Helpdesk: WhatsApp: 0736552548 Email: info@kenyaplex.com

Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine

Institution: Secondary

Course: Kiswahili

Content Category: Study Guides

Posted By: 35824167

Document Type: DOCX

Number of Pages: 122

Price: KES 150
 
    

Views: 8250     Downloads: 44

Summary

Download Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo an hadithi nyingine. A new Kiswahili setbook used by secondary school students in Kenya and examined by KNEC in the KCSE exams.
Juu ya Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo
Mwongozo huu unanuiwa kumwongoza mwanafunzi ili kuilewa vyema pamoja na kuelewa uliopo kwenye Mapambazuko yam Machweo an hadithi nyingine. Hata hivyo ni muhimu mwanafuzi aisome kitabu hiki an kuelewa hadithi zote kabla ya kuutumia mwongozo huu.
What you will learn in the Mapambazuko ya Machweo guide
• Jalada ya diwani ya mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine
• Ufaafu wa anwani ya ‘Mapambazuko ya machweo’ kwa hadithi zote
• Mandhari
• Ploti/msuko
• Maudhui
• Wahusika
• Mbinu za lugha na sanaa
• Hadithi fupi zote
• Maswali yam marudio
Details of the document
Format: docx
Number of pages: 131
Size: 368kb
Brief overview of the content
MWONGOZO WA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE

YALIYOMO
• Jalada ya diwani ya mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine
• Ufaafu wa anwani ya ‘Mapambazuko ya machweo’ kwa hadithi zote
• Mandhari
• Ploti/msuko
• Mauthui
• Wahusika
• Mbinu za lugha na sanaa
• Hadithi fupi zote

