Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Questions and Answers - Kenyaplex.com

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

61904 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • Eleza maana mbili za sentensi ifuatayo(Solved)

    Eleza maana mbili za sentensi ifuatayo. Nitakuja kukagua kazi hiyo baada ya saa mbili.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Differentiate between net revenue and marginal revenue.(Solved)

    Differentiate between net revenue and marginal revenue.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Kiwango cha ufanisi wa taifa lolote lile hugezwa kutokana na hali ya miundomsingi. Mataifa sampuli hii hutenga fulusi si akali ya makadirio ya bajeti yake...(Solved)

    Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali. Kiwango cha ufanisi wa taifa lolote lile hugezwa kutokana na hali ya miundomsingi. Mataifa sampuli hii hutenga fulusi si akali ya makadirio ya bajeti yake kwa miradi ya maendeleo. Nchi nyingi zinazoendelea hujikuta katika njia panda kwa mujibu wa utekelezaji wa sera amilifu za kukwamua chumi zao. Utawala wa Kenya umekuwa ukijikuna kichwa katika harakati za ujenzi wa nguzo hii ya ufanisi. Mbali na asasi za utabibu kuwa chache. Zile zilizopo ziko katika hali mahututi. Udufu huu umesambaratishwa zaidi na idadi kubwa ya madaktari na wauguzi wanaoendelea kugura tangu usimamizi wa huduma zao kuhamishiwa serikali za gatuzi, sikwambii changamoto zinazonyemelea sekta za elimu, utumishi wa umma na zaraa. Katika harakati za kupata suluhu, serikali imetoa rai ya kupunguza tija kwa watumishi wake. Rais, naibu wake na makatibu wa wizara wamekuwa vielelezo kwa kujitolea kunyoa 20% ya mishahara yao. Katika mdahalo wa kitaifa kuhusu matumizi ya mfuko wa umma ulioandaliwa na tume ya Mishahara nchini, rais alizirai bunge, mahakama, seneti, mashirika ya umma na magatuzi kudurusu mishahara kwa watumishi wake. Hii ni kwa sababu serikali inatumia 55% ya mapato ya ushuru ambayo inafasirika kama 13% ya mfuko wa umma kulipia mishahara. Kiasi hiki kimekuwa kikiongezeka kutoka shilingi bilioni 240 hadi bilioni 500 kwa muda wa miaka minne iliyopita. Wabobezi wa maswala ya iktisadi wamefichua kuwa hiki ni zaidi ya kiwango cha kimataifa cha 35% kinachotekelezwa na nchi zilizoendelea. Mbona tussige nchi za Malasya na Uswizi ambazo zimepunguza janguo kwa viongozi wao kwa 50%? Wataalam hawa wanashauri kuwa harakati hizi ni kama tone la suluhu kwenye bahari ya sintofahamu ikizingatiwa kuwa kupunguza mishahara ya wafanyakazi hasa wa ngazi za chini. Kutawanyonga katika uchumi ambao mfumuko wa bei umefikia kiwango cha kuvunda. Uhunifu unahitajika kupanua mfuko wa umma. Makadirio yanayotengewa wizara na shughuli nyingine za serikali zisizo za kimsingi yapunguzwe. Serikali pia inahitajika kuziba mianya ambayo kwayo darahimu lukuki hunywelea kutokana na ubadhirifu. Inatarnausha kutanabahi kuwa wizara ya usalama wa ndani haiwezi kuwajibikia matumizi ya shilingi milioni 548.7! Wakenya walitoteza mamilioni kutokana na Benk Kuu ya Kenya kukaidi ushauri wa kisheria na kanuni za zabuni za kandarasi zinazohusu mitambo ya usalam na utengenezaji wa pesa. Si ajabu gavana wake Profesa Njuguna Ndung‘u alifunguliwa mashtaka ya utepetevu na matumizi mabaya ya mamlaka. Wanaotolea nchi hii futuko wataweza tu kutua mori iwapo makabiliano haya na vyombo vya sheria yatawasukuma wahitifaki hawa wa chauchau nyuma ya kizimba. Waaidha, ziara za ughaibuni ambazo zilimpokonya mlipa ushuru milioni 348 mwaka wa 2013 pekee hazina budi kupunguzwa maradufu. Maafisa wa serikali lazima waghairi kutumia magari mazito yanayogubia mafuta. Inabainika kuwa gharama ya warsha na makongamano yanayonuiwa kuboresha ujuzi wa watumishi wa umma imeghushiwa licha ya utupu unaoambatana na mada zake.Serikali itaelezaje kauli kwamba imekuwa ikitumia shilingi bilioni 2 kuwakimu wafanyikazi hewa?Isitoshe, kuna wafanyikazi wengi wanaofanya kazi ombwe. Kwa mfano, makamishina wa magatuzi waliotumwa huko na serikali kuu wanatoa huduma zipi zisizoweza kutolewa na magavana? Ni ruya au halisi kuwa makdmishna wa Tume ya Mishahara nchini hulipwa marupurupu ya shilingi 400,000 kila mwezi kando na mishahara yao yenye minofu? Hii ni haramu ambayo lazima ilaaniwe.Ninashuku kuwa wakenya wangepigwa na mshtuko wa moyo iwapo marupurupu yanayohusishwa na taasisi nyingine za umma kama vile urais, mahakama na bunge yangeanikwa. a) Dondoa hoja muhimu katika aya mbili za mwanzo. (Maneno 75-80) b) Kwa kutumia maneno yasiyopungua 90 wala kuzidi 95, eleza mikakati inayoweza kutumiwa kudhibiti mfuko wa umma.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • (a) Why are xylem vessels more efficient in the transport of water than tracheids? (b) What is the significance of xylem vessels being dead?(Solved)

