MENU
QA
Exams
Question Papers
Notes
Online Tests
Get premium membership
and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
Maswali na Majibu Katika Riwaya ya Chozi La Heri
Maswali na Majibu Katika Riwaya ya Chozi La Heri
Lessons (
8
)
1.
“Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?" (a) Eleza muktadha wa dondoo. (b) Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili (alama 4). (c) Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya (alama 6) (d) Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao sicho ( Alama 6)
7m 0s
2.
Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri. Tetea kauli hii kwa kutumia hoja kumi zisizopingka (alama 20).
6m 24s
3.
Fafanua namna mwandishi alivyotumia mbinu ya kisengere nyuma katika riwaya (alama 20)
7m 40s
4.
Ukabila ni tatizo sugu katika nchi nyingi za kiafrika.Tetea kauli hii ukirejelea chozi la heri (alama 20).
6m 38s
5.
Fafanua namna mbinu ya sadfa ilivyotumiwa katika Riwaya (alama 20).
5m 6s
6.
Jadili maudhui ya 'asasi ya ndoa' kama yalivyoangaziwa riwayani (alamo 20).
7m 8s
7.
Jadili maudhui ya nafasi ya mwanamke katika jamii (alama 20).
7m 34s
8.
Fafanua maudhui ya nafasi ya vijana katika jamii (alama 20).
4m 20s