Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Questions and Answers - Kenyaplex.com

Q&A Categories


Do you have Q&A pairs? Post them here

61904 Questions  View: All | Solved | Unsolved



Search Results...
  • Fill in the blank spaces with the correct prepositions. (i) The final match is ___________________20th July 2013.(Solved)

    Fill in the blank spaces with the correct prepositions. (i) The final match is ___________________20th July 2013. (ii) She is threatening to file a petition___________________ divorce. (iii) They thanked him for his indulgence_________________ letting them go down.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Kanusha sentensi zifuatazo. i. Mimi nilicheza. ii. Wewe huchora(Solved)

    Kanusha sentensi zifuatazo. i. Mimi nilicheza. ii. Wewe huchora

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Tambua kikundi nomino (KN) na kikundi tenzi (KT) katika sentensi zifuatazo. i. Anatembea kwa madaa kama tausi(Solved)

    Tambua kikundi nomino (KN) na kikundi tenzi (KT) katika sentensi zifuatazo. i. Anatembea kwa madaa kama tausi

    Date posted: October 3, 2019.  

  • In figure below power dissipated by the 16? resistor is 8w, what is the power dissipated in 200?(Solved)

    In figure below power dissipated by the 16Ω resistor is 8w, what is the power dissipated in 200Ω fig13102019837.png

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Siwe ulosema jana, ya kuwa u mashuhuri? Ya kuwa wajuwa sana, aidha huna kiburi? Nchini wajulikana, mwanasiasa mahiri, Bungeni tukuajiri?(Solved)

    SIWE? 1. Siwe ulosema jana, ya kuwa u mashuhuri? Ya kuwa wajuwa sana, aidha huna kiburi? Nchini wajulikana, mwanasiasa mahiri, Bungeni tukuajiri? 2. Siwe ulotushawishi, kwa chumvi na kwa sukari, Na matamu matamshi, ukaziteka suduri, Ukanena penya moshi, moto ndiyo yakwe siri, Nawe ndiye hiyo nari? 3. Siwe uloji‘ta moto, uwakao biribiri, Kamba ‗tatia fukuto, Litakalo leta kheri‘, Utatufunua mato, Maisha yawe mazuri, Tukupe kura waziri? 4. Siwe ulosema hayo, na mengi ukabashiri, Ukamba wafata nyayo, nyayo ziso utiriri, Tusiwe na wayowayo, wa kufikirifikiri, Tukuachie ujari? 5. Siwe tulokuinua, Mabegani kama mwari, Tungawa twalemelewa, waume tukajasiri, Kamba tukikuchaguwa, mema kwetu yatajiri, Tukakeyi kusubiri? 6. Siwe ulotugeuka, kwamba leo u waziri, Wajiona melimuka, tena ukawa ayari, Walaghai ukicheka, ukuu umekughuri, Leo mekuwa hodari? 7. Siwe ulojawa raha, za hino yetu sayari, Ukawa ja vile shaha, hatukupati shauri, kutuona ni karaha, wakatiwo twahasiri, Ushakiya msitari? 8. Siwe uliyetughura, ukafunga na safari, Ukaelekea bara, Kwa wenzio matajiri, Ukatuacha majura, na tama kukithiri, Kanama Ushaghairi? 9. Siwe uliyetuasi, ukenda pasi kwaheri, Mbona hutwambii nasi, tukajua yetu shari, Leo una masidisi, husemi na aso gari, Ndio mezidi jeuri? 10. Siwe‘lotwaa mgwisho, ukawa wajifakhiri? Chenye mwanzo kina mwisho, hilo wajuwa dhahiri, Vyaja kutoka vitisho, kwani hayo sidahari, Mambo mengimdawari? 11. Siwe utakayeiza, mwishowo ukidhihiri, Siku itayoteleza, kuja kwetu ansari, Kuja kutubembeleza, kwa nyunga nalo khamri, Tauya nazo nadhiri. MASWALI a) Mtunzi wa shairi hili ana dhamira gani? b) Taja na ueleze bahari tatu za shairi hili? c) Onyesha jinsi mtunzi alivyotumia idhini ya kishairi. d) Taja na ufafanue tamahali ya usemi iliyotawala katika shairi hili. e) Anayerejelewa alibailika vipi? Eleza. f) Andika ubeti wa tisa kwa lugha ya nathari. g) Mshairi ana maana gani kwa kusema: (i) Wakatiwo twahasiri. (ii) Ukaziteka suduri.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Andika vitenzi vifuatavyo katika hali ya kutendeshana. i. Penda . ii. Endesha.(Solved)

    Andika vitenzi vifuatavyo katika hali ya kutendeshana. i. Penda . ii. Endesha.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • (i) The quieter of the three babies fell asleep before the others(Solved)

