Helpdesk: WhatsApp: 0736552548 Email: info@kenyaplex.com

Kiswahili KCSE Topical Questions and Answers

Institution: Secondary

Course: Kiswahili

Content Category: Examinations

Posted By: Alber

Document Type: PDF

Number of Pages: 266

Price: KES 100
Buy via WhatsApp
   Buy with Email        

Views: 5893     Downloads: 12

Summary

Kiswahili KCSE Topical Questions and Answers

YALIYOMO
1.11 Matamshi, shada (mkazo katika neno), mtamko, semi, tanakali za sauti, msamiati
(kutokana na maongezi),
1.12 Mazungumzo
1.13 Fasihi andishi na simulizi kama vile:
a) Tofauti zilizokokatiyatamthilia, riwayanamashairi
b) Hadithi, maigizo, semi na mashairi
1.14 Kandazakunasia sauti naredio
1.15 Maagizo, mapendekezo, taarifa
1.16 Maamkuzi ya nyakati tofauti tofauti (maamkuzi ya asubuhi (bukrafa), mchana,
jioni) na adabu zake
1.17 Mazoeziya:
a) Majadiliano
b) Hotuba
c) Maananamatumiziyamethali
d) Matamshi namanenoyanayotatanisha
e) Hadithi
3
f) Maigizo
1.18 Miikonaitikadizatamaduni tofauti
1.19 Tamthilia
i) Lughayamwandishi
ii) Tabia za wahusika.
iii) Ainazatamthilia
iv) Maudhui ya mchezo na funzo katika maisha
v) Mpango-maonyeshotofautiyamchezo
1.20 Mashairi
1) Ufahamuwa«mashairi
(ii) Ufafanuzi wa msamiati wa shairi
iii) Uandishi wa beti kwa lugha ya natharia, utoshelezaji wa beti.
iv) Ujumbe wa mshairi katika kila ubeti na shairi nzima kwa ujumla
Ainazaushairi
Arudhizauandishiwamashairi
vii) Vinanamizani
viii) Kibwagizo . ;
1.21 Riwaya
i) Tabia za wahusika
ii) Lughayamwandishi
iii) Ainayariwaya
Lengo, maudhui ya maandishi na mafunzo yake katika jamii.
1.22 Nahau
4
1.23 Isitiara/jazanda
1.24 Marekebishoyamatamshiyanayoathiriwakimazingara
Yaliyomo
2.11 SARUFI
a) Ngeli za majina A - Wa, U -1, Ki - Vi, Li - ya, u - u, ya - ya, i - zi, i - i, ku
na u – ya, MAHALI
b) Sifa (Kjvumishi) na viashiria
c) i) Sifazakawaida
ii) Sifahalisi
iii) Sifazisizohalisi
iv) Sifa za asili ya kigeni
v) Sifa za kugawanyia (k.m.fulani? -ingine, -ingineo. baadhi, chache, n.k.
vi) Sifa za idadi
d) Visifa (vielezi), vihusiano, viunganisho, vishangao
e) Nyakati na hali, nyakati na kukanusha
f) Mnyambuliko wa viarifa (jinsi/kaiili) asilia na vya kigeni
g) Sentensi ya neon mqja fupi na ya mseto
- Umoja na wingi katika sentensi
- Aina za sentensi
- Miundo ya manebya sentensi (mpangilio wa maneno katika sentensi)
h) Viungo muhimu vya rnaneno
i) Kuakifisha (vituo, vikomo, herufi kubwa, n.k)
5
j) Matumizi ya 'amba’ katika ngeli zote
Matumzi ya enye, enyewe, o-te, kiishio, 'ni' 'katika' 'ndani ya' n.k.
Matumizi ya PO-KO-MO, matumizi ya c
kwa'
Matumizi ya -ki-na-kaMatumizi
ya maneno mbalimbali kama -kuja, usije, msije, huenda, kuweza,
jiweza, kupata, kutaka, kupita. (k.m. Huenda ikawaatafuaulumtihani)
Jinsi, vile, ndivyo, nusura, tangu, licha, n.k.
Matumizi ya: - ‘kwa', c
na', ‘ni' na matumizi ya neno 'hapana'
Matumizi ya: - 'mahali' (k.m. mahali huku, humu, hapa, n.k). Ngeli ya Pa-Ku-Mu.
k) Viambishi vya uhusiano
I) Viulizi k.m ngapi? nini? ipi?gani?lini?nani?
Maswali ambayo hayahitaji majibu, n.k. "Unafikiri waweza kunifundisha mimi?"
(Balagha)
Maswali ya utani k.m. "Ungali hai?"
m) Msemo halisi na msemo wa taarifa
Semi za Kiswahili
i) Kula umanga, kula riba, kula mwande, kula kitanzi, n.k.
ii) Kuwa macho, kuwasugu, n.k.
iii) Piga ramli, piga mbiu, piga kithembe, n.k.
n) Udogo na ukubwa wa majina