    (a) Why are xylem vessels more efficient in the transport of water than tracheids? (b) What is the significance of xylem vessels being dead?

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The diagrams below show stages in the process of feeding shown by amoeba(Solved)

    The diagrams below show stages in the process of feeding shown by amoeba amb11381042019.png (a) Name the part labeled A. (b) Name the process illustrated in the diagram above. (d) Name the type of cell in human beings that exhibit this process

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Waajiri wengi wanazilaumu taasisi za elimu kwa kukosa kutoa wafanya kazi wenye ujuzi tosha, hasa wa kiteknolojia za kisasa kama kutumia...(Solved)

    Soma makala yafuatayo kisha kisha ujibu maswali:- Waajiri wengi wanazilaumu taasisi za elimu kwa kukosa kutoa wafanya kazi wenye ujuzi tosha, hasa wa kiteknolojia za kisasa kama kutumia kompyuta kutenda kazi mbalimbali. Hali hii imekuwa ya kuhuzunisha sana. Ujuzi wa kuweza kutumia Kompyuta unaweza kumfaa mwanafunzi hata anapokosa nafasi ya kujiunga na chuo kikuu kwa vile anaweza kuendelea na elimu yake kupitia kwa elimu mtandao. Pia anaweza kufanya utafiti wa kina kupitia intaneti na kwa njia hii akaimarisha elimu yake. Mojawapo ya njia ya kuimarisha elimu kuhusu maswala ya teknolojia ni kuanzishwa kwa mikakati mipya ya kufunza. Somo la Kompyuta laweza kuimarika mashuleni endapo kwanza walimu watahamasishwa juu ya faida za ujuzi huu. Kwa kutumia Kompyuta kufunza, walimu wanaweza kufunza madarasa kadhaa katika kipindi kimoja bila kulazimika kuyahudhuria. Hii itapunguza kiwango cha kazi kwa walimu kwa vile watapata muda wa kufanya utafiti mpana. Aidha, watapata habari na ufahamu zaidi wa mambo kwa kutumia mitambo ya Kompyuta kutoka kwenye intaneti, kupitia tovuti. Hata hivyo mipango hii inakabiliwa na changamoto kama vile bei za juu za mitambo na vifaa vya Kompyuta, ukosefu wa miundo msingi itakayowezesha utumiaji wa mitambo hii na ukosefu wa walimu waliohitimu somo la Kompyuta. Pia, kuna tatizo la ukosefu wa nguvu za umeme hasa maeneo ya mashambani; vile vile, katika maeneo yaya haya, wanafunzi na wazazi wengi huvichukulia somo la Kompyuta kuwa gumu na linalofaa wakaazi na wanafunzi kutoka maeneo ya mijini na linalofaa wakaazi muhimu kwao mashambani. Maswali (a) Ipe taarifa uliyoisoma anwani inayoifaa (b) “Hali hii imekuwa ya kuhuzunisha.” Ni hali gani inayozungumziwa katika aya ya 1? (c) Ujuzi wa kutumia Kompyuta unaweza kumfaidi vipi mwanafunzi? (d) Mikakati mipya ya kuimarisha elimu kuhusu maswala ya teknolojia inakabiliwa na vizingiti vipi? (e) Taja manufaa mawili ambayo mwalimu anaweza kupata kutokana na ujuzi wa teknolojia ya Kompyuta (f) Andika msamiati mwafaka zaidi kwa maneno yafuatayo: (i) Kompyuta (ii) Intaneti