JALADA YA DIWANI YA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE.
Jalada ya mbele na nyuma ya kitabu huwa ni jazanda au ishara ya maswala yanayosimuliwa katika kazi ya fasihi. Tukianza na jalada ya mbele, ukweli ni kwamba lina picha kadha.
Katika sehemu ya pili ya jalada hadi karibu kati, kuna picha za watu, vyombo mezani, kiti,gari lenye rangi nyekundu, nyumba iliyoezekwa kwa mabati yenye kutu, mchanga ulio na rangi hudhurungi usio na mimea yoyote,jua lenye mwangaza mweupe na wa rangi ya manjano.
Katika hadithi zote kumi na tatu zina jinsia ya kike na kiume kama ilivyo katika jalada hili. Baadhi ya wahisika ni watu wazima kama vile wazazi kama ilivyobainika kwa mwanaume na mwanamke wanaoinua juu mikono kuonyesha furaha iliyopindukia. Na ndivyo ilivyo katika hadithi zote humu diwani. Kuna wahusika wengi wanaokumbwa na furaha baada ya kumbazukiwa na maisha mapwa na bora zaidi kuliko wale waliyoishi hapo awali. Aidha wahusika hawa wa jinsia tofauti na ambao ni wanandoa ni ishara za wanandoa wengi wanaopatikana katika hadithi hizo kumi na tatu. Nyingi za ndio hizo zinakumbwa na changamoto tofauti tofauti.
Wahusika hawa wawili ni wa tabaka la chini, si la juu kama mwanaume anayefungua gari la kifahari na ambaye mavazi yake ni ishara za ukwasi. Hadithi zote katika diwani hii zina watu wa tabaka mbalimbali.
Kuna watu wawili mbali kiasi na hawa watatu wa mbele, hawa wawili wanaonekana kuwa wa jinsia tofauti pia. Yaelekea ni vijana walio katika shughuli za kikazi katika mgodi wa kitoa madini wa bwana Makutwa. Wana vifaa vya kufanya kazi. Vijana hawa wanaweza kuwa ni jazanda ya vijana wanaopatikana katika hadithi za diwani hii. Baadhi yao wanajishughulisha na masomo, utafutaji wa kazi, utakaji wa maisha bora na kadhalika. Wengi wao wanakumbwa na changamoto mbali mbali za maisha.
Ardhi yeye mchanga ya hudhurungi ni ishara ya ardhi ambayo haina mimea. Ardhi inayokosa mimea huwa haina matumaini kwa wakazi wake. Baadhi ya wahusika katika diwani hii hawana matumaini ya kupata kazi, kuendelea na elimu na kadhalika. Utupu huu wa ardhi pia unawezaashiria maovu yanayotendwa na wanajamii kwa hadithi hizi kama vile ukahaba, ufisadi nk.
Nyumba ya mabati yenye kutu ambayo kwa hakika ndio maskani yake makucha na macheo ni ishara ya makazi duni wanayoishi watu wa tabaka la kazi na wa chini. Baadhi ya hadithi za diwani hi kama ya pupa ambayo ina majengo yaliyoinamiana katika mtaa wa Mwinamo. Baadhi ya mandhari ya hadithi hizi ni kama vile mijini, sokoni, shuleni, vijijini miongoni mwa mengine.
Jua linaloonekana kwa mbali sehemu ya kati majalada upande ya kulia ni ishara ya jua linalochomoza mapambazuko. Machweo ya jua yanayoonyesha kukaribia kufika mwisho wa maisha ya baadhi ya wahusika kutokana na uzee. Au usumbufu Fulani wa maisha ambao haulekei kupata suluhisho. Nayo rangi ya manjano ya jua ni ishara ya matumaini. Wahusika wengi humu hadithini, licha kukumbwa na changamoto mbalimbali za maisha, wanamatumaini katika maisha yao ya baadaye.
Rangi ya samawati inayotawala sehemu kubwa ya jalada kuanzia kati kati hadi juu ni upeo wa anga ambao siku zote huwa na rangi hii. Na kama anga hii, maisha ni mapana na marefu na yamejaa changamoto za kila aina. Wahusika mbalimbali wanakumbwa na changamoto zinazowahuzunisha. Changamoto hizi zinapotatuliwa wanakumbwa na furaha.
Katika jalada ya nyuma kuna rangi ya manjano, rangi hi ni ishara ya matumaini. Wahusika wengi wana matumaini ya kuendelea na maisha licha ya kukumbwa na changamoto mbalimbali. Upande wa karibu chini wa jalada hili kuna rangi nyekundu ambayo siku zote huashiria hatari. Baadhi ya mambo na wahusika ni hatari kwa wahusika wengine wa hadithi hii. Wengi wao wanakumbwa na hatari za maisha hata baadhi yao kukikodolea kifo na macho lakini wakaponea chupuchupu.

UFAAFU WA ANWANI YA MAPAMZUKO YA MACHWEO kwa hadithi zote
Ingawa anwani mapambazuko ya machweo ni hadithi fupi iliyoandikwa na Clara Mommanyi, ni mwafaka kwa hadithi zote kumi na tatu za diwani hii.tutajadili mwafaka wake kutoka hadithi ya kwanza hadi ile ya mwisho.
• Fadhila za punda
Maisha ya Luka yanapomfikia machweo kutokana na umaskini anapambazukiwa na mengine ambapo anafanywa kuwa mtumishi katika kanisa. Senior pastor Lee Imani anamchukua ili awe anahudumu katika kanisa hili. Watu wanatoka mbali kuja kuombewa na hatimaye maisha maisha yanampambazukia zaidi Luka pale imani anapoaga Dunia na kuachiwa unogozi wa kanisa hili aidha anaupiga ukabwela chenga zaidi anapochaguliwa kama gavana.
• Msiba wa Kijitakia
Wanjumuiya katika hadithi wamekuwa katika maisha ya machweo ambapo wamekosa maendeleo kutokana na kuwachagua viongozi wasiowajibika kama vile Sugu Juniour. Wengi wao kama vile machoka na Zuhura ni maskini wasio na mbele wala nyuma. Wanaona maisha yakiwapambazukia ambapo yatakuwa bora zaidi hasa baada ya kumchagua kiongozi bora ambaye kulingana nayo ni Fumo Matata. Wanapiga kura kwa furaha wakifahamu kuwa maisha yao yataboreshwa na kiongozi huyu mpya.
..................


