified on the basis of average rainfall. Describe(Solved)
The crop regions are classified on the basis of average rainfall. Describe
Date posted: January 11, 2023.
- What are the factors affecting Weather and Climate?(Solved)
What are the factors affecting Weather and Climate?
Date posted: January 11, 2023.
- Nilitazama jua likichwa
Matumaini yangu yakizama pamoja
Na miale miekundu
Nilidhani lilikuwa jinamizi tu
Kwamba ulikuwa kesha n’acha(Solved)
Nilitazama jua likichwa
Matumaini yangu yakizama pamoja
Na miale miekundu
Nilidhani lilikuwa jinamizi tu
Kwamba ulikuwa kesha n’acha
Walikuwa wameisha n’ambia
Walimwengu
Ela nilikataa katakata walosema
Nikajitia kuamini waloamba yalikuwa
Uzushi
Hadi siku hii nilopokea waraka,
Waraka ambao ulikuwa jeneza ka kuzikia
Pendo letu la miongo miwili.
a. Taja aina ya wimbo ufuatao.
b. Taja sifa tano za utanzu huu wa fasihi simulizi.
c. Eleza umuhimu wa utanzu huu.
d. Taja na ueleze aina zingine tano za nyimbo.
Date posted: November 26, 2022.
- Soma makala haya kisha ujibu maswali.
Kwani mnauza salamu? Sina time ya kuwaste hapa. Am a busy person leta order yako haraka...
Nimesema samaki wa kupaka. Mimi...(Solved)
Soma makala haya kisha ujibu maswali.
Kwani mnauza salamu? Sina time ya kuwaste hapa. Am a busy person leta order yako haraka...
Nimesema samaki wa kupaka. Mimi ng’ombe na chicken.
a. Tambua sajili hii.
b. Fafanua sifa tisa za sajili hii.
Date posted: November 26, 2022.
- Kanusha:
Asha aliwapelekea wageni chakula na akawanavya mikono.(Solved)
Kanusha:
Asha aliwapelekea wageni chakula na akawanavya mikono.
Date posted: November 26, 2022.
- Tumia neno ‘kuwa’ kama kitenzi kishirikishi kikamilifu katika sentensi.(Solved)
Tumia neno ‘kuwa’ kama kitenzi kishirikishi kikamilifu katika sentensi.
Date posted: November 26, 2022.
- Eleza matumizi ya neno ‘mzee’ katika sentensi zifuatazo:
Baba mzee amelewa
Mzee amelewa(Solved)
Eleza matumizi ya neno ‘mzee’ katika sentensi zifuatazo:
-Baba mzee amelewa
-Mzee amelewa
Date posted: November 26, 2022.
- Andika katika usemi wa taarifa.
“Tafadhali nifungulie mlango sasa. Nitanyeshewa.” Mtoto akamwambia(Solved)
Andika katika usemi wa taarifa.
“Tafadhali nifungulie mlango sasa. Nitanyeshewa.” Mtoto akamwambia
Date posted: November 26, 2022.
- Eleza matumizi matatu ya viambishi awali.(Solved)
Eleza matumizi matatu ya viambishi awali.
Date posted: November 26, 2022.
- Andika sifa za sauti zifuatazo:
/m/
/gh/(Solved)
Andika sifa za sauti zifuatazo:
/m/
/gh/
Date posted: November 26, 2022.
- Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali.
Dawa za kulevya ni donda ndugu katika taifa letu. Ni zimwi linalotesa na kufisha wazee kwa vijana.(Solved)
Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali.
Dawa za kulevya ni donda ndugu katika taifa letu. Ni zimwi linalotesa na kufisha wazee kwa vijana.
Halichagui jinsia, tabaka, rangi wala umri. Uraibu wa dawa hizi hauna faida yoyote. Wanaotumia dawa
za kulevya huzitia mwili kwa kunusa, kuvuta, kumeza na kujidunga sindano. Zinapoingia katika miili ya
watu madhara huwa mengi.
Kuna wale wanaokosa hamu ya kula, wengine huambukizwa maradhi kama vile ukimwi
wanapotumia sindano zilizotumiwa na watu wenye virusi vya maradhi hayo kujidunga sindano na kutia
dawa mwilini.
Mihadarati pia inaweza kufanya mtu awe mwendawazimu. Vifo pia hutokea ikiwa uraibu utazidi
na mtu akose kupata matibabu. Mtu anayetumia dawa za kulevya huathirika akili. Yeye huwa hana
uamuzi wenye hekima katika maisha yake .wengi wao hushiriki katika vitendo vya uhayawani. Wao
hukosa fikra za utu. Baadhi yao wamebaka kina mama na watoto wadogo na wengine wamezua vita
katika familia na kusababisha madhara makubwa katika jamii zao kwa sababu ya ulevi.
Familia za wanaotumia mihadarati hazina amani. Jamaa zao hutumia hala nyingi kuwalipia ada
ya hospitali ili wapate matibabu baada ya kuzidiwa na uraibu. Mali hufujwa na watu wenye uraibu wa
dawa hizo pale wanapohakikisha hawazikosi kila siku. Mzazi kwa mfano anaweza kutumia hela kununua
dawa za kulevya badala ya kumlipia mwanawe karo. Kuna wale wanaowaibia majirani na marafiki ili
wakidhi mahitaji yao.
Ajali barabarani pia husababishwa na malevi. Dereva yeyote awe wa matatu au gari la kibinafsi
anapoedesha gari akiwa mlevi huwa anahatarisha maisha yake mwenyewe, abiria na wananchi
wanaopiga miguu barabarani .Uchumi wa taifa huzorota baada ya wananchi kutumia mihadarati. Watu
wenye uraibu hukaa mbumbumbu bila kufanya lolote hasa kutokana na kudhoofika kwa afya yao au
ulegevu unaosababishwa na ulevi. Watu wa aina hiyo huwa wanamchango haba katika ukuzi wa
uchumi wa taifa.