    Date posted: October 4, 2019.  

  • A transfusion of RH+ blood was given to a patient with Rh- blood. After one week a similar transfusion was given to the same patient....(Solved)

    A transfusion of RH+ blood was given to a patient with Rh- blood. After one week a similar transfusion was given to the same patient. What was likely to be the effect of the second transfusion?

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Takwimu za hivi punde zinaonyesha kuwa maradhi ya saratani imejifaragua na kuwa miongoni mwa senene kuduku duniani maadam inatishia kuupiku ukimwi.(Solved)

    Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali. Takwimu za hivi punde zinaonyesha kuwa maradhi ya saratani imejifaragua na kuwa miongoni mwa senene kuduku duniani maadam inatishia kuupiku ukimwi. Wagonjwa wanoendelea kuyasalimia amri wanaelekea kufikia kiwango cha kutisha.Licha ya tawala nyingi duniani kuwekezea tafiti anuai za kuyapindua, miale ya welewa wa kiini chake bado ni hafifu ajabu. Wataalam wa utabibu wanaeleza chanzo cha saratani kama mgawanyiko usio wa kawaida wa chembechembe za damu katika viungo vya mwili vinavyohusika. Viungo huanza kukua kwa kasi isiyo ya kawaida.Japo uvumbuzi unaonyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa watu wa umri wa makamo kuambukizwa ugonjwa huu. Wazee wamo hatarini zaidi.Hata hivyo vimeshuhudiwa visa vingi ambavyo hata watoto wachanga huathiriwa pakubwa.Saratani ya tezi-kibofu. Ya koromeo nay a mapafu ni baadhi ya aina zinazowaathiri wanaume. Saratani ya tezikibofu huwasogelea zaidi mabuda wa umri wa miaka zaidi ya sitini. Kwenda haja ndogo kila mara. Ugumu wa kupitisha mkojo, ugume wa kuanza au kumaliza kukojoa, damu kwenye mkojo na maumivu ya mgongo ni baadhi ya dalili zake. Mwishowe, tezi-kibofu huzidi kuwa kubwa na kufungia mkojo kutoka. Kansa zinazowalenga sana wanawake ni pamoja nay a nyumba ya uzazi, mlango wa uzazi na maziwa. Kansa ya maziwa huwachachawiza zaidi wanawake wenye umri wa miaka thelathini na mitano au zaidi. Dalili ya awali ni uvimbe unaohisika kwa ndani na maziwa kutoa usaha. Inaenea haraka na kuviambukiza viungo vya ujirani mathalani mapafu na ini. Saratani ya mlango wa uzazi inaambukizwa na virusi vinavyoita papolloma. Virusi hivi hupata mwanya iwapo mwanamke aliaza mahusiano ya kimapenzi katika umri mdogo,akiwa na wapenzi wengi, akiwa matumizi wa dawa fulani za kupanga uzazi na apulizapo moshi wa sigara. Inapendekezwa kuwa ukaguzi wa ada ufanywe ili kuugundua kabla haujasambaa kutokana na kauli kwamba mwanzoni hausababishi uchungu wowote. Ukaguzi wa kibinafsi kwenye viungo vilivy na uwezekano mkubwa wa