Helpdesk: WhatsApp: 0736552548 Email: info@kenyaplex.com

KCSE Consolidated Trial Examinations Kiswahili Booklet

Institution: Secondary

Course: Kiswahili

Content Category: Examinations

Posted By: 35824167

Document Type: PDF

Number of Pages: 108

Price: KES 250
 
    

Views: 1452     Downloads: 1

Summary

KCSE Consolidated Trial Examinations Kiswahili Booklet.

KIRINYAGA WEST
102/1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
1. Insha ya lazima.
Ukiwa gavana wa kaunti mojawapo hapa nchini, umeandaa kikao na mbunge na afisa wa masuala ya kiusalama jimboni ili kujadili mikakati ya kupambana na visa vya ukosefu wa usalama.
Andika mazungumzo yenu.
2. Uhuru unaopewa vijana leo katika nchi yetu una madhara zaidi kuliko faida.
Jadili.
3. Andika insha itakayodhihirisha maana ya methali:-
Mtaka cha mvunguni sharti ainame.
4. Andika insha itakayokamilika kwa manano haya:-
... Mstakiwa alimwangalia hakimu kwa macho ya huruma kisha akamwangalia mkewe na wanawe akatamani kuwaomba msamaha lakini hukumu ilikuwa imetolewa.
............................


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • 2159_0.jpg
  • 2159_1.jpg
  • 2159_2.jpg
  • 2159_3.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


More Content By 35824167


View all resources