Dawa hizi zimesambaa kila mahali utapata zinauzwa masokoni, shuleni, njiani na hata pahali
popote pale penye watu. Dawa za kulevya haziuzwi hadharani nchini Kenya kwa sababu serikali imepiga
marufuku uuzaji wa bidhaa hiyo. Waja wanaoziuza hufanya hivyo kisiri. Walanguzi wa mihadarati
aghalabu hutumia watu wengine kuuza kwa niaba yao. Kuna wale wanaotumia watoto ,
wanaorandaranda almaarufu chokoraa na wengine hutumia vijana katika shule za misingi, upili na vyuo
vikuu kama mawakala.
Vijana hasa wamejipata katika mtego huu kwa kuwafanyia walanguzi biashara hii haramu hili
waweze kupata hela za kukidhi matakwa yao ukweli ni kuwa pesa wanazo patiwa na waajiri wao ni
chache mno na hatimaye wao hutumia daw zile na kuishia kuwa na uraibu unaosababisha wao wenyewe
kuwa wateja wa mabwenyenye hao wasio na utu.
Watu maarufu kama vile wafanyabiashara, wanamuziki na wanasiasa wametuhumiwa kushiriki
katika biashara hii . washukiwa hawa mara nyingi hukosa kufikishwa mahakamani kwa sababu jamii
hukosa ushahidi wa kutosha dhidi ya tabia hiyo. Ni nani hasa muhusika katika kuingiza sumu hii katika
nchi yetu ? hakuna mtu anayeweza kusimama kadamnasi na kusema hiyo ndiyo kazi yake. Mbona
tushiriki katika biashara tusiyoweza kujivunia?
Ni mwito wangu kwa kila mwananchi mzalendo kuungana na wenzake ili kupinga biashara hii haramu.
Tuhubiri makanisani, shuleni misikitini, hekaluni na mahali popote pale. Tukemee adui huyu, wa afya na
mali. Washauri nasaha washike usukani wawashauri wazee kwa vijana, wakubwa kwa wadogo, weusi
kwa weupe tuizike mihadarati katika kaburi la sahau.
Maswali
1. Yape makala haya anwani mwafaka.
2. Mwandishi anamaanisha nini anaposema kuwa dawa za kulevya ni donda ndugu katika taifa
letu.
3. Taja namna ambavyo dawa za kulevya zinavyotumiwa.
4. Eleza athari ya dawa za kulevya kwa familia za wanaotumia .
5. Kuna changamoto gani katika kupiga vita matumizi ya mihadararati.
6. Eleza sera ya serikali kuhusu dawa za kulevya.
7. Msamiati ufuatao umetumika kumaanisha nini kwa mjibu wa taarifa.
i. mawakala
ii. kadamnasi
iii. washauri nasaha
Date posted: November 26, 2022.
- Eleza sifa za sajili ya maabadani.(Solved)
Eleza sifa za sajili ya maabadani.
Date posted: November 26, 2022.
- Unda nomino mbilimbili kutokana na mizizi ifuatayo.
i) -f-
ii) -l-(Solved)
Unda nomino mbilimbili kutokana na mizizi ifuatayo.
i) -f-
ii) -l-
Date posted: November 26, 2022.
- Bainisha kirai nomino na kirai kivumishi katika sentensi hizi.
i) Nguo aliyonunua mzazi ni mpya.
ii) Kondoo mwenye manyoya mengi hupendeza.(Solved)
Bainisha kirai nomino na kirai kivumishi katika sentensi hizi.
i) Nguo aliyonunua mzazi ni mpya.
ii) Kondoo mwenye manyoya mengi hupendeza.
Date posted: November 26, 2022.
- Tunga sentensi ya neno moja yenye visehemu vifuatavyo vya sarufi.
i) Kiambishi kiwakilishi cha kiima
ii) Kiambishi kiwakilishi cha wakati uliopo
iii) Kiambishi kiwakilishi cha kitendewa/mtendewa
iv) Shina la...(Solved)
Tunga sentensi ya neno moja yenye visehemu vifuatavyo vya sarufi.
i) Kiambishi kiwakilishi cha kiima
ii) Kiambishi kiwakilishi cha wakati uliopo
iii) Kiambishi kiwakilishi cha kitendewa/mtendewa
iv) Shina la kitenzi
v) Kiambishi cha kauli ya kutendesha
vi) Kiishio
Date posted: November 25, 2022.
- Tumia neno dhahiri katika setensi kulingana na maagizo
Kama:
i) Kiambishi
ii) Kivumishi(Solved)
Tumia neno dhahiri katika setensi kulingana na maagizo
Kama:
i) Kiambishi
ii) Kivumishi
Date posted: November 25, 2022.
- Bainisha yambwa tendwa na yambwa tendewa katika sentensi hii.
Mbunge wa Mtondo Kaskazini atawajengea wanakijiji josho kisha aghurie mjini.(Solved)
Bainisha yambwa tendwa na yambwa tendewa katika sentensi hii.
Mbunge wa Mtondo Kaskazini atawajengea wanakijiji josho kisha aghurie mjini.
Date posted: November 25, 2022.
- Tunga sentensi ukitumia nomino zifuatazo pamoja na kivumishi __ingine
i) dau
ii) urembo(Solved)
Tunga sentensi ukitumia nomino zifuatazo pamoja na kivumishi __ingine
i) dau
ii) urembo
Date posted: November 25, 2022.