kuambukizwa kisha jambo lolote lisilo la kawaida kama vile uvimbe na ugumu wa kumeza liwasilishwe mara moja kwa daktari. Ushauri zaidi unahusu aina ya vyakula na mitindo ya kisasa ya maisha. Vyakula vilivyosheheniwa na protini zipatikanazo katika nyama na mayai ni miongoni mwa vyakula hatari. Vyakula vya kiasili kama mboga, miwa, matunda, mafuta yanayotokana na mimea na nyama nyeupe hupendekezwa. Uvutaji wa sigara, unywaji pombe, na baadhi ya vipodozi vyenye zebaki huweza kurutubisha uwezekano wa kuambukizwa saratani. Ijapokuwa saratani ni kama sikio la kufa lisilosikia dawa, ni muhimu wawele wazibe ufa kabla ya kuangukiwa na ukuta usioweza kujengeka tena. Ikigunduliwa mapema. Maradhi haya huweza kudenguliwa kutumia tibakemikali, tabamiale, chanjo dhidi ya baadhi ya virusi vya saratani, upasuaji wa viungo vilivyoathiriwa na dawa za kupunguza makali yake. Utafiti wa kina uliofanywa na kukamilishwa mwezi wa Machi, mwaka wa 2014 na madktari wa Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta kwa ushirikiano wa wengine kutoka Uingereza umegundua kuwa dawa aina ya Lopinavir inyotumiwa kupunguza makali ya ukimwi ina uwezo wa kukabiliana na maradhi haya. Uchunguzi uliofanyiwa wawele baada ya muda Fulani wa uwekaji wa dawa hii kwenye mlango wa uzazi ulibainisha kuwa chembechembe za saratani huangamizwa na dawa hii. Ni jambo la kutia moyo kuwa harakati za kukabiliana na janga la ukimwi zinaelekea kutoa sulhu kawa maradhi haya ya kansa.Inakuwa shani inaposadifu kuwa nuhusi iliyowahi kutokea katika mapisi ya siha ya insi imekuwa kitivo kinachopaswa kuenziwa. Hakika hizi ni harakati zinazostahili kupongezwa na kuzidishwa iwapo zimwi hili litafukiwa katika lindi la usahaulivu. a) Kwa nini maradhi ya saratani yanaelekea kuwa hatari zaidi kuliko ukimwi? b) Ni kwa nini ni vigumu kuitambua saratani mwanzoni? c) Taja mambo yanayoweza kuchangia maambukizi ya saratani ya mlango wa uzazi. d) Eleza njia ambazo mtu anaweza kutumia kugundua kama ana saratani. e) Eleza baadhi ya mambo yanayoweza kuchochea maambukizi ya saratani. f) Eleza maana ya methali ifuatayo kwa mujibu wa makala haya. Dalili za mvua ni mawingu. g) Toa maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumiwa kwenye makala. i) senene kuduku ii) maziwa iii) ukaguzi wa ada

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The diagram shows a section through a plant organ.(Solved)

    The diagram shows a section through a plant organ. dicot.png (a) (i) Name the class of the plant from which the section was obtained belong. (ii) Give a reason for your answer in (a)(i) above (b) How is the part labelled C adapted to its functions?