    Correct errors in the following sentences. (i) The quieter of the three babies fell asleep before the others (ii) The teacher asked the student to raise up his hand in class

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Geuza sentensi zifuatazo katika hali ya usemi halisi. i. Ruhenialishauliwa na kasisiaache tabia mbaya. ii. Mwalimu alimwabiapremjiafanye bidii katika masomo yake.(Solved)

    Geuza sentensi zifuatazo katika hali ya usemi halisi. i. Ruhenialishauliwa na kasisiaache tabia mbaya. ii. Mwalimu alimwabiapremjiafanye bidii katika masomo yake.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Andika katika ukubwa. i. Jiji hili litapanuka upesi ii. Jizee lililokosa adabu limekaripiwa. (Solved)

    Andika katika ukubwa. i. Jiji hili litapanuka upesi. ii. Jizee lililokosa adabu limekaripiwa.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • (i)David was shaken when the counselor told him that his problem was______________(solve)(Solved)

    Fill in the blank spaces using the correct form of the word in brackets (i)David was shaken when the counselor told him that his problem was______________(solve) (ii) The court ordered the firm to pay the cost of the legal ___________ (proceed)

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Fafanua maana ya misemo ifuatayo. i. Kula mate(Solved)

    Fafanua maana ya misemo ifuatayo. i. Kula mate

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Fafanua sifa zozote za lugha rasmi.(Solved)

    Fafanua sifa zozote za lugha rasmi.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • (i) As the soldiers advanced, we retreated(Solved)

    Replace the underlined words in the following sentences with the correct phrasal verbs. (i) As the soldiers advanced, we retreated (ii) The child is growing bigger. You will have to make his clothes wider (iii) He was selected to represent the students during the last Board Meeting

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Jazapengo kwa kiulizi sahihi kisha uandike sentensi kwa wingi Ni mpishi ________________ aliyepika(Solved)

    Jazapengo kwa kiulizi sahihi kisha uandike sentensi kwa wingi Ni mpishi ________________ aliyepika

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Tumiavivumishi vya sifa katika mabanokukamilisha sentensi zifuatazo. i. Mtoto Yule ni ______________________ (nene) ii. Bei ya meli ni _____________________ mno (ghali)(Solved)

    Tumiavivumishi vya sifa katika mabanokukamilisha sentensi zifuatazo. i. Mtoto Yule ni ______________________ (nene) ii. Bei ya meli ni _____________________ mno (ghali)

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Eleza maana ya lugha rasmi.(Solved)

    Eleza maana ya lugha rasmi.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Bainisha nomino hizi ni za aina gani. i. Sukari. ii. Mapenzi.(Solved)

    Bainisha nomino hizi ni za aina gani. i. Sukari. ii. Mapenzi.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Andika kwa wingi sentensi hizi. i. Goti la mtoto liliumia. ii. Ukwato wa ngamia ni mpana(Solved)

    Andika kwa wingi sentensi hizi. i. Goti la mtoto liliumia. ii. Ukwato wa ngamia ni mpana

    Date posted: October 3, 2019.  

  • (i) The teachers are being interviewed by the director.(Rewrite using ‘interviewing)(Solved)

    Rewrite the following sentences according to the instructions given after each. (i) The teachers are being interviewed by the director.(Rewrite using ‘interviewing) (ii) Paul said that he had spoken to his brother the previous week.(Rewrite to end with ‘last week) (iii) Fishing near the South Coast is a holiday treat. (Underline the noun that has been used as an adjective) (iv) That behaviour is impossible to correct.(Replace the underlined word with one word)

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Eleza maana ya msemo ufuatao : Kula kitana.(Solved)

    Eleza maana ya msemo ufuatao : Kula kitana.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali yafuatayo. MAVAZI REKEBISHENI(Solved)

    Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali yafuatayo. MAVAZI REKEBISHENI vazi.png heri.png MASWALI YA USHAIRI (a) Shairi hili ni la aina gani? (b) Eleza vina vya beti za kwanza mbili (c) Toa kibwagizo cha shairi hili kisha ufafanue maana yake (d) Eleza maana ya misamiati hii kama ilivyotumika katika ushairi Staha – Dhahiri – Shani – Duni (e) Shairi hili liko katika bahari zipi? f) Uhuru wa mshairiunadhihirikavipi katika shairi hili?

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Andika katika usemi wa taarifa: "Nataka ufikirie sana juu ya maisha yako ya ndoa. Sitaki uishi maisha yasiyo na mweleko." Babu alinishauri.(Solved)

    Andika katika usemi wa taarifa: "Nataka ufikirie sana juu ya maisha yako ya ndoa. Sitaki uishi maisha yasiyo na mweleko." Babu alinishauri.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Identify six differences between the rich and the poor people in Kenya today.(Solved)

    Identify six differences between the rich and the poor people in Kenya today.