o) i) Kuundamajinakutokananavitenzi
ii) Kuunda majina kutokana na majina
iii) Kuundavitenzi kutokananasifa
6
p) i) Kutilia mkazo matumizi ya herufi kubwa ipasavyo
ii) Maendelezoya maneno
q) Viashiria ya kuthibitisha (k.m. yuyu huyu, wawa hawa) kufoatana na ngeli
zote.
r) Virejeleo kufuatanana ngeli zote, k.m. Aliijenga nyumba, Aliupiga mpira
s) Manenoyakutiliamkazo(k.m. dhahirishahiri,burebilashi,balaanabelua)
t) Njia ya mkato ya kuzungumzia (k.m. baba yangu - babangu, mama yangumamangu,
n.k.)
u) Ufafanuzi wa ‘po’ ya wakati na ‘po’ ya mahali
v) Jinsi zote (pamoja na kufanyama, kufanyata, kufanyiza)
w) Kihusiano cha kati na kihusiano cha mwisho k. m. anayesoma - asomaye,
anayelala - alalaye
x) Mnyambuliko wa vitenzi vyenye silabi moja k.m. fa, la, ya, nywa, pa, pwa,
wa, ta, cha
y) Taz."kupa" .
k.m. Nimekupakalamu yangu a
Umenipa kalamu yako
Tumepeana alamu
-‘A’unganifu
-viwakilishi
- mwingiliano wa maneno
-mziziwakitenzi
- viambishi vya vitenzi
7
- vinyume vya vitenzi
-virai
-vishazi
-shamirisho
-chagizo n.k.
2.12 MSAMIATI
a) i) Maneno yenye maana sawa (visawe)
ii) Maneno yenye maanakinyume (k.m. Mbele - nyuma)
iii) Maneno yanye maana zaidiy a moj a (vitawe)
vi) Maneno yanayotatanisha (vitate)
b) Umbo la maneno katika maandishi yanayohusiana na isitiara na tashbihi.
c) Dira, saa, majina ya mwaka na misimu
d) Magonjwa (ukimwi, mba, saflira, matubwitubwi, malale, mchochoto wa bongo
n.k)
e) Rangi (Damu ya mzee (maroon), urujuani, zari, nyeupe, nyeusi, hudhurungi n.k.)
f) Madini (Yakuti, feruzi, lulu, zinduna, ambari, marumaru, zebaki n.k.)
g) Wanyama wa porini (ndovu, twiga, chuibwika, kuchakuro, paa, simba marara,
Sungura n.k.)
h) Sehemu za mwili (figo, kongosho, ini, matumbo, koromeo, paja, pua, kisugudi
n.k.
i) Uvuvi, samaki na wanyama wa majini
j) i) Majinayawadudu, ndege (sisimizi, nyigu, kereng'ende, bata, tausi, mbuni
8
n.k.)
ii) Majinayanchimbalimbali, majina ya makundi n.k
k) Maumbo (k.m. mraba, pembe, n.k.) -// (n
I) Tarakimu (l, 2, 3, 4, 5, 67, h.k.)
m) Akisami (k.m. 1
/3, 1
/4, 1
/5, 1
/6
1
/7n.k.)
n) Majinayapekee/maalum, ya kawaida, ya dhahania
o) Ala za muziki (tarumbeta, zeze, piano, gitaa, ngoma n.k.)
p) Kazinauflindiwaainambalimbali; sanaa zakazimbalimbali (
(k.m. ufimdi, mapishi, useremala, n.k.)
q) i) Msamiati wa zaraa (kilimo) mathalan pembej eo, fyekeo, matuta, sesa n.k)
ii) Msamiati wahatuambalimbalizamaishayabinadamu (k.m. kuzaliwa,
malezi, utu, uzima n.k.)
iii) Msamiati wawizaranaidarambalimbali (k.m. msamiatiwamahakama)
iv) Msamiati unaotokananashina moj a (k.m. kitabu, katibu, maktaba, n.k.)
r) Mapambonavyombovyakutiliavitu.
s) Sayari (zaibaki, mirihi, mushtarii n.k.)
t) Hospitali (uyoka, hadubini, machela, kombeo, sadaruki, makafani n.k.)
u) IstilaWzatBalumambalimbali
v) i) Michezo mbalimbali (tenisi, sataranji, judo, miereka, soka, gofu, vikapu
n.k.)
ii) Tamasha na ngoma mbalimbali (chakacha, isukuti, mserego, mdurenge n.k.) w)
Adabu, heshima, utu/uzalendo^wajibunanidhamu, mlahaka.
x) Msamiati wa uhusiano wajamii (k.m. mpwa, mjomba, shangazi, wifi, shemeji,
9
wavyele n.k.)
y) Isimujamii
.............


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • _1349_0.jpg
  • _1349_1.jpg
  • _1349_2.jpg
  • _1349_3.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


More Content By Alber


View all resources