Helpdesk: WhatsApp: 0736552548 Email: info@kenyaplex.com

KCPE Kiswahili Insha 2001-2017

Institution: Primary

Course: Kiswahili

Content Category: Summaries

Posted By: swezlim98

Document Type: PDF

Number of Pages: 2

Price: KES 0
Buy via WhatsApp
   Buy with Email        

Views: 12620     Downloads: 730

Summary

Mkusanyiko wa KCPE insha kutoka mwaka wa 2001 hadi mwaka wa 2017.

2001
Umeshinda shilingi milioni moja katika mchezo wa
bahati nasibu. Eleza vile utakavyotumia pesa hizo
Aina ya insha: Maelezo
Maudhui: MATUMIZI – HELA

2002
Andika hotuba utakayowatolea wanafunzi wenzako
kuhusu umuhimu wa usafi wa mwili na mazingira
Aina ya insha: Hotuba
Maudhui: USAFI

2003
Siku yenyewe ilikuwa Ijumaa. Naikumbuka vizuri
sana namna baba alivyoingia nyumbani…
Aina ya insha: Mwanzo/Utangulizi/Mdokezo
Maudhui: HUZUNI AU FURAHA

2004
Andika insha juu kichwa kifuatacho: Mchumia juani
hulia kivulini
Aina ya insha: Methali
Maudhui: BIDII


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • 9759_0.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


More Content By swezlim98


View all resources