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Why is Amos referred to as a prophet of God’s justice?(Solved)

    Why is Amos referred to as a prophet of God’s justice?

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Along time ago there was old man whose name was Ramogi. This old man had two sons. These two sons called Labon’go and Gipir had...(Solved)

    Along time ago there was old man whose name was Ramogi. This old man had two sons. These two sons called Labon’go and Gipir had wives. Labon’go was the elder of these two. When Ramogi died, Labon’go became the chief of the homestead. He was to look after his father’s property, including the family’s sacred spear. There was a lot of forest land and elephants were in plenty. The elephants used to come and destroy crops. One day, when Labon’go was out hunting, an elephant came near the homestead and destroyed some of the crops. Gipir, who was still at home, was so furious that he quickly, without thinking, picked up the family spear and threw it at the elephant. The spear stuck into the elephant’s side and the elephantescape. The elephant ran with the spear until it reached the forest. When Labon’go came back from hunting ,his wife told him about the loss of his spear. She explained to him how an elephant had damaged the crops and how Gipir had bravely driven it away losing the sacred spear in the process. On hearing this Labong’o angrily went straight to his brother’s house and and demanded the spear , saying, Gipir, see that you return the family sacred spear and make sure it is that particular one that you threw at the elephant”Gipir tried to appease his brother by making beautiful spear but Labon’go refused to accept them. One day Gipir told his wife, “ Please prepare for me a lot of food. I have a long journey to make.” The wife prepared for him a lot of food and Labon’go set out. After a long, dangerous journey, in which his life was threatened by wild animals and huge poisonous snakes, he reached a forest called gondliech, the home of elephants. In the forest he met an old woman. This old woman asked him, “What have you come to do here in the forest?”.Gipir told her what had happened. He told her how he had pierced an elephant with the sacred family spear, and that the elephant had run with it into the forest. The woman became angry and said “so it is you who is killing my elephants?” Gipir replied politely and said that all the he wanted was the sacred spear of the family , if she could kindly help him to find it. The old woman then showed him where she kept spears. He searched among them and found the spear that Labon’go wanted. The old woman then gaveGipirsome beads to take to his wife. When Gipir reached home he immediately took the spear to Labon’go. Labon’go was very happy and he thanked him. Next morning Gipir spread out the beads he had been given by the old woman, in preparation for his wife to string them. Everyone in the homestead came out to see the beautiful beads .Labon’go’s child was playing where the beads were being strung. Without being noticed, he took one and swallowed it. Gipir knew that his time for revenge had come. until the child excreted. The excrement was searched thoroughly, but no bead was found . This action was repeated several days of trying and failing. Labon’go asked Gipir to cut the child open and take his bead. Gipir realized that this was a trap and he refused. He knew that if he killed the child and took out the bead Labon’go would certainly say that he wanted Gipir’s child. Meanwhile Labon’go grew tied of the continual reminder from Gipir that he wanted his bead back, just as the demand for the sacred spear had tired Gipir. When Labon’go killed and cut up the child, the bead was found hidden in the linings of the stomach. The child was buried. When this happened Gipir was forced to shift from his homestead to another land. Labon’go also moved and they never saw one another again. “I hope I grew and attain the height of the tree at my uncle’s place. (a) How did Gipir lose the sacred spear? (b) Do you think Labon’go’s demands were justified? Give a reason to support your response (c) What does the chief’s demand reveal about his character? (d) With an illustration for each, describe any two character traits of Gipir. (e) What role does the old woman play in this story? (f) Identify and explain any two features of style used in this narrative (g) What is the moral lesson of this story? (h) There was a lot of forest land and elephants were plenty (Begin: Not only..............................)

    Date posted: October 3, 2019.  

  • Outline the nature of God as shown in his promises to Abraham.(Solved)

    Outline the nature of God as shown in his promises to Abraham.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Onyesha yambwa katika sentensi ifuatayo.(Solved)

    Onyesha yambwa katika sentensi ifuatayo. Mwamburi alitumia ufunguo kumfungulia Rashid mlango.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Eleza tofauti iliopo katika kauli zifuatazo. Kutendeana na kutendana.(Solved)

    Eleza tofauti iliopo katika kauli zifuatazo. Kutendeana na kutendana.

    Date posted: October 2, 2019.  

  • How is the government of Kenya trying to solve the issue of misuse of Leisure today?(Solved)

    How is the government of Kenya trying to solve the issue of misuse of Leisure today?

    Date posted: October 2, 2019.  

  • Tunga sentensi kubainisha matumizi ya vivumishi vya nomino katika ngeli ya U – I; katika umoja na wingi.(Solved)

    Tunga sentensi kubainisha matumizi ya vivumishi vya nomino katika ngeli ya U – I; katika umoja na wingi.

    Date posted: October 2, 2019.