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Explain six reasons for pruning coffee(Solved)

    Explain six reasons for pruning coffee

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The diagram below shows a part of a circulatory system. The arrows indicate the direction of the flow of blood.(Solved)

    The diagram below shows a part of a circulatory system. The arrows indicate the direction of the flow of blood. vessel11254102019.png (a) Identify the blood vessels labeled A and B. (b) Explain why it is important to transport food substances to organ C before being released for circulation to the rest of the body.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Tafautisha kati ya; Ngonjera za ushairi na za maigizo.(Solved)

    Tafautisha kati ya; Ngonjera za ushairi na za maigizo.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The diagram below shows a maize stalk infected by a certain pest .Study it and answer the questions that follow . i) Identify the pest ii)...(Solved)

    The diagram below shows a maize stalk infected by a certain pest .Study it and answer the questions that follow . fig1741020191224.png i) Identify the pest ii) Apart from maize, name another crop attacked by the pest named above iii) Give three cultural measures that can be applied to control the pest

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The diagrams below show two conducting elements of the xylem tissue.(Solved)

    The diagrams below show two conducting elements of the xylem tissue. xylem11221042019.png a) Identify each of them A and B b) What makes the cellulose side walls of both A and B able to prevent collapsing?

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The following information was obtained from the records of Mr Juma’s farm for the year ended on 31st march 2011 Particulars ...(Solved)

    The following information was obtained from the records of Mr Juma’s farm for the year ended on 31st march 2011 Particulars kshs Opening Valuation 100,000 Calves 72,000 Hired Labour 21,000 Sales of milk 13,000 Sales of cereals 33,000 Rent 9,000 Feed 5,300 Seed 1,700 Fertilizers 4,700 Sales of Vegetables 9,300 Sales of poultry 1,800 Sales of fruits 700 Pesticides 1,250 Depreciation 650 Repair and Maintenance 950 Interest on loans 200 Closing Valuation 9,0000 a)using the information given above , prepare a profit and loss account for Mr Juma’s farm for the year ended 31st March b)Giving a reason, State whether Mr. Juma’s farm made a profit or loss

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Onyesha kwa kutolea mifano minne, jinsi misimu huzuka.(Solved)

    Onyesha kwa kutolea mifano minne, jinsi misimu huzuka.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Laboratory analysis of a patient’s urine revealed the following concentration of various substances.(Solved)

    Laboratory analysis of a patient’s urine revealed the following concentration of various substances. urine11181042019.png a) From the analysis above, which disease is the patient suffering from b) Name two symptoms of the disease in (a) above

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Jana ilikuwepo, ikapita(Solved)

    Soma shairi ifuatalo kish aujibu maswali. Jana ilikuwepo, ikapita Kwenye giza la sahau Jana ilipiga kuathiri Athari ijayo leo Leo tunajua kesho tunaibashiria Kesho ipapo na hatuijui Kesho, itapiga au itapuliza? Au itapita pasi na chochote Kama moshi usio mashiko? Kesho hatuioni Lakini yaja ... Twaihisi Twaihisi Twaimaizi Ipo, Yajongea Hiyo na taathira zake Inakuja Yasogea Yaja mbio Yafikia upeo unaoitwa leo Basi kumbuka Maisha ni ubishi, yakabili! Maisha ni jasiri, jusurisha! Maisha ni huzuni, yashinde! Maisha ni msiba, uweze! Maisha ni wajibu, tekeleza! Maisha ni ni fumbo, liague! Maisha ni tatizo, litatue! Maisha ni ahadi, itemize! Maisha mapambano, wana nayo! Maisha ni zawadi, ipokee! Maisha ni mchezo, uchezee! Maisha ni nyimbo, iimbe! Maisha ni fursa, itumie? Maisha ni ureda, furahia! Maisha maumbile, changamkie! Maisha ni lengo, lifike! Maisha ni mwendo, yaendee! Maisha ni uzuri, ustarehee! Maisha liwazo, yapumzikie! (a) Lipe kichwa mwafaka shairi hili. (b) Fafanua maudhui ya shairi hili. (c) Onyesha muundo wa shairi hili. (d) Taja na ueleze tamathali tatu za semi alizotumia mwandishi wa shairi hili. (e) Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumia katika shairi. Twaimaizi Yajongea

