Helpdesk: WhatsApp: 0736552548 Email: info@kenyaplex.com

Ripoti: Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza kiswahili na vipawa vya wasanii

Institution: Chuka University

Course: Bachelor of Education (Arts)

Content Category: Reports

Posted By: Dancankamau55

Document Type: PDF

Number of Pages: 35

Price: KES 500
 
    

Views: 2323     Downloads: 1

Summary

Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza kiswahili na vipawa vya wasanii. huu ni uchunguzi wa REDIO MAISHA na Gazeti laa taifa leo.

INKISIRI
Utafiti huu ulishughulikia mchango wa vyombo vya habari katika kukuza vipawa vya wasanii. Mtafiti alisoma Makala mbalimbali ya magazeti na pia katika mtandao na kusikiliza vipindi mbalimbali vya Redio.Utafiti huu ulilenga kuonyesha umuhimu wa vyombo vya habari katika kueneza vipawa vya wasanii ambao huishia kueneza lugha mahsusi. Hata hivyo, utafiti huu umejikita katika maenezi ya lugha ya Kiswahili. Utafiti huu ulifanyiwa maktabani na nyanjani.
Aidha mtafiti alisoma nakala mitandaoni iliyomwelekeza katika utafiti wake. Katika utafiti wa nyanjani, mtafiti aliweza kutagusana na wahusika ana kwa ana ambao walifanikisha utafiti wake...........
.................................


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • 5581_7.jpg
  • 5581_8.jpg
  • 5581_9.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources



View all resources