Helpdesk: WhatsApp: 0736552548 Email: info@kenyaplex.com

Kiswahili Insha: Aina Mbalimbali Za Insha

Institution: Secondary school

Course: Kiswahili

Content Category: Summaries

Posted By: Ackley Taro

Document Type: DOCX

Number of Pages: 10

Price: KES 100
Buy via WhatsApp
   Buy with Email        

Views: 5131     Downloads: 32

Summary

Aina mbalimbali za insha.

INSHA ZA KIUAMILIFU
Huu ni mkusanyiko wa insha zinazohitaka katika mtaala wa elimu nchini Kenya hasa kwa wanafunzi wanojiandaa kwa mtihani wa kitaifa wa KCSE.
Insha hizi zinafaa kutumiwa na mwalimu katika kuwaelekeza wanafunzi wanapofanya kazi yao ya kudurusu na wakati mwingine wanaposoma vipindi vya uandishi katika somo la Kiswahili. Ackley Taro ni mtahiniwa katika shule ya upili ya Fr Okodoi na mwandishi kando na kuwa mtafiti katika maswala mbalimabli.Ackley pia ni msanii wa mziki Busia Kenya. Ni mtafiti chipukizi.
INSHA

Aina
1.TUNGO ZA KIUAMILIFU
Ambazo hutekeleza kazi maalum na huwa na muundo maalum.Hizi hutokea kama swali la kwanza kwenye shule za upili.
A) INSHA ZA BARUA
1. BARUA YA KIRAFIKI
Inayoandikwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.
................................


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • 8285_0.jpg
  • 8285_1.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


More Content By Ackley Taro


View all resources