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Give two examples of farm records that are general in nature (Solved)

    Give two examples of farm records that are general in nature

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Give four management practice that promote high herbage yields in pasture production (Solved)

    Give four management practice that promote high herbage yields in pasture production

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Identify two forces that help in upward movement of water in plants.(Solved)

    Identify two forces that help in upward movement of water in plants.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Angaza, mtazame mlimwengu(Solved)

    Soma shairi hili kisha ujibu maswali yanayofuata. Angaza, mtazame mlimwengu Bidii, nayo matokeo chungu Wezesha, kuishi bila uchungu Teknolojia maendeleo. Angaza, zitazame barabara Aenda, kwa kasi pia salama Bidhaa, sokoni upesi fika Teknolojia maendeleo. Angaza, majokofu majumbani Vyakula, na vinywaji hifadhika Nafuu, zizima maji ridisha Teknolojia maendeleo. Angaza, leo pote madukani Mikebe, vyakula vinywaji tiwa Mimea, huwawirishwa haraka Teknolojia maendeleo. Angaza, nguo kwa mashine stimu Upesi, runinga na simu juza Angani, burudika eropleni Teknolojia maendeleo. Angaza, tarakilishi nguzoye Mauzo, mawasiliano kwayo tibani, ni mwenzi kwake tabibu Teknolojia maendeleo. Angaza, mja hajakoma katu Shughuli, kila uchao shajara Apate, tulia kwa ufanisi Teknolojia maendeleo. (a) Eleza dhamira ya msanii katika shairi hili. (b) Onyesha mifano mitano ya maendeleo katika maisha ya binadamu. (c) Eleza umbo la shairi hii. (d) Andika ubeti wa nne katika lugha ya nathari. (e) Eleza kwa kifupi mtazamo wa mshairi kuhusu teknolojia. (f) Eleza maana ya maneno yafuatayo; (i) Majokofu (ii) Hunawirisha (iii) Shajara

    Date posted: October 4, 2019.  

  • An experiment was set-up as shown below to investigate a certain plant process.(Solved)

    An experiment was set-up as shown below to investigate a certain plant process. shoot.png (a) What process was being investigated above? (b) What observation was made if; (i) The experiment was left in strong wind for one hour? (ii) All the leaves were removed from the plant?

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Kwa zaidi ya mwongo mmoja uliopita, ulimwengu mzima uliathiriwa na masaibu ya kifua kikuu kwa kiwango cha kuogofya kiasi kwamba katika mwaka...(Solved)