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • _12226_0.jpg
  • _12226_1.jpg
  • _12226_2.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


  • A guide on the Pearl by John Steinbeck

    A guide on the Pearl by John Steinbeck.

    Price: KES :  250

     
  • Guide To The Blossoms of the Savannah

    Blossoms of the Savannah Guide: Detailed and Comprehensive

    Price: KES :  150

     
  • Mwongozo wa Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine

    Dibaji Mwongozo huu ni matokeo ya jitihada za Maria Mvati, James Kanuri na Saul S. Bichwa. The NES wameona kuwa ni muhimu kutayarisha mwongozo huu ili kuwasaidia walimu na wanafunzi katika kuelewa...

    Price: KES :  200

     
  • Guide To The Memories We Lost and Other Stories

    This document contains a definitive guide to the new set book "Memories we lost and other stories". It is the best to have at the moment. Brief Overview: About the Author The author...

    Price: KES :  290

     
  • Blossoms of the Savannah Guide

    This study guide provides a detailed analysis of the novel Blossoms of the Savannah. The analysis is aimed at preparing KCSE candidates for both the excerpt and the compulsory essay question in paper...

    Price: KES :  200

     
  • KCSE Revision Oral Literature and Poetry

    KCSE Revision Oral Literature and Poetry. Detailed and comprehensive study guide. Brief Overview: What is poetry? It is not easy to say what exactly poetry is. But poetry explores the...

    Price: KES :  300

     
  • Combined Guide for Caucasian Chalk Circle and Betrayal in the City

    This is a combined analysis of Caucasian Chalk Circle and Betrayal in the City set texts. Brief Overview: The Caucasian Chalk Circle Summary The Caucasian Chalk Circle begins with a Prologue...

    Price: KES :  50

     
  • Geography Charts Diagrams

    Explore Geography Charts and Diagrams - a versatile resource providing visual aids to enhance geographical understanding, perfect for teachers and students alike.

    Price: KES :  0

     
  • Guidelines For English Paper 1

    This is a handout that gives learners and teachers tips on areas to prepare for before they sit for their English Paper 1 KCSE examinations. ENGLISH PAPER 101 CONTENT AND GUIDELINES By Zacch...

    Price: KES :  350

     
  • He's Far Too Much Guide Book

    This notes can be used by a tutor and student-teachers for reference purpose in the set book He's Far Too Much. Brief Overview: The play is written by Said Mohamed "AMEZIDI" but translated in...

    Price: KES :  180

     
  • Carribean Literature Notes

    This is about Caribbean literature: its early inhabitants and history of oppression with description of George Lammings book "In the castle of my skin" ..............

    Price: KES :  0

     
  • A Doll's House Guide - Notes

    This is a guide to the text "Doll's House".It has handled the form and structure of the text. Thus guiding both the teachers and students in preparation for the examination. ABOUT THE...

    Price: KES :  200

     
  • Research Methodology Notes

    This document contains the process and the format of writing a research project. UNIT OF ANALYSIS ? Unit of Analysis refers to the level of aggregation of the data collected during the subsequent...

    Price: KES :  500

     
  • KASNEB Accounting Technicians Diploma Syllabus July 2018

    KASNEB Accounting Technicians Diploma Syllabus July 2018. TABLE OF CONTENTS LEVEL I Page Paper No. 1 Introduction to Financial Accounting 1 Paper No. 2 Principles of Business Law 3 Paper No. 3...

    Price: KES :  50

     
  • Helping Children with Special Needs

    Introduction By the end of this article, you should be able to: a) Discuss bow to identify', rehabilitate and refer children with special needs. b) Explain how to counsel children with special...

    Price: KES :  100

     
  • An attachment/Internship study guide

    This attachment guide will be useful for students going for attachment/internship or taking an internship attachment. I will be useful and you prepare to start your attachment, during your...

    Price: KES :  100

     
  • Simplified Poetry Study Guide for Form 1 to Form 4

    Simplified poetry study guide book with exhaustively discussed poetry concepts supported with enough explanations, illustrations and exemplifications. for K.C.S.E, P.T.E and students taking...

