MENU
QA
Exams
Question Papers
Notes
Online Tests
Get premium membership
and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
Maswali na majibu ya tumbo lisiloshiba na hadithi zingine
Maswali na majibu ya tumbo lisiloshiba na hadithi zingine
Lessons (
46
)
1.
Huku ukirejelea hadithi za “Tumbo Lisiloshiba” na “Shibe Inatumaliza”, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.
5m 56s
2.
Onyesha jinsi maudhui ya utabaka na mapenzi yanavyojitokeza katika hadithi ya “Mapenzi ya Kifaurongo”.
7m 7s
3.
“..Wanafunzi wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..” a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. b) Taja na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa katika dondoo hili c) Hadithi hii inadhihirisha utegemezi wa binadamu. Fafanua
7m 18s
4.
Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya “Tumbo lisiloshiba” na “Mapenzi ya Kifaurongo”
5m 46s
5.
“Rasta twambie bwana!” a) Weka dondoo katika muktadha b) Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hili c) Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe? d) Je, mtihani wa maisha ni anwani faafu ya hadithi hii.
11m 17s
6.
Jadili mashaka ya Mashaka katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”
8m 4s
7.
"Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkata wee!" a) Eleza muktadha wa dondoo hii.(alama 4) b) Taja na ufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.(alama 4) c) Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyojitokeza katika hadithi nzima.(alama 6) d) Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo.(alama 6)
11m 1s
8.
“Ilikuwa kama vile katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji huo wa kitanzi”. a) Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo. b) Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika hadithi nzima. c) Onyesha dhiki iliyompata mrejelewa kwa kukosa kivitambua vipengele hivyo.
7m 26s
9.
“ Mwandishi wa hadithi ya Tumbo lisiloshiba ametumia mbinu ya Jazanda kwa ufanisi mkubwa.”
6m 23s
10.
“… Ningeondoka shuleni mapema niende niibe au niue ili niwe mtu wa maana.” a) Eleza muktadha wa maneno haya b) Onyesha vile kinaya kinavyojitokeza c) “ Kinaya kimetumika kwingine kwingi katika hadithi ya Mwalimu Mstaafu.” Thibitisha.
8m 21s
11.
“ Wahusika katika hadithi shibe inatumaliza wanatumia uhuru wao vibaya.” Onyesha ukweli wa kauli hii kwa kutoa mifano.
7m 2s
12.
“Hebu sikiza jo! Pana hasara gani nzi kufia kidondani?” a) Eleza muktadha wa dondoo hili. b) Taja na utoe mifano ya mbinu nne za lugha zilizotumika katika dondoo. c) Onyesha ukweli wa kauli “ nzi kufia kidondani” unavyodhihirishwa na wahusika katika hadithi.
5m 38s
13.
“Hatuwezi kumaliza kula, kila leo tunakula” (a) Eleza mukadha wa dondoo hili. (b) Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika. (c) Eleza umuhimu wa mnenaji. (d) “Lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza” Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa kauli hii.
9m 31s
14.
“Hapana cha ala, bwana. Lisemwalo lipo,kama halipo linakuja. Kumbuka msemo mabrafu wa siri ya kata iulize mtungu . Mtungi wenyewe ni mimi ……” a) Eleza muktadha wa dondoo hili. b) Bainisha tamathali mbili za lugha zilitotumiwa katika dondoo hili c) Fafanua sifa moja ya msemaji inayodokezwa na dondoo hili d) Msemaji wa mambo haya baadaye anageuka kata na kupiga mbizi mtungini. Eleza ukitoa mfano
8m 40s
15.
Jadili maudhui ya elimu katika Diwani ya Tumbo lisiloshima ukizingatia hadithi zifuatazo: a) Mapenzi ya kifaurongo Maudhui ya elimu. b) Shagake dada ana ndevu . c) Mame Bakari .
8m 41s
16.
“... maendeleo yanadai mchango wa kila mtu, maskini na tajiri” a) Eleza muktadha wa dondoo hili. b) Taja na ueleze sifa nne za msemaji katika dondoo hili. c) Mambo yepi mengine ambayo msemaji huhojiana na wenzake wanapokutana? d) Taja na ueleze maudhui matatu yanayojitokeza katika dondoo hili.
5m 34s
17.
Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika diwani ya, ‘Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine.’ Jadili maudhui ya nafasi ya wazazi katika malezi.
5m 56s
18.
“…..ilmuradi mawazo yanamwadhibu sasa” a. Eleza muktadha wa dondoo hili. b. Fafanua sifa za anayerejelewa katika dondoo hili. c. Onyesha mawazo yanayomwadhibu anayerejelewa na dondoo hili.
9m 26s
19.
Alifa Chokocho : Tulipokutana tena “ Mamangu siku ile aliniamsha mapema.” i) Eleza muktadha wa dondoo hili. ii) Tathmini umuhimu wa usimulizi wa mzungumzaji katika kuendeleza dhamira ya hadithi hii. iii)Onyesha jinsi mashaka linavyomwafiki mhusika mwenyewe katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”
11m 12s
20.
Sekta ya elimu ina changamoto nyingi.Thibitisha kwa kurejelea hadithi zifuatazo: a) Mapenzi ya Kifaurongo b) Shogake dada ana Ndevu c) Mwalimu Mstaafu d) Mtihani wa maisha
11m 48s
21.
“ Hakikubakia hata chakula kidogo cha sadaka ya mwenye njaa… ”Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa hoja kumi ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba Kauli hii inarejelea unyanyasaji wa Wanamadongoporomoka. Jadili uhalisia wa hadithi ya Tumbo Lisiloshiba katika jamii ya leo kwa kutoa hoja kumi.
8m 17s
22.
“Kesho kama sote tutaamka salama……….kama tutafungua milango ya nyumba zetu”…. (a) Eleza muktadha wa dondoo hili (b) Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili. (c) Eleza sifa sita za msemaji wa maneno haya. (d) Hadithi hii inaakisi mambo mengi yanayotendeka katika bara la Afrika.
7m 30s
23.
Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii. Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya ‘Mkubwa’.
4m 41s
24.
“Kesho panapo majaaliwa. Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu zinazosimamia juu ya ardhi hii adhimu…” a) Eleza muktadha wa dondoo hili b) Taja sifa nne za msemaji c) Taja mbinu zozote mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili
3m 0s
25.
Kwa kuzingatia hadithi zozote tano eleza uozo wa jamii kama unavyojitokeza katika tumbo lisiloshiba (Diwani) Uozo wa jamii a) Tumbo lisiloshiba - Dhuluma na unyanyashaji Ardhi ya wanamadoporokomoka inatwaliwa na wenye nguvu. - Tamaa ya wenye mabavu - Ulafi wa jitu pale mgahawani pa Mago - Ukosefu wa haki kwa ukandamizaji wa wanyonge - Ukatili wa viongozi serikalini b) Mapenzi ya kifaurongo
6m 43s
26.
Huku ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana katika jamii
5m 34s
27.
Eleza sifa za wahusika wafuatao. i) Mwalimu Mosi ii) Jairo
5m 13s
28.
“Acha nijiondelee duniani niwaachie wafanisi wafanikiwe.” a) Eleza muktadha wa dondoo hili b) Fafanua sifa za mhusika katika dondoo hili. [alama 8] i) Samueli c) Fafanua mbinu zozote nne za kifani katika hadithi hii. [alama 8] Kinaya Tashhisi/ uhuishi Sadfa Taharuki
10m 52s
29.
Kwa kurejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na ya Mapenzi ya Kifaurongo, fafanua maudhui ya utabaka. (al. 20)
8m 46s
30.
a) Anwani ya hadithi TUMBO LISILOSHIBA ni mwafaka kwa hadithi hii. Fafanua (Alama 10) b) Fafanua sifa kumi za mzee Mago (Alama 10)
9m 10s
31.
Huku ukirejelea hadithi za: i) Mapenzi ya kifaurongo ii) Shogake dada ana ndevu iii) Mame Bakari Fafanua maudhui ya mapenzi kama yanavyosawiriwa. (Alama 20)
8m 44s
32.
Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika ‘Tumbo lisiloshiba na Hadithi nyingine’, fafanua maudhui ya utabaka. (Alama 20)
8m 55s
33.
Kwetu tunapigania mikono ielekee vinywani. Mzoea vya sahani, vya vigae haviwezii” a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4) b) Taja tamathali mbili za usemi zinazojitokeza katika dondoo hili (alama2) c) Fafanua sifa za msemaji (alama 4) d) Jadili maudhui ya utabaka ukirejelea hadithi husika. (alama 10)
7m 13s
34.