    Kwa zaidi ya mwongo mmoja uliopita, ulimwengu mzima uliathiriwa na masaibu ya kifua kikuu kwa kiwango cha kuogofya kiasi kwamba katika mwaka wa 1993, shirika la afya duniani (WHO) lilitangaza ugonjwa huu kuwa swala dharura la kimataifa. Ongezeko kubwa la visa vya kifua kikuu lililotokana na kuchipuka kwa viini vinavyosababisha maradhi hatari ya Ukimwi na magonjwa yaliyohusiana na punde baadaye ilibainika kuwa bara la Afrika lilikuwa ndilo lililoathiriwa zaidi na Ukimwi pamoja na maradhi ya kifua kikuu. Hii ndiyo hali inayotawala sasa ulimwenguni. Afrika likiwa bara linaloongoza kwa wagonjwa walioambukizwa viini vya Ukimwi lilikuwa likishuhudia visa vya maradhi ya kifua kikuu. Viini vya Ukimwi vinapunguza uwezo wa mwili wa mgonjwa kupigana na vijidudu vya maambukizi. Swala linalowafanya wagonjwa hawa kutodhibiti maambukizi ya magonjwa mbalimbali. Katika hali ya kawaida mwili wa mtu kama huyo unaweza kujikinga dhidi ya viini kama hivyo. Maambukizi kama haya kawaida hujitokeza kukiwa na nafasi duni ya kinga mwilini. Katika baadhi ya mataifa kama vile Kenya, maambukizi ya kifua kikuu hufanyika mapema katika umri mchanga maishani. Kwa kawaida, viini hivyo huwa havisababishi ugonjwa wenyewe. Badala yake, kinga katika mwili wa aliyeambukizwa unaweza kusitiri maambukizi hayo bila mhusika kuwa mgonjwa kutokana na sababu mbalimbali. Viini hivyo baadaye vinaweza kuwa hai tena na kumfanya mgonjwa kukumbwa na ugonjwa. Swala hili kwa kawaida hujitokeza wakati mgonjwa anapoambukizwa virusi vya Ukimwi. Virusi hivyo pia huongeza hatari ya ugonjwa kujitokeza baada ya maambukizi au pengine kujitokeza tena baada ya mgonjwa kupokea tiba ya kwanza. Kulingana na utafiti, inakadiriwa kwamba mmoja kati ya wagonjwa wawili au watu wenye virusi vya Ukimwi watapata kifua kikuu wakati mmoja katika maisha yao. Inakadiriwa kwamba karibu asilimia 50 hadi 60 ya wagonjwa wenye maradhi ya kifua kikuu nchini Kenya pia wameambukizwa viini vya Ukimwi. Kwa upande mwingine, maradhi ya kifua kikuu hujitokeza kama kawaida kwa wagonjwa wenye virusi vya ukimwi. Kwa hivyo, wakati wa kushughulikia wagonjwa ni lazima pia wafanyiwe uchunguzi wa kubaini ikiwa wameambukizwa kifua kikuu. (a) Ipe taarifa uliyoisoma kichwa mwafaka (b) Ni nini hasa kilichochangia kuongezeka sana kwa maradhi ya kifua kikuu? (c) Kwa kifupi, eleza ni kwa nini ugonjwa wa Ukimwi ni hatari mwilini (d) Ukimwi na kifua kikuu una uhusiano mkubwa, eleza uhusiano huu kulingnana na taarifa uliyoisoma (e) Andika urefu wa neno ‘Ukimwi” (f) Eleza mambo mawili ambayo yametokana na utafiti (g) Ni jambo lipi ambalo ni la kushangaza kuhusiana na kifua kikuu (h) Andika maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumika katika kifungu hiki (i) Kusitiri (ii) Mwongo (iii) Swala la dharura. (iv)Viini

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Give two examples for each of the following types of cost incurred in broiler production . a)Variable cost b)fixed cost (Solved)

    Give two examples for each of the following types of cost incurred in broiler production . a)Variable cost b)fixed cost

    Date posted: October 4, 2019.  

  • What is the destination of materials translocated in plants.(Solved)

    What is the destination of materials translocated in plants.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • The diagram below shows a bone obtained from a mammal.(Solved)

    The diagram below shows a bone obtained from a mammal. bone11021042019.png (a) Name the part of the skeleton from which the bone has been taken. (b) Label the parts B and C. (c) State the functions of part A.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Thibitisha kauli kuwa, "Mla naye huliwa zamu yake ifukapo". Ukirejelea riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.(Solved)

    Thibitisha kauli kuwa, "Mla naye huliwa zamu yake ifukapo". Ukirejelea riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Study the dental formula of an organism below.(Solved)

    Study the dental formula of an organism below. pm10581042019.png (a) (i) What is the total number of teeth this organism possess? (ii) What is the mode of feeding of the organism? (b) State two functions of mucus produced along the alimentary canal

    Date posted: October 4, 2019.  

  • Elimu ya kajielewa sisi nani, na twatoka wapi, twaelekea wapi na utu tutaurejeshaje pahali pake....(Solved)

    Kidagaa kimemwozea Elimu ya kajielewa sisi nani, na twatoka wapi, twaelekea wapi na utu tutaurejeshaje pahali pake.... (a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (b) Taja mfano mmoja wa tamathali ya usemi kwenye dondoo. (c) Dhihirisha jinsi utu ulivyotoka pahali pake, ukirejelea riwaya nzima.

    Date posted: October 4, 2019.