    Price: KES :  200

     
  • Arrow of God Short Notes

    This document has analysed the characters and has summarized the plot of the novel arrow of God.it can be used by student teacher's during revisions. Arrow of God Summary The novel is set in the...

    Price: KES :  200

     
  • Mwongozo Wa Chozi La Heri

    Huu mwongozo ni kazi fiti sana ya kukuwezesha mwalimu pamoja na mwanafunzi katika kujitayarisha kuelewa na kuchambua Riway kipya cha Chozi Heri chake Assumpta.Jipatie nakala yako leo.Kando na...

    Price: KES :  150

     
  • Kiswahili Karatasi Ya Pili: Matumizi Ya Lugha

    Faili hii ina hoja za kila anuai zitakazo jenga uweledi wa mwanafunzi yeyote yule na kumfanya aje kuwa bingwa wa Kiswahili na bila shaka afaulu katika mitihani yake kwani faili hii imetengenezwa...

    Price: KES :  200

     
  • Mwongozo na Uchambuzi wa Ushairi

    Makala haya yanazungumzia ulingo wa ushairi na jinsi utanzu huu unavyochambuliwa.mwandishi amezingatia utanzu wenyewe kwa kufasili ushairi ni nini na pia kutoa mwelekeo wa namna mashairi...

    Price: KES :  100

     
  • Diabetes Insipidus Notes

    Short notes on Diabetes Insipidus: Pathophysiology, Diagnosis, Prognosis DIABETES INSIPIDUS Diabetes insipidus is a rare form of diabetes caused by deficiency of vasopressin or a defect in the...

    Price: KES :  100

     
  • Blossoms of the Savannah Sample Essays

    This document contains sample essays from The Blossoms of The Savannah. Brief Overview: 1. Blossoms of the Savannah is a novel about hope that leads to victory; write a composition to illustrate...

    Price: KES :  60

     
  • Estimated Cost of Rearing 100 Improved Kienyeji/Kuroiler Chicken in Kenya

    This document captures monetary calculation of keeping 100 kuroiler chicken until maturity. Current market price for feeds have been used. (UNGA FEEDS) This document can assist you in decision...

    Price: KES :  50

     
  • Maswali na Majibu ya Isimu Jamii

    Maswali na Majibu ya Isimu Jamii. Brief Overview: Saidi : Hallo............Hallo....Huyo ni Bw. Mohamed? Mohamed : Ndio...uko wapi... Saidi : Shuleni...sasa...ulinifikishia...

    Price: KES :  70

     
  • Maswali ya Marudio ya Tamthilia ya Kigogo 2021

    Maswali ya marudio ya tamthilia ya kigogo. Haya maswali huguzia sifa ya wahusika,maudhui mbali mbali,mbinu,umuhimu ya wahusika na maswali ya dondoo unayojitokeza kwa tamthilia hili. MASWALI KATIKA...

    Price: KES :  60

     
  • Tips to Excellence in Biology

    Tips to Excellence in Biology Biology Revision and Examination Tips BIOLOGY REVISION AND EXAMINATION TIPS Main reasons why Students Perform Poorly in the Biology Subject - Confusion of biology...

    Price: KES :  48

     
  • KCSE Business Studies Revision Booklet - Paper 1 and Paper 2

    KCSE Business Studies Revision Booklet - Paper 1 and Paper 2. Brief Overview: 1. Mention four limitations of advertising as a means of sales promotion. (4mks) 2. The capital structure of...

    Price: KES :  48

     
  • Maswali na Majibu Katika Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine

    Maswali na Majibu Katika Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine 1. Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki. (al.20) TUMBO...

    Price: KES :  75

     
  • Discuss the role of written and unwritten sources in the reconstruction of African history

    Discuss the role of written and unwritten sources in the reconstruction of African history. Brief Overview: Introduction The task of reconstructing African history has been a challenging one. A...

    Price: KES :  500

     

More Content By 35824167


View all resources