Mhini na mhiniwa njia yao moja. Jadili ukweli wa methali hii ukirejelea hadithi ya mkubwa (alama10)
8m 7s
35.
“ Naapa na mola wangu sitofanya tena biashara hii.” a). Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4) b.) Tathmini umuhimu wa mzungumzaji (alama 6) c.) “Biashara inayorejelewa ilikuwa na athari basi kwa jamii.” Huku ukirejelea hadithi hii,thibitisha ukweli wa kauli hii kwa hoja kumi (alama 10)
9m 25s
36.
Jadili maudhui ya usaliti katika hadithi ,’Mapenzi ya kifaurongo’ na ‘Mame Bakari.
8m 48s
37.
“Ndugu yangu kula kunatumaliza” “Kunatumaliza au tunakumaliza” (a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4) i) Fafanua maana ya kitamathali katika kauli ‘kula tunakumaliza’ (alama 10) ii) Kwa mujibu wa hadithi hii, ni kwa namna gani wasemaji wanadai kula kunawamaliza? (alama 6)
7m 14s
38.
(a) “Mame Bakari” Kwa mujibu wa hadithi hii, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbaya kwake. Onyesha kwa mifano mwafaka. (alama 10) (b)“Masharti ya Kisasa” “…mapenzi ni mateso,ni utumwa, ni ukandamizaji , ni ushabiki usio na maana.” Thibitisha ukweli wa kauli hii kama unavyojitokeza kwenye hadithi. (alama 10)
7m 37s
39.
Jadili ufaafu wa anwani Tumbo Lisiloshiba kwenye hadithi hiyo. (alama 20)
6m 42s
40.
(a) Jadili matatizo yanayowakumba wakaazi wa Madongo poromoka katika tumbo lisiloshiba (alama 10) (b)Dhihirisha ukweli wa methali “mzoea sahani vya vigae haviwezi” katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo (alama 10)
11m 1s
41.
Aliyeumwa na nyoka akiona ung’ong’o hushtuka a) Weka dondoo hili katika muktadha (alama 4 ) b) Eleza namna mzungumziwa alivyoumwa na nyoka (alama 6) c) Mzungumziwa anaendeleza vipi maudhui ya ushauri na ukosefu wa utu? (alama 10)
7m 49s
42.
“Hakuchukua muda mrefu, akili zao zilipowaamsha kuwapeleka kwenye maana hasa ya kile kilichokuwa kikitokea ...” a). Eleza muktadha wa dondoo hili (Alama 4) b). Fafanua tamathali ya usemi aliyoitumia mwandishi katika dondoo hili (Alama 2) c). Fafanua kile kilichokuwa kikitokea (Alama 2) d). Eleza juhudi zilizofanywa kuzuia kilichokuwa kikitokea kisitoke (Alama 12)
6m 34s
43.
Ulezi umewapa wazazi wengi changamoto nyingi. Ukirejelea hadithi ya shogake, dada ana ndevu dhihirisha ukweli wa kauli hii (Alama 10) a. Fafanua changamoto zinazokabili asasi ya ndoa ukirejelea hadithi ya Masharti ya kisasa (Alama 10)
8m 7s
44.
Fafanua jinsi mwandishi wa ‘Tumbo Lisiloshiba’ alivyotumia kinaya kufanikisha maudhui yake (alama 10)
3m 53s
45.
‘… lakini shogake… shogake… shogake dada nikamwona ana ndevu.’ a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4) b) Bainisha sifa tatu za ‘shoga’ anayezungumziwa katika dondoo hili. (alama 6) c) Jadili umuhimu wa ‘dada’ anayerejelewa katika kuendeleza dhamira ya hadithi. (alama 10)
6m 6s
46.
``Hakuna aliyeweza kukitegua kitendawili chenyewe lakini…’’ a)Eleza muktadha wa dondoo hili. ( alama 4) b) Tambua tamathali ya usemi iliyotumiwa katika dondoo hili. (alama 2) c) Fafanua chanzo na hatima ya kitendawili kinachorejelewa katika dondoo hili. (alama 10) d) Eleza wasifu wa warejelewa katika dondoo hili. ( alama 4)
8m 27s